ni kweli hata mimi nimewahi kuwauliza watu mara kadhaa lakini haieleweki.
nakumbuka mara ya mwisho alitaka kujiingiza kwenye siasa wakamzimilia mbali ikawa ndiyo jiiiii!!!!!!!!!
Wengi hupitia hiyo milango na kutoka kabisa kimaisha nafikiri na hatima yake ni kufa kwa kipaji chake. Mfano. yule mwendeshaji wa kiti moto, etc. Lakini si vizuri wanabana haki ya kikatiba ya ku-suspect, kuchunguza na kuhoji. BUT thanks the era is coming to an end. Uwazi na ukweli ukimaanisha usiri na ukandamizaji ---is dead. Sasa ni kukandamiza kizenji na mambo ya mapouda!
Umeshaamka? Maana hizo ni ndoto za daylight.
Haha ni kweli alikwenda dodoma mapaja nje nje, kuwashutumu wabunge kwa ufuska. Haikuingia akilini mwa waheshimiwa kwa mtu anayekwenda kukataza kitu ambacho kivitendo anaonekana anahamasisha. Alidhani anaweza kuwachezea wabunge kama alivyocheza na minds za wasikilizaji wa Radio one. Mumewe ni M-Nigeria, mnaojua Nigeria mnaweza kuelewa what does this mean, inawezekana deal zao ziliwafikia wabunge na wakazitumia hizo hzio kumfunga mdomo. just thinking.
Kweli naskia mama alikuwa mtu wa vivazi ila hoja yake dhidi ya ufuska wa wabunge wengi ndio iliyofanza wahishimiwa wamjie juu!!!! I believe ilikuwa janja ya wahishimiwa, kuonyesha kuwa mama T ndie mwenye matatizo.
Wabunge hawa_maindi vimini???? Eboooooooooo!!!! Embu nenda club 84 uone wanavyosakata rhumba na vichangu wenye pensi bubu!!!!!! Kama huko mbali pitia Mwanga Bar; saturday au chako ni chako bar uone wanavyotolea mimacho machangu waliovalia nusu mkate!!!
Ndio maana, siku ya kupima ukimwi kwa hiari, pale Dom mwaka 2005, wahishimiwa wengi waliingia mitini!!! Achana na hao jamaaaaaaaa!!!!!
du mzee umeua kweli, umepiga nyoka kwenye kichwa. NI kweli unayosema kwa sababu mama Teri aligusa moja kwa moja kwenye mshipa wa fahamu, ndio maana jamaa wakaja juu.
Nadhani ndio sababu ya kupotea kwa mama terry!!! maana baada ya kumuita dom, haikuchukua muda tukaskia jiiiii!!!!!!!!. pengine alikatishwa tamaa na reaction ya watunga sheria!!!!!!!!!!
Makazi yake yalikuwa Kurasini, Dar es Salaam. Jameni majirani mlio humu tujuzeni huyu mama yuko wapi???? Au kapewa mtaji aende Nigeria???? Hakuna hata anayewasiliana naye jamani tujue alipo??? Nimemiss mafunzo yake kwa jamii. Pengine ana barua ya onyo na measures if act against, so kwa maisha yake akaamua kukaa kimya??? But I believe yuko mzima hajafa kama kina Horace Kolimba, Daudi Balali, Dr. Fupi, Amran Kombe, you name all!!!