cwitieelly
New Member
- Apr 22, 2012
- 2
- 1
kama mnapendana kw dhat naamin klia mmoja atakuwa waz kwa mwenzio na cdhan km kutatokea ugomv
Mi hapo ndo napochoka, wanaume hawapendi kufuatiliwa lakini wao kwa kuwafatilia wanawake zao hawajambo haki ya nani!
kama hupendi kuulizwa zaa mwanamke wako au ishi mwenyewe.....wanaume bwana
Eti anakupigia kukuuliza kama utakula kumbe lengo lake kutaka kujua upo wapi na nan? Kidogo eti usisahau kurud na dawa ya mtoto_kumbe anakubana ili uwahi kurudi, mara oh leo sijisikii vizuri naomba uniletee Panadol kisa umekaa kimya muda mrefu bila kumpigia ivo anajua upo na wanawake.co kukosea in such... mfno unamuulizauliza mara uko wap, unarud saa ngap uko n Nani huko aliko anakuwa anakereka but akirudi yashaisha ila kiukweli huwa anaboreka bt anakuwa anamezea tu. kupitia jf mtu anaweza kujirekebisha
umeona ehehe... unakuta yeye anataka kujua upo wapi umeenda sokoni useme, umeenda saloon useme ila yeye utakuta hata anaweza kusafiri hata mkoa jirani but hatoi hata taarifa. kwa me binafsi najua mapenzi ni nipe nikupe simaanishi pesa ama vitu namaanisha ukipenda kutendewa hili na mwenzi wako nawe tenda kama hilo au zaidi... hapo ni mambo mazur tu.
ikiwezekana au panapo nafas mwanaume anaweza kufanya hayo yote kwan hakuna mwanaume aweza kufua,kupka,kusafisha nyumba?
kama hupendi kuulizwa zaa mwanamke wako au ishi mwenyewe.....wanaume bwana
mimi nashangaa sana, mtu umeamua kuwa na mahusiano au umeoa lakini hupendi kuulizwa chichote...sasa si ni heri ungelkuwa single tu?ya nini unapenda kuwa na privacy wakati uko na relationship na mtu?basi usiwe nae ili ukeep privacy zako vizuri...thats why namalizia kwa kusema kama mtu/mwanaume hapendi kuulizwa basi azae au aumbe wake ambaye atamtune kutomuuliza lakin kwa hawa aliowaumba Mwenye-enz Mungu asahau na ataulizwa milele
mmmh, naona umefunguka ile mbaya... umeguswa kwenye raw nerve nini mrembo?
mimi nashangaa sana, mtu umeamua kuwa na mahusiano au umeoa lakini hupendi kuulizwa chichote...sasa si ni heri ungelkuwa single tu?ya nini unapenda kuwa na privacy wakati uko na relationship na mtu?basi usiwe nae ili ukeep privacy zako vizuri...thats why namalizia kwa kusema kama mtu/mwanaume hapendi kuulizwa basi azae au aumbe wake ambaye atamtune kutomuuliza lakin kwa hawa aliowaumba Mwenye-enz Mungu asahau na ataulizwa milele
tatizo lenu mnajifanya mnajua sana kupenda, mtu hata hatujazaliwa pamoja unajidai unauchungu na mimi kuliko hata mama yangu kila saa uko wapi, unarudi saa ngapi wakati tumekutania barabarani... Acheni kuigiza banah
wanawake wamezaliwa na gubu, wivu, roho mbaya na kisirani
Hapa suala sio ugomvi ila kero ya hayo maswali...kama mnapendana kw dhat naamin klia mmoja atakuwa waz kwa mwenzio na cdhan km kutatokea ugomv