Manesi nao wanatutega mahospitalini...!

s.fm

JF-Expert Member
Jul 8, 2009
663
117
Nimetoka kwenye hospitali moja for CT Scan..
Nikaambiwa niingie ktk chumba kimoja hivi kwa ajili ya kupimwa..akaingia nesi mmoja yani nashkuru nimetoka salama kwakweli na hata yale maumivu niliyokua nikiskia yamepotea kabisa! mwe..hata kwa wagonjwa
 
mbona hujaeleza wazi amekutega nini? au ni nini umekiona kwake ukadhani amegutega? neno kutega ni pana sana jaribu kufafanua tafadhali.
 
We acha tu kuna siku Dr kaniandikia sindano, kwenda chumba cha sindano nikakuta masista du kama 3 wakaniambia kaka una sindano so jiandae, sasa nikajiuliza wananichoma wote au no faragha hata kidogo? Nikasepa mazee ah. Ukizingatia na elimu za siku hizi watatuumiza sana maana akikosea kuchoma tu unakuwa mlemavu right away.
 
Nimetoka kwenye hospitali moja for CT Scan..
Nikaambiwa niingie ktk chumba kimoja hivi kwa ajili ya kupimwa..akaingia nesi mmoja yani nashkuru nimetoka salama kwakweli na hata yale maumivu niliyokua nikiskia yamepotea kabisa! mwe..hata kwa wagonjwa
kwani huyo nurse ana nini ?
 
kakushika vizuri au kavaa kimtego au kaumbika sana???let us know basi mkuu,tujue,tusitegeke....lol
 
mbona hujaeleza wazi amekutega nini? au ni nini umekiona kwake ukadhani amegutega? neno kutega ni pana sana jaribu kufafanua tafadhali.

alipoingia akaniambia itabd uvue nguo kisha ulale pale kitandani..nikamuuliza zote? akajibu ndio! wakati bado nashangaashangaa akaniuliza au nikuvue?
Nikamwambia sii mbaya..akasema inaonekana umechoka akashika tai yangu akatoa then shati akamalizia na vest. Akataka kuvua mkanda nikamwambia huku nitamalizia..baada ya kulala kitandani (ofcz nilibaki na bukta) kwa mshangao eti akauliza kumbe una garden love(nywele za kifuani)
Basi alifanya vituko kibao huku akinipima akauliza kama nimeoa na mengine kibao
 
Ehe endelea mkuu .....hajakuomba namba za cm?
 
kakushika vizuri au kavaa kimtego au kaumbika sana???let us know basi mkuu,tujue,tusitegeke....lol

kwakweli alikua ameumbika sana..na kimini alichovaa huyo bosi wao sijui kama alimuona..alijaribu kuinama mara kadhaa bt mzee nikajifanya sioni
 
Kwani huyo nesi kakufanya nini hadi maumivu yapotee?

kuna muda eti alishangaa kuniona na garden love..sasa kabla ya kuniwekea kipimo kifuani akawa kama anazishikashika zile nywele eti anatafuta mahali pazuri kwa ajili ya kuweka zile sensa..
Sio siri pale bila ugumu ningelegea mzee
 
Ehe endelea mkuu .....hajakuomba namba za cm?

nahisi kama aliona noma maana nilikua naonesha dalili za ukauzu...aliniambia we mit kesho coz nitakwenda kuchukua majibu niliona nitachelewa kusubiri
 
kazi kweli kweli,na manesi nao?? nilijua ni baa medi na wadada wa saluni.....kumbe tuna manesi...haendi mtu kwa vipimo mwenyewe....thanks mkuu.....:A S 20:
 
nahisi kama aliona noma maana nilikua naonesha dalili za ukauzu...aliniambia we mit kesho coz nitakwenda kuchukua majibu niliona nitachelewa kusubiri

Ni hospital gani mana mi kifua kinanisumbua nataka nikafanye checkup!! niagizie
 
Kuna thread iliwahi wekwa na pakajimmy kumuelezea nesi mmoja anavyowatega wagonjwa na kuishia kumegana nao!
 
du mi nilienda hospital moja ipo morroco dah yule alikua dokta...akafunga mlango nikavua shati nikapandishwa kitandandani yani nilishikwa shikwa had balaa mpaka naachwa hata kitandani siwezi kushuka.....hiyo ilikua medical check up
 
Pale Dodoma General hospital, kuna medical officer mmoja yeye kazi yake baada ya kumpima/hudumia mgonjwa na kama amependa, ni kuwaomba namba za simu za wagonjwa wanawake kwa kisingizio cha kutaka kukuulizia maendeleo ya ugonjwa wako, lakini baadae anakutongoza, na ukimkataa tu anaanza kusema hata ukikataa lakini nimesha kuona mwili wako wote, hivyo ni heri unipe tu nile kuliko kuninyima kwani huna cha kuficha kwangu?:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
ifike hatua tuhudumiwe na watu wa jins ze2
 
Back
Top Bottom