Mama mwenye nyumba kaikataa kodi yangu, loh!

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,566
Ni kijana wa umri wa miaka 28, nimeajiriwa ktk shirika moja kubwa la umma na recently nimehamishiwa mkoani Dar. Nilipata shida sana kupata nyumba, na kwa msaada wa rafiki yangu, aliniunganishia nyumba (Vyumba viwili na sebule hapa Sinze kwa Remmy) kwa huyu mama. Ni nyumba aliyokuwa anaishi yeye rafiki yangu lakini sasa amejenga yake na kunisaidia kuipata kwa kodi ile ile aliyokuwa analipa yeye.

Ni takriban mwezi wa tatu sasa, mama mwenye nyumba amekuwa akijizungusha kuchukua kodi yake ... Kila nikimwambia nimkabidhi amekuwa hayuko siriaz akisisitiza nisiwe na wasi wasi ataniambia lini nimpe. Amekuwa mchangamfu sana, na ananizoea kwa kasi mno na wakati mwingine kadiriki hata kuniletea chakula cha jioni.

Nimeingia na hofu kwa hii speed yake, sijui nia yake, nahisi kumuelewa tofauti. Naomba ushauri, nihame?

****** Email ya mdau mmoja toka Sinza kwa Remmy anaomba ushauri ****

Mzee, utakuja kuomba dunia ipasuke uzame...mWISHO wa mahusiano na mama wenye nyumba ni kilio na kusaga meno.
Kama ukiingiza kichwa, na una demu wako mahala, basi asithubutu kukanyaga hapo, vinginevyo utalia.
 
Ni kijana wa umri wa miaka 28, nimeajiriwa ktk shirika moja kubwa la umma na recently nimehamishiwa mkoani Dar. Nilipata shida sana kupata nyumba, na kwa msaada wa rafiki yangu, aliniunganishia nyumba (Vyumba viwili na sebule hapa Sinze kwa Remmy) kwa huyu mama. Ni nyumba aliyokuwa anaishi yeye rafiki yangu lakini sasa amejenga yake na kunisaidia kuipata kwa kodi ile ile aliyokuwa analipa yeye.

Ni takriban mwezi wa tatu sasa, mama mwenye nyumba amekuwa akijizungusha kuchukua kodi yake ... Kila nikimwambia nimkabidhi amekuwa hayuko siriaz akisisitiza nisiwe na wasi wasi ataniambia lini nimpe. Amekuwa mchangamfu sana, na ananizoea kwa kasi mno na wakati mwingine kadiriki hata kuniletea chakula cha jioni.

Nimeingia na hofu kwa hii speed yake, sijui nia yake, nahisi kumuelewa tofauti. Naomba ushauri, nihame?

****** Email ya mdau mmoja toka Sinza kwa Remmy anaomba ushauri ****

hama kama vipi
 
Usihame. Ishi kwa akili. Jaribu kuepuka ofa zake za chakula na misaada mingine. Kodi yake itunze, elewa itakuja daiwa kwa kasi mara atakapoona ameshidwa kukupata. Hao ndio wamama wa mjini, kakupenda na usipokuwa mwangalifu utaingia mkenge.
 
Muulize rafiki yako alikuwa analipa kodi kwa njia gani??

Alinieleza kuwa rafiki yake huyo alikuwa anaishi na familia yake na alikuwa analipa kodi kama kawa. laki tatu kwa mwezi ...
 
huyu mwanamama itabidi umsuprise kama ankoli mtambuzi na beki tatu halafu uhame kimyakimya vinginevyo utakaa uendelee hata mara moja..
 
Mkuu hii mikasa inakukuta wewe?
Jana ulikuja na nyingine leo umekuja na nyingine tena.
 
Ni kijana wa umri wa miaka 28, nimeajiriwa ktk shirika moja kubwa la umma na recently nimehamishiwa mkoani Dar. Nilipata shida sana kupata nyumba, na kwa msaada wa rafiki yangu, aliniunganishia nyumba (Vyumba viwili na sebule hapa Sinze kwa Remmy) kwa huyu mama. Ni nyumba aliyokuwa anaishi yeye rafiki yangu lakini sasa amejenga yake na kunisaidia kuipata kwa kodi ile ile aliyokuwa analipa yeye.

