Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,358
- 8,498
Ligi iishe tu kwakweli it's too much.
Biggest club in the world is playing today ni raha tupu wakubwa.View attachment 2975201
Tulikuwa tunadhani wazungu ni watu ambao wako very honest....lakini kwa kupitia mfano wa hyu kocha wenu aisee hyo kauli haina ukweli...Erik ni mzungu wa hovyo kuwahi kumjuaErik ni bora uwe unakaa kimya, Natamani ufanikiwe lakini unanikera kuanzia uwanjani hadi kwenye mahojiano.
=========
Erik ten Hag: "We are one of the most dynamic and entertaining teams in the league at this moment. We are creating loads of chances by playing good football."
Bangi ya Manchester, cha arusha ikasome.Erik ni bora uwe unakaa kimya, Natamani ufanikiwe lakini unanikera kuanzia uwanjani hadi kwenye mahojiano.
=========
Erik ten Hag: "We are one of the most dynamic and entertaining teams in the league at this moment. We are creating loads of chances by playing good football."
alisema nyumbu kila mechi kwenu ni fainali 🤣🤣🤣.. akatoka akasema mnacheza vizuri mnooo.. uyu atawaua kwa pressureErik ni bora uwe unakaa kimya, Natamani ufanikiwe lakini unanikera kuanzia uwanjani hadi kwenye mahojiano.
=========
Erik ten Hag: "We are one of the most dynamic and entertaining teams in the league at this moment. We are creating loads of chances by playing good football."
Hii combi inajaribiwa na timu ngumu sahihi kabisa. Partey angecheza mechi nyingi msimu huu nadhani tungeshinda mechi nyingi sana#ArsenalNDOOView attachment 2976049
Spurs Hadi half time anakufa 3 bila, 1 packet downHii combi inajaribiwa na timu ngumu sahihi kabisa. Partey angecheza mechi nyingi msimu huu nadhani tungeshinda mechi nyingi sana
Flano..Ally Pipi na waungwana wengine wa humu huwa wanakuja kule jukwaani kwetu sana kutujazia Nzi....kwhyo ni fair tu kama na sisi tukija hmu....wiki 2 zojazo tuna mechi na nyny...mjiandae ndugu zetuThread ni ya manchester united lakini wahuni wakiongozwa na mkorea munatuletea habari za arsenal.
Kweli tumechokwa,
Haya ndugu yenu hamis ameshikwa na malaria, mushakwenda kumtembelea
Huu ni uwanja wetu wa nyumbani kama vile tu Old Trafford ulivyo Emirates B. Kote tunatawala kwa sababu sisi ndio tunaojua boli.Thread ni ya manchester united lakini wahuni wakiongozwa na mkorea munatuletea habari za arsenal.
Kweli tumechokwa,
Haya ndugu yenu hamis ameshikwa na malaria, mushakwenda kumtembelea