mama mkwe na binti

Jeji

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,975
371
baada ya binti kujifungua mazungumzo na mama mkwe wake yakawa hivii,

Mama mkwe: Binti samahani lakini kusema ukweli mtt hafanani kabisaa na kijana wangu,

Binti: Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio machine ya photocopy.
 
Hahahaaa kuna mama wakwe wengine ndio tabia zao hizo! Amepatikana hapo..
 
baada ya binti kujifungua mazungumzo na mama mkwe wake yakawa hivii,

Mama mkwe: Binti samahani lakini kusema ukweli mtt hafanani kabisaa na kijana wangu,

Binti: Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio machine ya photocopy.

safi sana na hii ni kiboko kwa mama mkwe wote wenye kidomo domo, gud!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mama mkwe anamjua mkwewe ni kicheche so alihisi mwanae kauziwa mbuzi kwenye gitaa..................I mean kwenye gunia!
 
Kwa hilo jibu huyo mama mkwe hatorudia tena kwa maswali kama hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom