Ukiwa na mwanamke Tanzania, gharama utakazoingia kwa mwezi mmoja tu ni bodaboda mbili

Mtuache

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
251
638
Mambo vipi.. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada

Katika pita pita zako unakutana na dem mkali tu kakuvutia. Unaanza kumtongoza ukiwa legend sana na kwa dem wiki tu ameshakubali.

Haya Wiki nzima mnachat pamoja na kuwasiliana, Mnajuliana hali wiki nzima. Kwa siku mnaweza tumia sio chini ya masaa matano kuwasilliana na mtu mmoja (kwa kuchati au kupigiana simu). Kumbuka hapo ni unaimbisha tu.

Kwenye kuimbisha huimbishi hivi hivi, ohoo utakalishwa mwaka mzima. Labda uwe na swaga za aje sijui, madem wa sasa hv wanataka kilainishi. Maneno mengi waachie ma'MC

Huku na huku mchumba kakubali, linakuja suala lengine la kubebishana. Mara paap " baby nitumie vocha ya 1500" "mara baby gesi imeisha kujaza ni 23,000" . Mwamba huna hiana unatoa. Dem kapita sokoni kaupenda mkoba, kesho yake saloon inamuita. Mara rafiki yake sijui anaolewa bro ununue sare, shoga yake kapewa mimba na mtu mwengine kajifungua unaambiwa wewe ununue zawadi. Jumla kuu sio chini ya elfu 60.

Penzi lina wiki moja hapo.

Wiki ya pili mwanangu unaona aah sio kweli na wewe unataka vyako (utelezi) maana utamu unao mwenyewe, unamuomba mchumba kachomoa, eti "bado mapema" pesa zako alipoomba huo umapema hakuuona. Huku na huku umeforce dem kakubali, kasema mkutane jumapili yaani siku ya kuabudu. Wewe tena na pepo la ngono limekujaa kwani unajali?

HATA HUJALI

Alhamisi ikapitan, ijumaa hio hapo kufika jumamosi anakwambia anaumwa tumbo, "shida nini mama?" "Ooh sijui limenianza tu ghafla" "basi sawa, sikilizia ukiona vipi nenda hospitali". Jioni asikushangaze nini... "Baby nimeingia period" . Mizagamuo tena hapo hakuna maana yake.

Wiki ya pili imekata hapo hakuna cha maana. Simba wanacheza GGMU. Kama ilivyowazi wakiwaga hivyo wanataka "attention" eti madai yao uwajali. Hapo simu zisizo za maana upige kila muda, zawadi zisikauke mara hiki mara kile. Na ndo hio wiki kodi inaisha. Dem anakaa chumba na sebule kwa mwezi 150,000. "Baby nichangie hata miezi miwili mpenzi wangu"

Umepigwa busu, umeshikishwa victoria "laki tatu hio mama lipa kodi usije kufukuzwa". Jumla kuu shingapi? Utajua mwenyewe kuanzia huko juu siku ya kwanza

Siku zake zimeisha mwamba gundi limekujaa, unakumbushia. Mtoto nae kaona acha akutunuku. Mnapanga siku, kwa kusua sua lakini nayo siku ikafika. Kajiandaa kakupigia simu nipo tayari kuja tuma nauli.

Hapandi daladala ujue.. mtoto anataka bolt 8,000 mpaka kwako. Kama huna kwako muende lodge 20,000 kuanzia (haingii gesti kasema). Mchumba akija siku ya kwanza ujue hapiki. Ununue chakula (wewe + yeye kwa siku moja nzima sio chini ya 20,000) najua huwezi nunua ugali, ni kiepe yai kyuku huku nyama huku choda.

Mtoto kakupa show nzito kweli kweli na vizinga juu. "Unga kwangu umeisha, VICOBA nadaiwa (anacheza majina mawili), nywele zimefumuka. Unabisha nini si alisuka wiki iliyopita nywele za 40,000 zishafumuka sasa.



Nachotaka kukwambia ni kwamba ukiwa na dem hapa Tanzania ni afadhali kuwa na familia yenye watoto watano Ulaya. Hizo gaharama utazoingia kwa mwezi mmoja tu NI BODABODA MBILI (TVS na Boxer moja).

