Man City Vs Sevilla | Uefa Super Cup | Karaiskakis Stadium | 16.08.2023

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,722
45,128
Majira ya Saa 4:00 Usiku utapigwa mcheza wa Uefa Super Cup kati ya Man City dhidi ya Sevilla.

Ni mchezo wa ufunguzi kwa msimu mpya wa mashindano kwa ngazi ya vilabu barani Ulaya. Mchezo unaowakutanisha mabingwa wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya mabingwa wa Europa league.

Man City itamkosa staa na nahodha wake Kelvin De Bruyne ambaye atakuwa nje kwa miezi minne.

Sevilla sio timu ya kubeza ni moja ya timu sumbufu sana hivyo Man City watalazimika kucheza kwa umakini.

Mechi itakuwa live DStv kupitia chaneli ya 223 na 225

Live updates zitakuwepo hapa…
 
Kikosi cha Man City
11C7BDD2-64BB-42B9-B7A9-D3B6697B6961.jpeg
 
Back
Top Bottom