Erik ni bora uwe unakaa kimya, Natamani ufanikiwe lakini unanikera kuanzia uwanjani hadi kwenye mahojiano.

=========
Erik ten Hag: "We are one of the most dynamic and entertaining teams in the league at this moment. We are creating loads of chances by playing good football."
Tulikuwa tunadhani wazungu ni watu ambao wako very honest....lakini kwa kupitia mfano wa hyu kocha wenu aisee hyo kauli haina ukweli...Erik ni mzungu wa hovyo kuwahi kumjua
 
1-1 Hakuna Jipya bado UTD inahitaji Upasuaji kama Rangnick alivyopendekeza. Watoto kama Garnacho wanakuwa ila ana Ujinga wa kujirudia na kuna Uwezekano mkubwa sana akaja kuvimba kama atakosa Ubora wa kushindana nao. Wakati Huo GREENWOD anaweka mbili na Assist Juu.

Alonso 2 ~ Hoeness 2.
Watu wanamuimba Alonso na Ni haki yake, Ila timu itakayompata HOENESS inaweza Pata hybrid ya Klopp mwenye kumiliki Mpira. Hakuna Game nyepesi Msimu huu Bayer wameipata dhidi ya Stuttgart na wamekutana michezo 3!
 
Erik ni bora uwe unakaa kimya, Natamani ufanikiwe lakini unanikera kuanzia uwanjani hadi kwenye mahojiano.

=========
Erik ten Hag: "We are one of the most dynamic and entertaining teams in the league at this moment. We are creating loads of chances by playing good football."
alisema nyumbu kila mechi kwenu ni fainali 🤣🤣🤣.. akatoka akasema mnacheza vizuri mnooo.. uyu atawaua kwa pressure
 
Back
Top Bottom