mambo gani mengine ambayo yanawakera wanaume

Mi hapo ndo napochoka, wanaume hawapendi kufuatiliwa lakini wao kwa kuwafatilia wanawake zao hawajambo haki ya nani!
 
Mi hapo ndo napochoka, wanaume hawapendi kufuatiliwa lakini wao kwa kuwafatilia wanawake zao hawajambo haki ya nani!

umeona ehehe... unakuta yeye anataka kujua upo wapi umeenda sokoni useme, umeenda saloon useme ila yeye utakuta hata anaweza kusafiri hata mkoa jirani but hatoi hata taarifa. kwa me binafsi najua mapenzi ni nipe nikupe simaanishi pesa ama vitu namaanisha ukipenda kutendewa hili na mwenzi wako nawe tenda kama hilo au zaidi... hapo ni mambo mazur tu.
 
co kukosea in such... mfno unamuulizauliza mara uko wap, unarud saa ngap uko n Nani huko aliko anakuwa anakereka but akirudi yashaisha ila kiukweli huwa anaboreka bt anakuwa anamezea tu. kupitia jf mtu anaweza kujirekebisha
Eti anakupigia kukuuliza kama utakula kumbe lengo lake kutaka kujua upo wapi na nan? Kidogo eti usisahau kurud na dawa ya mtoto_kumbe anakubana ili uwahi kurudi, mara oh leo sijisikii vizuri naomba uniletee Panadol kisa umekaa kimya muda mrefu bila kumpigia ivo anajua upo na wanawake.
 
umeona ehehe... unakuta yeye anataka kujua upo wapi umeenda sokoni useme, umeenda saloon useme ila yeye utakuta hata anaweza kusafiri hata mkoa jirani but hatoi hata taarifa. kwa me binafsi najua mapenzi ni nipe nikupe simaanishi pesa ama vitu namaanisha ukipenda kutendewa hili na mwenzi wako nawe tenda kama hilo au zaidi... hapo ni mambo mazur tu.

kwahiyo unavyomfulia nguo, kumpikia, kuchota maji, kuosha vyombo na kusafisha nyumba. n.k, na mumeo unataka akufanyie hivyo?
 
ikiwezekana au panapo nafas mwanaume anaweza kufanya hayo yote kwan hakuna mwanaume aweza kufua,kupka,kusafisha nyumba?
 
Mimi enzi zangu sikupenda sana kuulizwa "do you trust me" na sipendi kwa sababu mapenzi ni rationality haswa mnapokuwa na malengo ya ndoa mdada anatakiwa kubase on kupenda, kujali, heshima na kuthaminiana..........haya ni real na yana indicators

Trust ni illusional wadada nadhani wengi huishia kuumizwa kwa sababu wana invest kwenye trust na kusahau love is a game with no principles BUT rationality...................achaneni na feelings na trust issues zingatieni hii kitu ni moja ya siri ya ndani katika ku grade na kupata the so commonly named wife materials
 
mimi nashangaa sana, mtu umeamua kuwa na mahusiano au umeoa lakini hupendi kuulizwa chichote...sasa si ni heri ungelkuwa single tu?ya nini unapenda kuwa na privacy wakati uko na relationship na mtu?basi usiwe nae ili ukeep privacy zako vizuri...thats why namalizia kwa kusema kama mtu/mwanaume hapendi kuulizwa basi azae au aumbe wake ambaye atamtune kutomuuliza lakin kwa hawa aliowaumba Mwenye-enz Mungu asahau na ataulizwa milele
 
kama hupendi kuulizwa zaa mwanamke wako au ishi mwenyewe.....wanaume bwana

mbona umepanic mrembo? cha kufanya mpigie inapobidi lakini sio kila muda hadi ina bore coz si kila muda ni wakati wa ku deal na simu mrembo kuna kazi zingine haziitaji usumbufu!
 
mimi nashangaa sana, mtu umeamua kuwa na mahusiano au umeoa lakini hupendi kuulizwa chichote...sasa si ni heri ungelkuwa single tu?ya nini unapenda kuwa na privacy wakati uko na relationship na mtu?basi usiwe nae ili ukeep privacy zako vizuri...thats why namalizia kwa kusema kama mtu/mwanaume hapendi kuulizwa basi azae au aumbe wake ambaye atamtune kutomuuliza lakin kwa hawa aliowaumba Mwenye-enz Mungu asahau na ataulizwa milele

mmmh, naona umefunguka ile mbaya... umeguswa kwenye raw nerve nini mrembo?
 
mmmh, naona umefunguka ile mbaya... umeguswa kwenye raw nerve nini mrembo?

Best Cartura nshakutana na mijitu ya namna hii...., unajua kama hupendi kuulizwa then uwe unamjulisha wewe kwamba muda huu naenda hapa, nikitoka hapa ntapitia hapa, then ntamalizia hapa!!ujue sisi ni binadamu anything can happen...mfano mzuri ni ishu ya Kanumba je ingemtokea yko mbli huko may be hotelini hamna ndugu?si angeozea ndani!so kuulizwa sometimes sio kuchungwa lakin ni katika kujuliana hali na usalama wetu/.......sasa kama ww binadamu hutaki hilo then utakuwa hujitakii mema....Wewe mwanaume kama hutaki nikuulize basi kwangu huna nafasi
 
Duh!! Wana Jf wagumu sana kuelewa kila siku nawaambia habari za SODA YA KOPO kakini hamsikii, hii kitu bwana, naipenda sana. Haina maswali, haikupigii simu, haina wivu wala haiumizi moyo. Isitoshe inakupa muda kufanya mambo yako yote unayotaka. Kubali au kataa, mapenzi yamekwishatushinda. Kama huamini jaribu kupenda uone kama hujaleta hapa thread ya kuumizwa.
 
mimi nashangaa sana, mtu umeamua kuwa na mahusiano au umeoa lakini hupendi kuulizwa chichote...sasa si ni heri ungelkuwa single tu?ya nini unapenda kuwa na privacy wakati uko na relationship na mtu?basi usiwe nae ili ukeep privacy zako vizuri...thats why namalizia kwa kusema kama mtu/mwanaume hapendi kuulizwa basi azae au aumbe wake ambaye atamtune kutomuuliza lakin kwa hawa aliowaumba Mwenye-enz Mungu asahau na ataulizwa milele

tatizo lenu mnajifanya mnajua sana kupenda, mtu hata hatujazaliwa pamoja unajidai unauchungu na mimi kuliko hata mama yangu kila saa uko wapi, unarudi saa ngapi wakati tumekutania barabarani... Acheni kuigiza banah
 
Nashukuru coz umenipa mwanga, kumbe kutopenda kuulizwa ni sababu mtu nakauwa hajakupenda eeehhh?asante mwaya coz nimejifunza kitu....so now ntakuwa kimyaaaa kama vile sio mimi vile, ila ndo inabidi kuwa na kidumu na kuishin kisanii zaidi hahahaha
 
1.kupiga simu usiku baada yakumaliza kuongea.. eti kutaka kupprove kama hatokuta waitting call
2. kunibishia hata nkimwambia yamsingi
3. kuniambia umbea
4. kujaza wanaume kwenye phonebook yake au facebook friends wake
5. kupiga mitoko bila kuniaga
6. kuvaa kiajabuajabu
7. KUNIDANGANYA
 
Back
Top Bottom