MALIASILI UPDATES: Makinda Aipangua hoja ya dharura ya Wenje kuhusu umeme

speaker lazima ujue anachofanya na asitufanye sisi ni wapumbavu! unaposema unataka kauli ya serikali mbona husemi lini?? na maeneo yapi yaongelewe, mbona husemi hayo yote au wenzetu serikalini mnasemaga hivo????
 
Alitumia nguvu nyingi kuidelute hoja ya Wenje kutaka ufafanuzi kwa kanuni NO.41 inayoruhusu Mbunge kutoa hoja ya kusimamisha mjadala unaoendelea na kuruhusu Hoja ya dharura.

Suala la umeme limekuwa kimya toka jana na Umeme Mwanza unawaka kama kawaida. Nilijua huu mchezo mchafu wa TANESCO na Waziri wao uatafanikiwa na hakika hilo limewezekana kuwanyamazisha wapiganaji
 
Back
Top Bottom