Mambo yote ni Maakuli - Hunogesha Mapenzi

huyu gaijin ndo wale wanapewa talaka asubuhi

jioni keshaolewa na mwingine,lol
watu hawana mchezo na mahunjumati ati lol

Hahahahahah lol! halafu ukirudi kuja kumuomba arudi nyumbani na pia akusamehe kwa kumkosea unakuta ulishachelewa unabaki kulialia tu, njemba nyingine imeshakuzidi speed :)
 
Go ahead ahead Mkuu with your confession
Okay... najisifia kwa kujua kutengeneza maharage ya tui la nazi. Mpaka nikamdonyoa mchina mmoja kwa kung'ang'ania nimfundishe recipe hiyo alipoonja...unfortunately on her part she found me a little bit stingy on this front - u know, sharing recipes of sort! I insisted that it was a closely guarded recipe passed down generations by my forefathers, and that she would've to be "connected by blood" for me to reveal it to her!! There u have it, I did ask, didn't I?!!
 
unakuta njemba mdomo umenooona....
kuongea hawezi mashavu full lol

hahahahahahah lol! unabaki kulalalama tu yaani huyu mwanamke hata simuelewi tumeachana miezi miwili tu kishapata na mume mwingine na harusi wameshafunga...imetoka hiyo!!! hukujua thamani yake ulipokuwa naye wenzako walioona thamani yake wamekuzidi kete.
 
Okay... najisifia kwa kujua kutengeneza maharage ya tui la nazi. Mpaka nikamdonyoa mchina mmoja kwa kung'ang'ania nimfundishe recipe hiyo alipoonja...unfortunately on her part she found me a little bit stingy on this front - u know, sharing recipes of sort! I insisted that this was closely guarded recipe passed down generations by my forefathers, and that she would've to be "connected by blood" for me to reveal it to her!! There u have it, I did ask, didn't I?!!
Lolzzzz.....we mchoyo kweli!!Ila wakati mwingine ni raha zaidi kitu ukiwa unakijua wewe tu mtu akitaka akuombe umtengenezee!!
 
Okay... najisifia kwa kujua kutengeneza maharage ya tui la nazi. Mpaka nikamdonyoa mchina mmoja kwa kung'ang'ania nimfundishe recipe hiyo alipoonja...unfortunately on her part she found me a little bit stingy on this front - u know, sharing recipes of sort! I insisted that this was closely guarded recipe passed down generations by my forefathers, and that she would've to be "connected by blood" for me to reveal it to her!! There u have it, I did ask, didn't I?!!

Mhhhhhh! Steve Dii! Duh! kumbe maujanja ya jikoni yana faida zake eeh!!! :)
 
mno mkuu
mimki kuna mdada niliwahi mwambia naweza pika pilau lazabibu
akabisha,
nikamwambia uje nikupikie home....
unaweza guess kilichofuata baada ya pilau lol

Kumbe tuna njemba nyingi hapa zinajua maujanja ya jikoni....basi ngoja wadada wawazimikie :) hapa jamvini....maana siku nyingine ukifurahi unamwambia mama aweke miguu juu wewe unaingia jikoni kufanya mavitu yako na anajua fika chakula kitakuwa bomba tu...lakini hapa asiwepo mama wa mume au dada ndani ya nyumba inaweza kuwa kasheshe....mwanangu anaingia jikoni kupika wakati mkewe anajiremba tu chumbani kwao au mdada akaja juu yule kaka yetu sijui vipi labda ndio kisharogwa! uliona wapi mke anajiremba tu mume ndio yuko jikoni anapika :) hajarogwa bana! mapenzi tu hayo
 
La zabibu na mayai yalochemshwa!

Ila sikujua kuwa wanaume mnapenda chakula namna hii.....huuuuh!!

Naipenda sana pilau ya zabibu lakini hii ya mayai ya kuchemsha Mhhhhh! kwa mara nyingine tena umeniacha kwenye kona..ila najua mchuzi wa mayai ya kuchemsha unaupika kama mchuzi wa nyama kwa kukaanga mafuta vitunguu na nyanya na hata bizari halafu unachanganya kama unayo halafu unachanganya mayai humo humo ni bomba sana kwa wali mweupe :)
 
mkuu ukitaka kumpikia mpenzi wako
hakikisha wambea wote hawapo...
mpo nyinyi tu wawili...
unampikia na mnalishana taratiibu....
 
La zabibu na mayai yalochemshwa!

Ila sikujua kuwa wanaume mnapenda chakula namna hii.....huuuuh!!

gaijin sasa twende kwenye juice sasa

unaweza tengeneza juice ya karoti pasision fruit na tangawizi???????

umewahi?
usipime hiyo kabisa.....
 
Naipenda sana pilau ya zabibu lakini hii ya mayai ya kuchemsha Mhhhhh! kwa mara nyingine tena umeniacha kwenye kona..ila najua mchuzi wa mayai ya kuchemsha unaupika kama mchuzi wa nyama kwa kukaanga mafuta vitunguu na nyanya na hata bizari halafu unachanganya kama unayo halafu unachanganya mayai humo humo ni bomba sana kwa wali mweupe :)

Ukiwa na mgeni rasmi unatafuta mayai ya ndege madogo madogo, ukikosa madogo mayai ya kuchemsha unaweza kukata vipande pia.
 
Naipenda sana pilau ya zabibu lakini hii ya mayai ya kuchemsha Mhhhhh! kwa mara nyingine tena umeniacha kwenye kona..ila najua mchuzi wa mayai ya kuchemsha unaupika kama mchuzi wa nyama kwa kukaanga mafuta vitunguu na nyanya na hata bizari halafu unachanganya kama unayo halafu unachanganya mayai humo humo ni bomba sana kwa wali mweupe :)
Mmmh vipi ile mboga ya mayai ya kukaanga na nyanya kwa ugali?!
 
Back
Top Bottom