baada ya binti kujifungua mazungumzo na mama mkwe wake yakawa hivii,
Mama mkwe: Binti samahani lakini kusema ukweli mtt hafanani kabisaa na kijana wangu,
Binti: Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio machine ya photocopy.
<br />Hii ni kali ya kufungia mwaka!!