Kuwa makini na mwanamke anayejiona yupo singo kwenye mahusiano

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Hata ukiwa naye kwenye mahusiano we sio namba moja kwake.

Mwanamke ambaye bado anatafuta mwanaume.

Mwanamke wa hivyo atakuumiza kichwa.

Atakua na wewe kwa maslahi fulani tu wala si upendo. Atakutumia tu. Akishapata anachokitaka atakuacha, unabaki na maumivu.

Utamjuaje? Dalili kubwa ni hizi.

Hana mipaka na wanaume.
Anaruhusu wanaume kuwa naye kirahisi.
Anaruhusu wanaume wengine wamshike/ wachombezane ovyo.

Licha ya kuwa na mahusiano na wewe, lakini haoni ubaya kujiachia kwa wanaume wengine.

Utaona anatoka na wanaume wengine ili ajisikie raha/ ili ajione kuwa wanaume wengine pia wanamuhitaji. Na kama analewa nao ndo vibaya zaidi.

Mwanamke wako kuombwa namba sio jambo baya.

Ila kinachofuata baada ya kuombwa ndo tatizo linapoanza.

Utaona anatumia muda mwingi kwa wanaume wengine kuliko wewe.

Ukiona hivyo, anza kuchukua tahadhari. Muulize nini shida, au malengo yake yakoje, au kama umemkosea ujue mapema.

Kuliko kujiweka kwa wanaume wengine.
.
Mawasiliano ni magumu.
Inapelekea kutoelewana hata kwa mambo madogo.

Atakwepa mazungumzo yanayohusu mahusiano.

Hatotaka muongelee mambo mazito.

Kiujumla hatokua tayari kujifungua kwako. Na kuongea mambo ya msingi na wewe. Mambo yanayohusu hisia zenu pamoja.

Ukiona hivyo ujue anajiona yupo singo. Na hakutaki kimahusiano.

Pia, utaona kitu kidogo tu anakasirika, ananuna au anaanza kuropoka.

Muda mwingine anaweza kukuambia kabisa kuwa ‘we haumbabaishi na anapendwa na wanaume wengine uko’. Au chochote chenye maana hiyo.
.
Atajitangaza.
Anaendelea kujiweka sokoni atongozwe.

Kujitangaza kwa mwanamke ni kwenye urembo wake.

Atajiweka mrembo kwingine zaidi ya akiwa na wewe.

Atajipendekeza kwa wengine zaidi ya kwako.

Pia atajiachia kwenye mitandao zaidi ya akiwa na wewe. Ujue we sio namba moja kwake. Bado anataka mwanaume mwingine zaidi yako.

Safari za kutoka zinakua nyingi. Ili akutane na watu wengine. Na wewe hautapata muda naye.

Hana muda na wewe.
Mkipanga mtoke, anakua na visingizio vingi.

Mkiwa pamoja haweki nguvu zake kwako, ana mambo yake.

Ukitoka naye hana muda nawe, anapepesa macho kwingine muda wote.

Au yupo kwenye simu yake muda mwingi. Ujue kabisa kwake anaona hakuna haja ya kuwekeza nguvu kwako.
Mnaweza mkafanya na mapenzi na akakuacha hewani. Mkafanya na akaondoka muda huohuo. Ujue hajioni kwenye mahusiano nawe.

Ukiona hayo mwambie tu “unataka/ unasema unataka kuwa na mimi lakini matendo yako ni kama vile upo singo na unajitangaza kwa wanaume wengine, siwezi kuwa na mtu kama wewe kwenye mahusiano, heri nikuache ukajiachie uko”. Na kama atataka kujirudi, ajirudi kwa vitendo si maneno.

Muda mwingine ukiona hizo dalili na ulikua naye vizuri kimahusiano, ujue kuna sehemu mlipishana. Hivyo anatafuta mbadala wako mapema. Hapo umuulize tu mlipokosana na uanze kufanya kama ulivyofanya zamani mpaka akakupenda, au ujue mapema na uachane naye.

Jiepushe moyo wako usizame kwa mwanamke wa hivyo. Na hata ukiwa naye cheza kama anavyocheza yeye.
 
Kwani ni dhambi kujipenda mwenyewe ikiwa hujampata wa kufanana naye kimahusiano?
 
