Habari ndugu na jamaa wa JF?
Nimekua nikifatilia humu JF kwa muda kuhusu ndoa, naamini humu kuna watu wana uzoefu mkubwa sana kuhusu ndoa tunaweza kushauriana mambo kadhaa.
Mimi ni kijana amabe nipo below 30 age nimeoa mke ambae ninamzidi mwaka 1, mimi na mke wangu wote tunalingana elimu ila mimi nina kazi yeye bado hajapata kazi, na tuna mtoto 1, tunaishi maisha ya wastani sio mabaya wala mzuri sana ila tunachokitaka tunakipata kwa muda tunaotaka.
Sababu ya kuja kwenu ni wife, nikiri kua kabla ya kumuoa huyu bi dada ambae ni mke wangu, nilikua nimesha fahamu hizi tabia zake (uvivu, dharau) nilijua atabadilika,mybe hapa ndio nilikosea. Mke wangu hafanyi kazi yoyote ndani, naweza kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni nikakuta hajafanya chochote zaidi ya kucheza na mtoto hii ata before hatujapata mtoto, nikawa napotezea naingia mwenyewe jikoni napika tunakula wote nafanya na kazi nyingine(NB. nimewahi achana na mahusiano kama haya b4 , nimejaribu kuongea nae sana, but anabadilika week moja anarudia tabia yake)
Sasa last week nilipata likizo kazini, nikamua niende home kupumzika na wife, wazazi na wadogo zangu wafahamie na wife kwa muda, baada ya kufika home, wife hafanyi kazi yoyote yeye ni kulala na kuchati nimejaribu sana kumwambia hili, hata kabla hatujaenda home imefikia hatua naamka mimi mapema nafanya kazi zote kabla wazee hawajamka, wakiuliza nasema ni wife japo sio kweli.
Juzi ijumaa mzee kaniita (mzee ni mshikaji kwangu hatufichani kitu nadhani watoto wa laini za jeshi wanaelewa) kanambia dogo unapotea huyu mwanamke achana nae afu kaondoka nikabaki na mshangao!
Jumamosi familia nzima wakaenda kanisani mimi na wife tuliamua kubaki, mama yangu kamwambia mkwe wakwe (mke wangu) nikute chakula kimeiva (mama yangu ana madonda ya tumbo anakula kwa mda) wife kasema sawa baada ya mama kuondoka wife kaingia chumba tulichopewa kaanza kuchati mpaka saa sita, nikamuliza wew si umeambiwa na mkweo akute chakula na sasa hivi saa sita maana saa saba anatoka kanisani, kanijibu kwaiyo me nifanye nini? Sijawahi mpiga mke wangu but nilimkonga kofi moja ambalo hata mimi sikujua limetoka vipi.
Naombeni ushauri hivi huyu ni mwanamke sahihi kwangu, atabadilika au niachanane nae?
Anything ruksa, matusi na kejeli.