Ni takriban mwezi wa tatu sasa, mama mwenye nyumba amekuwa akijizungusha kuchukua kodi yake ... Kila nikimwambia nimkabidhi amekuwa hayuko siriaz akisisitiza nisiwe na wasi wasi ataniambia lini nimpe. Amekuwa mchangamfu sana, na ananizoea kwa kasi mno na wakati mwingine kadiriki hata kuniletea chakula cha jioni.

Nimeingia na hofu kwa hii speed yake, sijui nia yake, nahisi kumuelewa tofauti. Naomba ushauri, nihame?

****** Email ya mdau mmoja toka Sinza kwa Remmy anaomba ushauri ****

Ni chakula aina gani unachomaanisha. Je, akikuletea unakila?
 
Kama vipi hama, manake invyoelekea mama anataka vituz huyo
 
Mtafute mshikaji mwingine ambae pia ni single kazini kwenu umpangishe kwenye chumba cha ziada kwa muda. Apo utajua nia kamili ya mama mwenye nyumba!
 
Ahame nyumba mapema.

Atahama ngapi ? Si bora hapo akandamize apate huo ubwete wa kukaa bwerere, kama Jimama linasamehe rent!
Wakati huo kiulaaiiyyni ile pesa ya rent anaanza kudonoa Twiga Cement mfuko mmoja'mmoja.
Kulikoni uyakimbie ya C.C.M uwende ukakumbane na ya Chadema.
Ndiyo !
Hapo Pwani bwana ! Na Pwani kuna mambo yake!
Unasepa hapo kwa Bi mkubwa unahamia kwingine unakuta huko kuna Babu "Mukaka" nae anaipotezea kodi mara uje umsikie "kijana unapendeza! Kijana hivi..." na wewe na habari hizo huzielewi kabisa , unakuja mshushia mingumi Babu anazimika! Murder ya bure!
Eee bwn komaa hanohano.
 
mbona simple......
muite girlfriend/mchumba/mke wako akae na wewe kama mwezi.....
uone atakukumbusha mwenyewe na chakula kitakoma kuletwa kwako jioni....
 
Kaa. Kupata nyumba ni taabu Dar. Weka hiyo pesa standby. Labda mama huyo anakuchukulia kama mtoto au mdogo wake.

Usijaribu kum entertain zaidi ya kusalimiana nae kiungwana. Whatever the case, wewe keep your cool.

Mimi nilikuwa naishi Kinondoni bwawani kwenye nyumba ya bibi mmoja sasa marehemu. Yule bibi alikuwa hana watoto na ndugu zake hawakuwa wakimjali. Nika ishi hadi alipo pata maradhi ghafla na nikamhudumia na akapona. Akawaita wazee wa mtaani na kuwa agiza kuwa yuko tayari kuniuzia hiyo nyumba kwa bei ya kutupa.

Haraka nikaitafuta hiyo hela na kumlipa. Lakini sikum hamisha hadi anafariki. Yote ni ajili ya wema. Nawe nakusihi. Sio kila mwanamke anafikiria kuwa amepata a catch. Labda anahitaji msaada na anategemea punde atakapo kuwa hoi utamsaidia. PLAY IT COOL BRO. Chunguza tatizo lake na mafanikio yaweza kuwa yako na unayaoiga teke.
 
Atahama ngapi ? Si bora hapo akandamize apate huo ubwete wa kukaa bwerere, kama Jimama linasamehe rent!
Wakati huo kiulaaiiyyni ile pesa ya rent anaanza kudonoa Twiga Cement mfuko mmoja'mmoja.
Kulikoni uyakimbie ya C.C.M uwende ukakumbane na ya Chadema.
Ndiyo !
Hapo Pwani bwana ! Na Pwani kuna mambo yake!
Unasepa hapo kwa Bi mkubwa unahamia kwingine unakuta huko kuna Babu "Mukaka" nae anaipotezea kodi mara uje umsikie "kijana unapendeza! Kijana hivi..." na wewe na habari hizo huzielewi kabisa , unakuja mshushia mingumi Babu anazimika! Murder ya bure!
Eee bwn komaa hanohano.

duh! Una undugu na kongosho wewe.
 
Mwambie asiwe mtumwa wa mapenzi aliingia vipi hapo kabla ya malipo? amejitega mwenyewe kama vipi aoe au ahame mapema kwani ataolewa na kufurushwa na nguo zake kutupiwa nje siku akimpata mwenye mvuto zaidi yake.
 
Back
Top Bottom