Leo naona upepo umebadilika tena...🤣
Kuna mmoja amekuja asubuhi na uzi kwamba baba yake alivyo mwambia kuhusu wanawake....
Basi kuna jamaa akamalizia kwamba "alicho kuambia baba yako, ndio tabia za mama yako"...😜😜😜
 
Uliyoyasema ni ukweli mtupu.....binafsi, nikiona demu niliye naye ananipa hints fulani wala simuulizi kitu, tutaongea hivyo hivyo. Tukirudi nyumbani tu hatosikia tena simu yangu au mimi kumtafuta kwa njia nyingine yoyote, nampiga ban. Akinipigia simu namkaushia, message sent and clear. Wanawake wote hawa waliopo hapa mjini nihangaike na mtu asiyejitambua kweli, nimekuwa kauzu?
 
Kwann ukae na mtu akufanye utumie akili nyingi hivi as if anakuingizia mamilioni kwa mwezi?!

Mwanamke ambaye anatakiwa kuwazwa namna hii labda awe kile mwezi anakuingizia milioni tano kwenye account yako, then hapo utaweza kukaa nae chini na kumbembeleza ili akwambie shida ni nini ila sio huyu wa hivi.
 
Kwani ni dhambi kujipenda mwenyewe ikiwa hujampata wa kufanana naye kimahusiano?
Uchawi ndio huwa unaanza kwa style hii hii. Tokea lini mtu akajipenda, wewe unaweza kujipenda wewe?!

Sema tu ni mbinafsi na hauna goals kwenye maisha. Mwenye mwenye utimamu wa akili hawezi fanya mambo kama aliyolist mleta uzi.
 
Leo naona upepo umebadilika tena...🤣
Kuna mmoja amekuja asubuhi na uzi kwamba baba yake alivyo mwambia kuhusu wanawake....
Basi kuna jamaa akamalizia kwamba "alicho kuambia baba yako, ndio tabia za mama yako"...😜😜😜
Jf ni kamusi ya misamiati
 
Mwanamke hakupewa chochote Cha thamani mbele ya mwanamume!

Kosa kubwa tulilofanya wanaume duniani Ni kumuaminisha mwanamke kuwa ana mbususu tamu!

Tuondoe huu uzushi
Mwanamke ajue uhalisia wa utamu aopata mwanamume wakati wa kutomber Ni kutoka ndani ya mkuyenge wake mwenyewe

Hii itapunguza jeuri ya wanawake!

Itapunguza kupigwa mizinga kwenye mahusiano

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndio shida ya ugirlfriend / uboyfriend ,msichana /mwanamke atakutreat kutokana na wewe mwanaume unavyomzukia .wanawake wana akili ya kujua unataka nini kwake nae ana uwezo wa kukupatia unachotaka ,wanaume tunatofautiana approach na machaguo ,wanawake wanatofauti mfumo wa maisha wapo waliopata malezi Bora na wacha Mungu wanaoweza kutawala tamaa ingawa Hawa ni wachache sana mpaka uwe mtulivu sana wa kutokukusaidia ovyo wanawake ,wapo wanawake wana asili ya umalaya na ni mapretender wazuri wengi wanawake wengi wanaojipenda sana wanna asili ya kiumalaya wanaume wengi huingizwa mkenge na wanawake wa aina hii,wapo wanawake Tom boyz Hawa hawajali mara nyingi hawababaushwi na wanaume kirahisi wengi huangukia kuwa malesbian ila lesbian jeuri ya mwanamke lesbian ni mwanaume mbabe asiyeyumbishwa na wanawake,lesbian ana wivu sana akikosea njia akampenda mwanaume humganda kama ruba kifupi katika maisha haya ya Sasa yaliyojaa anguko la maadili usipendelee kuwa na mahusiano hizi si nyakati za mahusiano mahusiano ya Sasa maa a yake free sex wengi wa kataa ndoa wako hapa ,wanaotaka uchumba hadi ndoa ogopa chovya chovya jiheshimu kuwa mvumilivu omba Mungu amini uchumba hadi Ndoa inahitaji neema za Mungu hata kama sio mdini kwa kuwa kama unata ndoa lazima itafungwa na sheikh au kanisani omba dua Dunia ya mahusiano imeshikiliwa na shetani tangu kuumbwa kwa adamu na Hawa mwenye sikio
Hata ukiwa naye kwenye mahusiano we sio namba moja kwake.

Mwanamke ambaye bado anatafuta mwanaume.

Mwanamke wa hivyo atakuumiza kichwa.

Atakua na wewe kwa maslahi fulani tu wala si upendo. Atakutumia tu. Akishapata anachokitaka atakuacha, unabaki na maumivu.

