Elections 2010 Maneno hayajengi ghorofa.........

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,821
59,422
.......ila matendo yanaweza.

Baada ya mbwembwe zote za kampenzi zimebaki siku 12 tu kabla ya uchaguzi!
Wanajamvi tusiishie kwenye kusema,kushauri, kukosoa na kulalamika tu, tar 31 tukapige kura jamani maana hizo ndo haswaa zitakazoleta mabadiliko!
Jikomboe kwakuchagua kile unachoona kitakusaidia ndani ya miaka mitano ijayo na sio kuchezea kura yako na kulalamika baadae!!Wakati wa mabadiliko ndio huu!!!


National Election Countdown
12 Days to go!

Uchaguzi mwema!
 
Halafu safari hii mpaka wazoefu wameshachoka vibaya........watu wanatamani siku zipite kama mshale. Kila mgombea ninayemuulizia habari za uchaguzi ananiambia safari hii kweli kuna ushindani hasa katika uchaguzi.

Vitambi bye bye.........wanasiasa mlizoea kulala kwenye kampeni sasa hivi mnalala wima........siku 10 kama miaka 10.

Tukapige kura.
 
Back
Top Bottom