mambo gani mengine ambayo yanawakera wanaume

Nashukuru coz umenipa mwanga, kumbe kutopenda kuulizwa ni sababu mtu nakauwa hajakupenda eeehhh?asante mwaya coz nimejifunza kitu....so now ntakuwa kimyaaaa kama vile sio mimi vile, ila ndo inabidi kuwa na kidumu na kuishin kisanii zaidi hahahaha

cul, but kuhusu kidumu cku ukipgwa usintaje kabitha...
 
1.kupiga simu usiku baada yakumaliza kuongea.. eti kutaka kupprove kama hatokuta waitting call
2. kunibishia hata nkimwambia yamsingi
3. kuniambia umbea
4. kujaza wanaume kwenye phonebook yake au facebook friends wake
5. kupiga mitoko bila kuniaga
6. kuvaa kiajabuajabu
7. KUNIDANGANYA

Umesema mkuu
 
kama hupendi kuulizwa zaa mwanamke wako au ishi mwenyewe.....wanaume bwana

We mrembo hata ubishe the truth will remain there....
Hakuna mwanaume anayependa kuulizwa maswali yasiyona msingi km aliyomention Charminggirl....
Wengi wameachwa bila kujua sababu ila sababu ndio hiyo. Inaboaga sana.
Binafsi huwa sijibu maswali ya kijinga km hayo..hutaki achana na mimi
 
Last edited by a moderator:

Mhh haya bwana hawa ndo wanaume wa karne ya 25 , nimekubali na ninahisi inabidi nicheze kwa kufuata mdundo wa mziki la sivyo itakula kwangu, ila wanaume mbadilike coz vimeo ndo vinafanya muwe hivi......
 
Afadhali huyo aulizaye uko na nani?mpe niongee naye, mi nishawahi kuambiwa nipigepige kitanda kando yangu kwa nguvu hadi asikie kwa simu ndo ajue niko peke yangu.
 
Best Cartura nshakutana na mijitu ya namna hii...., unajua kama hupendi kuulizwa then uwe unamjulisha wewe kwamba muda huu naenda hapa, nikitoka hapa ntapitia hapa, then ntamalizia hapa!!

unajua best, kuulizana maswali siyo mbaya as such, ila mara nyingi issue inakuwa jinsi maswali yenyewe yanavyolizwa kwa maana ya 'tone' na mantiki.. mwingine anauliza kwa ukali kama vile keshakutuhumu tayari; maswali kama uko na nani, unafanya nini, nipe niongee naye, mbona nasikia sauti za wanawake etc lazima yamkere mwanaume yeyote..
 
Afadhali huyo aulizaye uko na nani?mpe niongee naye, mi nishawahi kuambiwa nipigepige kitanda kando yangu kwa nguvu hadi asikie kwa simu ndo ajue niko peke yangu.

mh.umenikumbsha clacmate wangu 1 ye alikuwa na girl wake mwenye tabia hyo ya kuulza ulza uko wap.cku 1 jamaa aksema leo ntamkomesha.bs yle girl alvopga jamaa akapokea afu akaanza kuzungsha cm km vile fen ili hyo girl askie upepo flan hv.afu jamaa akamwambia nipo safarn kumbe ypo town tu!
 
Mhh haya bwana hawa ndo wanaume wa karne ya 25 , nimekubali na ninahisi inabidi nicheze kwa kufuata mdundo wa mziki la sivyo itakula kwangu, ila wanaume mbadilike coz vimeo ndo vinafanya muwe hivi......

haha mrembo,kuna tcha 1 ye alimjibu dent wake "ur dancing faster than the beat" so nawe angalia ucje kuwa fasta ingawa unafata mdundo eeh!
 
wanawake tuna roho mbaya na kisirani juu , he apo sasa ...
kiranja mkuu ,
 
Mi sipendi wanawake wanavyopoteza muda bila sababu ya msingi.
Wiki nzima unamuambia ajiandae mtaenda kwe party sehemu fulani muda wa saa kumi.
Ikifika hiyo saa kumi ndio anaanza kwenda sokoni kununua maharage, na hapo ni lazima uende nae partyini, ukimuacha panachimbika.

akimaliza kujipodoa atanikuta eneo la tukio...
 
Back
Top Bottom