Utamjuaje? Dalili kubwa ni hizi.

Hana mipaka na wanaume.
Anaruhusu wanaume kuwa naye kirahisi.
Anaruhusu wanaume wengine wamshike/ wachombezane ovyo.

Licha ya kuwa na mahusiano na wewe, lakini haoni ubaya kujiachia kwa wanaume wengine.

Utaona anatoka na wanaume wengine ili ajisikie raha/ ili ajione kuwa wanaume wengine pia wanamuhitaji. Na kama analewa nao ndo vibaya zaidi.

Mwanamke wako kuombwa namba sio jambo baya.

Ila kinachofuata baada ya kuombwa ndo tatizo linapoanza.

Utaona anatumia muda mwingi kwa wanaume wengine kuliko wewe.

Ukiona hivyo, anza kuchukua tahadhari. Muulize nini shida, au malengo yake yakoje, au kama umemkosea ujue mapema.

Kuliko kujiweka kwa wanaume wengine.
.
Mawasiliano ni magumu.
Inapelekea kutoelewana hata kwa mambo madogo.

Atakwepa mazungumzo yanayohusu mahusiano.

Hatotaka muongelee mambo mazito.

Kiujumla hatokua tayari kujifungua kwako. Na kuongea mambo ya msingi na wewe. Mambo yanayohusu hisia zenu pamoja.

Ukiona hivyo ujue anajiona yupo singo. Na hakutaki kimahusiano.

Pia, utaona kitu kidogo tu anakasirika, ananuna au anaanza kuropoka.

Muda mwingine anaweza kukuambia kabisa kuwa ‘we haumbabaishi na anapendwa na wanaume wengine uko’. Au chochote chenye maana hiyo.
.
Atajitangaza.
Anaendelea kujiweka sokoni atongozwe.

Kujitangaza kwa mwanamke ni kwenye urembo wake.

Atajiweka mrembo kwingine zaidi ya akiwa na wewe.

Atajipendekeza kwa wengine zaidi ya kwako.

Pia atajiachia kwenye mitandao zaidi ya akiwa na wewe. Ujue we sio namba moja kwake. Bado anataka mwanaume mwingine zaidi yako.

Safari za kutoka zinakua nyingi. Ili akutane na watu wengine. Na wewe hautapata muda naye.

Hana muda na wewe.
Mkipanga mtoke, anakua na visingizio vingi.

Mkiwa pamoja haweki nguvu zake kwako, ana mambo yake.

Ukitoka naye hana muda nawe, anapepesa macho kwingine muda wote.

Au yupo kwenye simu yake muda mwingi. Ujue kabisa kwake anaona hakuna haja ya kuwekeza nguvu kwako.
Mnaweza mkafanya na mapenzi na akakuacha hewani. Mkafanya na akaondoka muda huohuo. Ujue hajioni kwenye mahusiano nawe.

Ukiona hayo mwambie tu “unataka/ unasema unataka kuwa na mimi lakini matendo yako ni kama vile upo singo na unajitangaza kwa wanaume wengine, siwezi kuwa na mtu kama wewe kwenye mahusiano, heri nikuache ukajiachie uko”. Na kama atataka kujirudi, ajirudi kwa vitendo si maneno.

Muda mwingine ukiona hizo dalili na ulikua naye vizuri kimahusiano, ujue kuna sehemu mlipishana. Hivyo anatafuta mbadala wako mapema. Hapo umuulize tu mlipokosana na uanze kufanya kama ulivyofanya zamani mpaka akakupenda, au ujue mapema na uachane naye.

Jiepushe moyo wako usizame kwa mwanamke wa hivyo. Na hata ukiwa naye cheza kama anavyocheza yeye.
 
Wengi ni wabinafsi sana!
Wameijua pesa lakini uhitaji wanaume uko palepale kama hatakuwa na mstaarabu ataangukia kwa pedeshee ,kama sio pedeshee msela / masela wa kitaa, bodaboda/ bajaji driver/ muuza duka/ samaki/ muuza mitumba , watajifanya wasiri awe na pesa au hana hiyo ndio misele yao na hawapendi wanaume kujua mienendo yao .

Mwanamke mbinafsi akikujia ukamjua hata akubanie pua vp kaa mbali nae mbona wanawake wanaopenda kushirikiana kimaisha na kimapenzi kindoa wapo ,wapo sana tu
 
Back
Top Bottom