Kati ya Leeds Utd, Everton na Leicester City, timu zipi mbili hapo zitaungana na Southampton kushuka daraja?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,722
45,125
Pazia la EPL linaenda kufungwa jumapili hii. Bingwa ameshapatikana ambaye ni Man City.

Top 4, timu zishapatikana ambazo ni Man City, Arsenal, Newcastle United na Man Utd. Kimbembe kitakuwa kule bondeni, kwa wanaoshuka daraja.

Tayari, Southampton ameshashuka daraja, bado timu mbili za kuungana na Southampton kuelekea Championship.

Timu ambazo zipo katika hatihati ya kushuka daraja ni Everton, Leeds Utd na Leicester City.

Everton yupo nafasi ya 17 akiwa na alama 33 atakuwa nyumbani kumkaribisha Bournemouth. Ushindi utawafanya Everton wasalimike kushuka.

Leicester City wapo nafasi ya 18 na alama 31 watakuwa nyumbani kuwaalika West Ham Utd ambapo atakiwa anataka ashinde huku akiombea Everton apigwe.

Leeds Utd chama langu lipo nafasi ya 19 na alama 31 watakuwa wapo nyumbani kuwaalika Spurs. Watajaribu kushinda huku wakiziombea Leicester na Everton wafungwe.

EPL ina maajabu yake na ndio maana ina mvuto, lolote linaweza kutokea.

Utabiri wangu:
Leeds na Leicester wataungana na watakatifu Southampton kuelekea Championship (Ligi ngumu kuliko ligi kuu za baadhi ya nchi barani ulaya)

Tupe utabiri wako
637AC47F-08D1-4783-9864-456A53449926.jpeg
 
Tupe utabiri wakoView attachment 2635431
Leeds na Leicester.
 
Sijui ila hao kesho nawapa GG
 
Back
Top Bottom