kuna zile avatars za nyoka halafu mtu kaweka kiwembe kwenye jicho halafu jicho linatoa damu,dah kinanikera balaa
mkuu napita 2.nimeisoma thread ingawa kwa haraka haraka.nitarud namfata jamaa anipe pesa yangu kaniambia ana2ma kwa mtandao wa cm za mkonon naona ha2m so dawa kumuibukia hukohuko-i insist narud.1.Mtu akipost thread hata kama ya msingi kuna baadhi ya members wanaigeuza kuwa genge la kunywa kahawa
mf:kupiga story tofauti na mada husika lengo la thread mpaka linapotea
2.Watu hawaheshimu mawazo ya watu;Mfano,ooh umepost upupu,unawaza kwa kutumia organ ya mwili,umetumwa e.t.c
3.Thread imenoga,jinsi unavyochangia ndo jinsi PM zinavyoingia mpaka browsing inaenda slow.
4.wengine wanatumia ufupisho wa ajabu mpaka unashindwa kuelewa,mf.sasa anaandika xaxa,sisi anaandika cc.
5.Huku ukieleza kuhusu facebook utapondwa ila 99% wanazo account za facebook.
6.Members wapya wanajua kila jukwaa,wanawajua members wa siku nyingi wanaochangia mada na mbinu za kuwafuatilia.
7.Mtu anapost thread halafu haonekani tena na hujui hata kama ameridhika na ushauri au majibu.
8.Watu wataponda kuhusu thread uliyopost but hawaachi kuchangia,kama wamelazimishwa vile kuponda wengine.
9.Kutafuta ban makusudi ili ujulikane humu
ongezea na mengine yanayokukera
hope u good dia
lol somtimes inabidi,Ww mwenyewe na mpenzio mshageuza bedroo,unaona sasa? Huwezi kuzuia, hata msibani hatulii saa zote manake tutakaukiwa. Kuna kutaniana, kulia na kuongea issues serious.
Afu umenikumbusha, kumbe nimekumis eeh!
Sasa mbona na wewe unazidi kumkera hny?
(hny ndio nini?)...si amesema hapendi ufupisho..
hope u good dia
Ww mwenyewe na mpenzio mshageuza bedroo,unaona sasa? Huwezi kuzuia, hata msibani hatulii saa zote manake tutakaukiwa. Kuna kutaniana, kulia na kuongea issues serious.
Afu umenikumbusha, kumbe nimekumis eeh!
Khaaa!mnakera nyie tu kwangu exceptional