Mama anasema nioe wa zamani

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
Wakuu nilistaajabu mama alipo nipigia simu na kuniambia nioe mchumba wangu wa zamani ambae tumesoma wote primary toka darasa la kwanza mpaka la saba secondary na kungineko tulisoma tofauti na kila mtu akaendelea kivyake lakini tunapigiana cmu na kupeana hi ishu kubwa mpaka tukatengena yeye ameokoka yupo na Yesu mm bado ananiita wa Mataifa nilimweleza ombi la maza hili kasema atakuja tuongee wadau mchango tafadhari.
 
eeh!
UNAOA?
 
Mhh angalia kama huyo mlokole anauhusiano na maza lazima inawezekana anafanya lobbying
 
Dah sasa kinacho niumiza kichwa mama alijuaje mm nina uhusiano na huyu wkt ilikuwa long time?
 
sasa mpwa huyo mlokole anajua kujiexpress na misingi ya mwakasege si inapingana na msimamo wako, sipati picha kibajaji harusini
 
Hehehe kwa sasa kujiexpress nimeacha maana nimeona sipati faida yoyote nimeamua kustaafu
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu, kama ni hivyo mpwa wewe sali hata funga siku 3 jiweke chini ya Mungu omba na akuonyeshe kama kweli huyo ni ubavu wako labda ndio kampeni za mwakani zitatimia.
 
Hehehe kwa sasa kujiexpress nimeacha maana nimeona sipati faida yoyote nimeamua kustaafu

hahahahaaaaaaa,
mpwa na wewe leo UMEKONFESI?, duh.
Yesu kweli yu aja, na hizi ni siku za mwisho hakika!!.
 
Mama atakuletea matatizo katika ndoa, in any case ni wewe unayeoa au ni mama anaoa?
 
Bluray..uchaguzi wowote hutanguliwa na preliminaries.... mama kasaidia kufanya preliminary kisha Fidel anaanza kutafakari na inaelekea anakubali.
Tumpongeze mwenzetu maana inaelekea 2012 goal litafikiwa kabla ya muda uliotarajiwa.
This is a milestone Fidel..just be focused dont let anything/anybody waylay you.
 
Wakuu nilistaajabu mama alipo nipigia simu na kuniambia nioe mchumba wangu wa zamani ambae tumesoma wote primary toka darasa la kwanza mpaka la saba secondary na kungineko tulisoma tofauti na kila mtu akaendelea kivyake lakini tunapigiana cmu na kupeana hi ishu kubwa mpaka tukatengena yeye ameokoka yupo na Yesu mm bado ananiita wa Mataifa nilimweleza ombi la maza hili kasema atakuja tuongee wadau mchango tafadhari.
mwanandoa anaemuogopa Mungu ndie mwanandoa unaeweza kumuamini zaidi kwa ulimwengu wa leo, kwani anaogopa na huku akiitakidi kwamba aanalofanya Mungu anamuona ,kwahiyo ni tabu kukuendea kinyume hata pale anapokuwa mbali na upeo wa macho yako. hivyo kama umepata nafasi ya kupendwa na anaemuogopa mungu kikweli kweli (ni vigumu kuprove hii) ni vyema ukafunga ndoa.
kwa upande wako: je ushaweza kuikabili ndoa? ndoa haitaki utoto wala mzaha.

quiet
 
Bluray..uchaguzi wowote hutanguliwa na preliminaries.... mama kasaidia kufanya preliminary kisha Fidel anaanza kutafakari na inaelekea anakubali.
Tumpongeze mwenzetu maana inaelekea 2012 goal litafikiwa kabla ya muda uliotarajiwa.
This is a milestone Fidel..just be focused dont let anything/anybody waylay you.

I say mwanamme hachaguliwi mke wala kufanyiwa preliminaries na mama, kwani uchaguzi wa rais huu? What if my values and her values and starkly different? Kuna degree ya heshima inatakiwa lakini huu ugoigoi wa kutegemea wazazi katika kila kitu ni too much.Hii reverence ya wazee ni moja ya matatizo sugu katika jamii yetu.

Sasa kama hapo mnaona mjuba kashtukiziwa kitu kutoka primary school sijui huko, ambacho hana hata time nacho.Mjuba si mtu wa kushinda kanisani kihivyo, mama yake na huyu mwanamke ndio zao, sasa hamuoni hapo ikija ndoa itakuwa mahubiri kila siku na mwishowe mjuba atakosa hata raha nyumbani kwake mwenyewe?

Mwisho wake unajua nini? Mjuba atatafuta nyumba ndogo aende kupata mapozeo.

Halafu tunalaumiana bure wakati disaster tunaiona inakuja tunataka kuikumbatia eti kwa minajili ya mama.

I say kula kitu roho inapenda, kwani mama alipokubaliana na baba wewe ulipewa chance ya ku approve?

Ndiyo maana wengine kuoa tunaona kituo cha polisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom