Erik ni bora uwe unakaa kimya, Natamani ufanikiwe lakini unanikera kuanzia uwanjani hadi kwenye mahojiano.

=========
Erik ten Hag: "We are one of the most dynamic and entertaining teams in the league at this moment. We are creating loads of chances by playing good football."
Tulikuwa tunadhani wazungu ni watu ambao wako very honest....lakini kwa kupitia mfano wa hyu kocha wenu aisee hyo kauli haina ukweli...Erik ni mzungu wa hovyo kuwahi kumjua
 
1-1 Hakuna Jipya bado UTD inahitaji Upasuaji kama Rangnick alivyopendekeza. Watoto kama Garnacho wanakuwa ila ana Ujinga wa kujirudia na kuna Uwezekano mkubwa sana akaja kuvimba kama atakosa Ubora wa kushindana nao. Wakati Huo GREENWOD anaweka mbili na Assist Juu.

Alonso 2 ~ Hoeness 2.
Watu wanamuimba Alonso na Ni haki yake, Ila timu itakayompata HOENESS inaweza Pata hybrid ya Klopp mwenye kumiliki Mpira. Hakuna Game nyepesi Msimu huu Bayer wameipata dhidi ya Stuttgart na wamekutana michezo 3!
 
Erik ni bora uwe unakaa kimya, Natamani ufanikiwe lakini unanikera kuanzia uwanjani hadi kwenye mahojiano.

=========
Erik ten Hag: "We are one of the most dynamic and entertaining teams in the league at this moment. We are creating loads of chances by playing good football."
alisema nyumbu kila mechi kwenu ni fainali 🤣🤣🤣.. akatoka akasema mnacheza vizuri mnooo.. uyu atawaua kwa pressure
 
#ArsenalNDOO
IMG-20240428-WA0038.jpg
 
Thread ni ya manchester united lakini wahuni wakiongozwa na mkorea munatuletea habari za arsenal.

Kweli tumechokwa,
Haya ndugu yenu hamis ameshikwa na malaria, mushakwenda kumtembelea
Flano..Ally Pipi na waungwana wengine wa humu huwa wanakuja kule jukwaani kwetu sana kutujazia Nzi....kwhyo ni fair tu kama na sisi tukija hmu....wiki 2 zojazo tuna mechi na nyny...mjiandae ndugu zetu
 
Back
Top Bottom