Mamndenyi na likes zake....

Naanza kupata wasiwasi na wewe Like??? Au unalingine????

Wala usiwe na wasiwasi.. mimi tena.....Mwiko wa mpingo dona nitaweza kupika? Like uliyotoa ya kufikirika zaidi..nikandamizie laini laini kama ugali wa qwante (waujua weye?)
 
Ha ha ha ha sijatoa like kwako lakini ujue Qwantee umenikumbusha home kabisa weye

Ndiyo nasubiria like nzuri..ngoja niache mbio nilizokuwa nimeanza unaweza kujikuta "una-fall" na binamu...Na mimi qwantee nimeila miaka kadhaa iliyopita..unajua wapi? Hydom....(R.I.P Mama)
 
Qwantee na mimi niliila miaka ile ya 80s mkuu
wakati huo kulikuwa na mafuta safi sana ya ng'ombe
pamoja na mayai mengi ya kienyeji lol,
nimekumbuka mbali sana.

Tena nina shemeji yangu pale hydom
lol, wasalimie wote wa hydom akina kamunga, richard na wengine kibao, lol.

Mamndenyi na wewe unatembea... nani alikupeleka huko...baba yetu? Halafu Kamunga wanaandika Qamunga. Dah chakula kizuri kile halafu unakula na maziwe fresh si haya ya kuchakachua plus mayai yenye viwango.........
 
Asante kwa kunisahihisha mkuu,
una maana Qamunga wa pale hydom hosp. ndo mzazi wako mkuu.

Je ulimjua richard akunay mkuu.

Qamunga ni jina Babu yangu ambaye amefariki miaka zaidi ya kumi.......lakini bahati mbaya pia sijaenda siku nyingi kwa wajomba...Richard simfahamu
 
Back
Top Bottom