Mamndenyi na likes zake....

Kiukweli anastahili sifa,
Hongera sana mamndenyi!
Hapa ndipo tunajuana maana kuna watu wanabana na 'like'wakati wanatumia pc,wale wa kwa simu hilo linaeleweka na siku wakiwa kwa pc huwa tunayaona malike yao ya kufa mtu.
 
We mwenyewe mbona mchoyo kama Rejao?
 
Last edited by a moderator:
Haya tena platozoom unahubiri nini na unatenda nini?.................haina mbaya lakini mi niko zangu Nangurukuru

Kwani vibaya kufahamiana...Nangurukuru si mbali, najua kuna samaki hapo utanikumbuka wakati fulani kwa angalau kipande.................Zaidi ya nangurukuru unapenda kutembelea maeneo gani?
 
Kwani vibaya kufahamiana...Nangurukuru si mbali, najua kuna samaki hapo utanikumbuka wakati fulani kwa angalau kipande.................Zaidi ya nangurukuru unapenda kutembelea maeneo gani?
Ondoa shaka, kwani samaki nchanga uwa unatumia? miye napendelea maeneo yoyote yale yenye mandhari mazuri..........uwa nasikiaga kuna hilo disco linaitwa kwa Mbowe mara sijui lingine linaitwa Maisha na pia Ambiance...........ningetamani fika huko siku moja..........:smile-big:
 
Samaki nchanga kama wewe mrembo unakula kwa nini na mimi nisile......

Madisco ya Mbowe,Maisha n.k achana nayo, siku hizi kuna kiduku maeneo yetu ya uswazi...unakula rhumba mpaka cheee..full raha, vituko tena real sio feki kama vya hayo madisco. Mara ooh.. hey guys put yua hands in ze hea!!! wapi uliona mikono inarushwa hewani
 
Qamunga ni jina Babu yangu ambaye amefariki miaka zaidi ya kumi.......lakini bahati mbaya pia sijaenda siku nyingi kwa wajomba...Richard simfahamu

Sawa mkuu siku katembelee tena uone najua miaka hii kutakuwa na maendeleo makubwa mkuu.
 
Kiukweli anastahili sifa,
Hongera sana mamndenyi!
Hapa ndipo tunajuana maana kuna watu wanabana na 'like'wakati wanatumia pc,wale wa kwa simu hilo linaeleweka na siku wakiwa kwa pc huwa tunayaona malike yao ya kufa mtu.

Kumbe umerudi nashukuru walipomsuta mzee wako walau amekuachia nilijua ameshachukua hela ya uarabuni. karibu bi dada.
 
Labda ni macho yangu tu.......Lakini huyu Member maarufu sana kwenye Jukwaa hili na Mahusiano..hana uchoyo kabisa linapofika suala la kugonga likes.

Tembelea tembelea thread za watu kama atakuwa yupo hewani kwenye post lazima utaona amegongea watu "like". Hata mimi ndiye mtu anayeongoza kwa kunigongea like.

Congratualtion Mamndenyi kwa roho ya kitajiri.

Kwakweli huyu mkuu hana makuu,
:welcome:
 
Back
Top Bottom