Mamndenyi na likes zake....

Samaki nchanga kama wewe mrembo unakula kwa nini na mimi nisile......

Madisco ya Mbowe,Maisha n.k achana nayo, siku hizi kuna kiduku maeneo yetu ya uswazi...unakula rhumba mpaka cheee..full raha, vituko tena real sio feki kama vya hayo madisco. Mara ooh.. hey guys put yua hands in ze hea!!! wapi uliona mikono inarushwa hewani
Mwake.....ndio vigodoro hivyo? Uko pande zipi? Tandale kwa tumbo, Mburahati madoto, Kinondoni mwembe sindimba, kwa msokota nywele, kwa bi uda?
 
Mwake.....ndio vigodoro hivyo? Uko pande zipi? Tandale kwa tumbo, Mburahati madoto, Kinondoni mwembe sindimba, kwa msokota nywele, kwa bi uda?

Nipo Tandika maji machafu karibia na eneo linaitwa taa nyekundu....Karibu kwa mikono miwili ila siku ukija niambie siku moja kabla ili niandae mazingira
 
Labda ni macho yangu tu.......Lakini huyu Member maarufu sana kwenye Jukwaa hili na Mahusiano..hana uchoyo kabisa linapofika suala la kugonga likes.

Tembelea tembelea thread za watu kama atakuwa yupo hewani kwenye post lazima utaona amegongea watu "like". Hata mimi ndiye mtu anayeongoza kwa kunigongea like.

Congratualtion Mamndenyi kwa roho ya kitajiri.

kina ninaposoma uzi za like na mkumbuka rafiki ya Gang Chomba na Maggid Mjengwa..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom