Man Utd ya 2008 Vs Man City ya 2023 | Nani angeibuka na ushindi kutokana na ubora wa vikosi vyao?

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Chukulia vikosi vote katika ubora wake, Man Utd iliyoshinda Uefa Champions League 2008 Vs Man City iliyoshinda UCL 2023 nani angeibuka na ushindi?
IMG_8526.jpeg
 
Man city mbovu Bila Guardiola wala Mancini wala Pellegrini....imeifunga hiyo Manchester United hapo OT mwaka huo huo 2008 2-1...

Sasa tuseme manager Ni pep Guardiola ....katika watu ambao Alex Ferguson hataman kukutana nao live Ni pep ,maana kashaigalagaza hio united mpaka mkono ulikuwa unatetemeka huku mkojo ukiwa unataka kutoka ....


Man city will humiliate that united ....
 
Matokeo ya comparison lazima yatakuwa biased, timu na zama tofauti 2008 na sasa mambo mengi yamebadilika, comparison nzuri ni ya kipindi kile baina ya hizi timu au comparison ya kipindi cha Sasa.
 
Back
Top Bottom