Sikwambii ununue Malaya lakini hata wewe fikiria tu. Malaya wa elfu 30 ni pisi kali, safi, unakutana nae siku hio hio unapiga anapita hivi. Hakuombi kodi, haishiwi unga masikini dada wawatu, hachezi VICOBA na kama anacheza atajua mwenyewe, kwa hio 30 unamkuta kasuka, kavaa kapendeza na vocha anayo.

Huwezi kununua malaya ni dhambi basi OA. usisema malaya wana maradhi, hakuna madem wana play safe kama hao, wapo makini vibaya mno. Ni kama wanajeshi hawaingii vitani kizembe, Labda kama ni mateka.

Narudia, usiwe na dem kijana. Aidha UOE au UPIGE NYETO. Madem msipojirekebisha mtatupata kwa waganga
 
Mnawatoaga wapi wa hivyo?
Huyo ni slay queen sio KE wa malengo (wife material). Mwanamke mwenye upendo nawewe hawezi akakufanyia hayo yote, hayo wanayafanya wale ambao hawana cha kupoteza(mguu mmoja ndani mwingine nje).

Unapotafuta ukaribu na KE ambae unajua huyu ni wa malengo kuna baadhi ya mambo usiyape priority sana ili kumuepushia kufake love(matumizi makubwa ya pesa), vinginevyo awe ni wa kupita tu na lazima akupitie na wewe mfukoni ili lengo lako litimie haraka.

Wenyewe wanasema pesa huwa hawawaombi wanaowapenda, wanawaomba wasiowapenda ili kukufanya umchoke uachane nae umpunguzie kero.

Kuimbisha kwenye simu ni changamoto sana, hapo unampa kibali cha kusema hadi matatizo yake ya ukoo. Tafuta muda mtoke out ni gharama kiasi lakini itasaidia. Ke ukishakua unachat nae vulu vulu na ndio penzi jipya kama ni aina ya wale wanaotanguliza pesa mbele lazima upigwe vizinga sana.
 
Mambo vipi.. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada

Katika pita pita zako unakutana na dem mkali tu kakuvutia. Unaanza kumtongoza ukiwa legend sana na kwa dem m
Hao wanawake sijui mnawaokotaga wapi........unataka utelezi kwa burudani tu vitoto vya chuo kibao ,unaweka kabajet kako ka siku 1 kujilipua kazi kwisha,,,shida mnaibukia vidude vya ajabu halafu mnaanza kulalamika,,,,,ukitaka wakutulia nae nenda polepole unamsoma mtu ukiona mawenge unahamia kwingine kucheki, watu mnakua maboya kisa tu kipochi manyoya
 
Mambo vipi.. Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada

Katika pita pita zako unakutana na dem mkali tu kakuvutia. Unaanza kumtongoza ukiwa legend sana na kwa dem m ameshakubali. Haya Wiki nzima mnachat pamoja na kuwasiliana, Mnajuliana hali wiki nzima. Kwa siku mnaweza tumia sio UOE au UPIGE NYETO. Madem msipojirekebisha mtatupata kwa waganga
Mwamba umetisha sana.
 
Mnawatoaga wapi wa hivyo?
Huyo ni slay queen sio KE wa malengo (wife material). Mwanamke mwenye upendo nawewe hawezi akakufanyia hayo yote, hayo wanayafanya wale ambao hawana cha kupoteza(mguu mmoja ndani/nje).

Unapotafuta ukaribu na KE ambae unajua huyu ni wa malengo kuna baadhi ya mambo usiyape priority sana ili kumuepushia kufake love(matumizi makubwa ya pesa), vinginevyo awe ni wa kupita tu na lazima akupitie na wewe mfukoni ili lengo lako litimie haraka.

Wenyewe wanasema pesa huwa hawamuombi wanaowapenda, wanawaomba wasiowapenda ili kukufanya umchoke uachane nae umpunguzie kero.

Kuimbisha kwenye simu ni changamoto sana, hapo unampa kibali cha kusema hadi matatizo yake ya ukoo. Tafuta muda mtoke out ni gharama kiasi lakini itasaidia. Ke ukishakua unachat nae vulu vulu na ndio penzi jipya kama ni aina ya wale wanaotanguliza pesa mbele lazima upigwe vizinga sana.
Kumbeee...nimejifunza demu akikuomba hela hakupendi. Dah anywas wacha niende nae hivyo hivyo maana kila baada ya siku mbili bby naomba hela alafu yeye mbususu hatoi
 
Back
Top Bottom