Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

nimethibitisha gaijin una damu ya kihindi au kisomali au kiarabu...
unantoa udenda mwenzio lol

Aaah usiwapaishe hao wahindi kihivyo nasi waswahili tupo juu !!

BAK kimsingi ni kaimati lkn wengine huita kalimati inategemea lahaja

Chapati za samli ndo zenyewe hasa hizi za mafuta ya alizeti ni hiyo kubana matumizi tu.
 
Hahahahah...ngoja nifungue ofisi yangu na tangazo la "KWA LIMBWATA ASILIA WASILIANA NA .........".Wakija nawapa maujanja ya jikoni!

lizzy sio utani kuna wanawake wanagombewa kuolewa kwa mapishi tu..
posa zinamiminika na kogongana....

mfano pilau
kuna pilau ya kiswahili,ya kihindi,ya bara,ya pwani. yaani hiyo pilau tu

kuna wamama anaweza pika vitumbua vikaiva na bado vikawa vyeupe fikiria hapo....

mimi nafikiria kuanzisha shindano la mapishi siku moja,zawadi iwe gari hivi kwa wamama
 
Aaah usiwapaishe hao wahindi kihivyo nasi waswahili tupo juu !!

BAK kimsingi ni kaimati lkn wengine huita kalimati inategemea lahaja

Chapati za samli ndo zenyewe hasa hizi za mafuta ya alizeti ni hiyo kubana matumizi tu.

siwapaishi
waswahili tuko juu najua kuwazidi hao wengi...
but wahindi wanadaiwa wajanja saana,wanaiba kwa wengine na kuongezea ufundi
wahindi wapo juu kuliko waarabu na wazungu
 
lizzy sio utani kuna wanawake wanagombewa kuolewa kwa mapishi tu..
posa zinamiminika na kogongana....

mfano pilau
kuna pilau ya kiswahili,ya kihindi,ya bara,ya pwani. yaani hiyo pilau tu

kuna wamama anaweza pika vitumbua vikaiva na bado vikawa vyeupe fikiria hapo....

mimi nafikiria kuanzisha shindano la mapishi siku moja,zawadi iwe gari hivi kwa wamama

Sawasawa boss

Kisha Ushawahi kula pilau la pweza? He he he kisha chungu kiwe cha watu wanne tu hivi, lazima utangaze ndoa :p
 
lizzy sio utani kuna wanawake wanagombewa kuolewa kwa mapishi tu..posa zinamiminika na kogongana....mfano pilaukuna pilau ya kiswahili,ya kihindi,ya bara,ya pwani. yaani hiyo pilau tukuna wamama anaweza pika vitumbua vikaiva na bado vikawa vyeupe fikiria hapo....mimi nafikiria kuanzisha shindano la mapishi siku moja,zawadi iwe gari hivi kwa wamama
Mahanjumati muhimu aiseee!Kuna mtu hata akikukaribisha kwake unaenda umeshiba mwingine unahakikisha hupishi kitu mpaka ufike kwake.Ni ubunifu tu...sio kila kitu mpaka upike vile unavyoona kwa wengine...unaongeza kakiungo kako ka siri kila anaekula anauliza uliweka nini!!That‘s a great idea...tena ukizingatia hatuna vipindi vingi vya maana ndo kabisa hata mimi ntakua sikosi kuangalia ubunifu na maujanja‘!!
 
Mhhhh! Hii pilau ya pweza hata mie sijawahi kuisikia hahahahah lol! G Hebu fafanua hapo chungu cha watu wanne (una maana imepikwa kwa ajili ya watu wanne?)[/QUOTE

mkuu huyu gaijin naona si mchezo..
baada ya hii thread naona watu watagongana huko kwake lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mahanjumati muhimu aiseee!Kuna mtu hata akikukaribisha kwake unaenda umeshiba mwingine unahakikisha hupishi kitu mpaka ufike kwake.Ni ubunifu tu...sio kila kitu mpaka upike vile unavyoona kwa wengine...unaongeza kakiungo kako ka siri kila anaekula anauliza uliweka nini!!That‘s a great idea...tena ukizingatia hatuna vipindi vingi vya maana ndo kabisa hata mimi ntakua sikosi kuangalia ubunifu na maujanja‘!!

na kuna nyumba kama ulikula kwako
ukapita tu ukakaribishwa

he he hee unajilaumu kwa kulijaza tumbo bure lol

sasa hiyo chai ya vanilla ukimuwekea mtu asie ijua lazima akuulize
 
na kuna nyumba kama ulikula kwakoukapita tu ukakaribishwahe he hee unajilaumu kwa kulijaza tumbo bure lolsasa hiyo chai ya vanilla ukimuwekea mtu asie ijua lazima akuulize
Will most definately give it a try....na nikiipenda ntaibatiza jina la chai ya Boss!
 
Mhhhh! mpaka kuna kisufuria maalum cha kupikia pilau ya pweza!!!! Duh! si kila sufuria unaweza kupikia pilau ya pweza. BOSS upo hapo!? itabidi niitafute hii pilau ya pweza :)

Hahaha siendei huko Bwana lakini mkikaribishwa pilau ya pweza iloandaliwa rasmi kwa ajili yenu mjue siku zenu za kuacha ukapera zimekaribia :p

Back to basics....,uji wa kunde, maziwa na vanilla
 
Mhhhh! mpaka kuna kisufuria maalum cha kupikia pilau ya pweza!!!! Duh! si kila sufuria unaweza kupikia pilau ya pweza. BOSS upo hapo!? itabidi niitafute hii pilau ya pweza :)

mkuu umeona ehh
hii thread hii mkuu we acha tu..
na kunawengine wamelala now
wakiamka watakuja hapa kuonesha ufundi wao
kama gaijin na lizzy...

kazi ni kwetu mkuu lol
 
Hahaha siendei huko Bwana lakini mkikaribishwa pilau ya pweza iloandaliwa rasmi kwa ajili yenu mjue siku zenu za kuacha ukapera zimekaribia :p

Back to basics....,uji wa kunde, maziwa na vanilla

Hehehehe huu kweli ni mlo maalum :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom