TaiJike
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 1,483
- 666
Atahama ngapi ? Si bora hapo akandamize apate huo ubwete wa kukaa bwerere, kama Jimama linasamehe rent!
Wakati huo kiulaaiiyyni ile pesa ya rent anaanza kudonoa Twiga Cement mfuko mmoja'mmoja.
Kulikoni uyakimbie ya C.C.M uwende ukakumbane na ya Chadema.
Ndiyo !
Hapo Pwani bwana ! Na Pwani kuna mambo yake!
Unasepa hapo kwa Bi mkubwa unahamia kwingine unakuta huko kuna Babu "Mukaka" nae anaipotezea kodi mara uje umsikie "kijana unapendeza! Kijana hivi..." na wewe na habari hizo huzielewi kabisa , unakuja mshushia mingumi Babu anazimika! Murder ya bure!
Eee bwn komaa hanohano.
Hakuna bure duniani, kama kodi ni lak3 kwa mwezi basi mama mwenye nyumba atahakikisha anachuna lak6 kwa mwezi. upo hapo.