Ila kiukweli UTD Academy ina watoto wanakuja fresh sana. Huyu Ethan Wheatley anaeza Shangaza ana Frame ya CF 6.3" kwa Miaka 18!! UTD wanaeza Okoa Pesa Mingi sana Pitia Academy.Tunaomba mechi dhidi ya Real Madrid, nadhani ndio timu pekee itakayoweza kuisimamisha manchester united ya bwana COX.
Nasema uongo ndugu zangu?
Nipe matokeo wewe shogaUnavyokuwaga na kiherehere Cha kushangilia JF sasa utafikiri kuna bonge la mpira mnacheza kumbe pitikupitiku tu
Moja wa madogo walioniuma sana kuondoka Kwake ni zidane iqbal.Ila kiukweli UTD Academy ina watoto wanakuja fresh sana. Huyu Ethan Wheatley anaeza Shangaza ana Frame ya CF 6.3" kwa Miaka 18!! UTD wanaeza Okoa Pesa Mingi sana Pitia Academy.
Nilikuwa nawaza zaidi AMASS, BRAGIMOV, LACEY na FORSON ila kuna kikundi kinakuja kwa kasi na kinaeza Pita baadhi ya Majina tuliyozani kabla, WHEATLEY, NOLAN, ELYH, JACKSON.
Nina QUOTE zako kadhaa juu kuhusu kipi kati ya MWALIMU/STYLE na Uongozwaji wa MADRID hujatia Neno.
Ila sub za kocha wetu... 😂😂😂
Wajaa LAANA nyinyi MAKENGE,yaani Bunley timu ya pili kutoka mkiani ndio inawatoa jasho mnatoka sare OT,mnaliwa na WANGA nyinyiAnthonyyyyyyyyyyyyy