Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
NIKO KAMILI MKUU NAKUWEKEA HAPANi vema ukafanya utafiti wa kufahamu mfuko wa jimbo hupokea kiasi gani? halafu njoo na hoja zako!!
NIKO KAMILI MKUU NAKUWEKEA HAPANi vema ukafanya utafiti wa kufahamu mfuko wa jimbo hupokea kiasi gani? halafu njoo na hoja zako!!
MI NIMEFANYA HILI .... WEWE KATAFITI UJUE UNAPUNJWAJE ... NA KAMA WE NI MDAU WA KUFAIDIKA NA MFUKO HUU KAA KIMYA - TUNAJUANi vema ukafanya utafiti wa kufahamu mfuko wa jimbo hupokea kiasi gani? halafu njoo na hoja zako!!
Asante ndugu kwa kuendeleza harakati za kuwatoa Watanzania gizani.......
Wanasiasa wetu huwatumia tu wananchi kama makopo ya chooni......ambapo umuhimu wake ni mpaka Mtu anapobanwa na haja.....
Wananchi wakiachana na ushabiki wa vyama na kuanza kutumia akili zao vyema....ndio watakapoziona rangi halisi za wanasiasa wanaojifanya kuwapigania kwenye majukwaa......
Na hapo ndipo yatakapoanza mageuzi ya kweli kwenye taifa hili.....
Bado tuna Safari ndefu snaa kuelekea nchi ya ahadi......Kibaya zaidi hao wananchi ukijaribu kuwaelezea - wanakuona eti we ni mpinzani .. kweli ni mpinzani wa uozo!
Uzi huu nilitegemea watu toka majimbo mbali mbali wautumie kujiuliza zilikopelekwa fedha hizo kwa kipindi kilichopita. Cha kushangaza wapo wanaotaka eti niwawekee ni kiasi gani?Bado tuna Safari ndefu snaa kuelekea nchi ya ahadi......
Watu wamelewa siasa mpaka zimewatoa fahamu.....Mtu yuko radhi kumtetea mbunge wake hata kwenye mambo ya kipuuzi kabisa.....Uzi huu nilitegemea watu toka majimbo mbali mbali wautumie kujiuliza zilikopelekwa fedha hizo kwa kipindi kilichopita. Cha kushangaza wapo wanaotaka eti niwawekee ni kiasi gani?
Nauliza tena jimboni kwangu Nyamagana .... kwenye kata ninakoishi sikuwahi kuona chochote alichofanya mbunge wangu. Nilimuona mara moja msibani akaiwa na wapambe wake.
Kama anasoma kwenye JF atambue kuwa tunajua fika ana hela zetu ... tunamdai japo hatutamshitaki. Mwenzake wa Ilemela kafanya mambo mengi hadi anafurahisha.
Huo ndo unaitwa ulemavu wa fikra. Nashangaa unaweza ukawa unatofautiana na mtu leo ... after 1 year anageukia upande wako kumponda huyo aliyekuwa akimtetea ... ukifuatilia .. hayuko tena kwenye kiti alichokuwa akikitumia kufanya madudu.Watu wamelewa siasa mpaka zimewatoa fahamu.....Mtu yuko radhi kumtetea mbunge wake hata kwenye mambo ya kipuuzi kabisa.....
Na ndio ulevi unaoliangamiza taifa letu.....Huo ndo unaitwa ulemavu wa fikra. Nashangaa unaweza ukawa unatofautiana na mtu leo ... after 1 year anageukia upande wako kumponda huyo aliyekuwa akimtetea ... ukifuatilia .. hayuko tena kwenye kiti alichokuwa akikitumia kufanya madudu.
Ulevi wa kisiasa mbaya sana!
Inasikitisha sana!Na ndio ulevi unaoliangamiza taifa letu.....
Upande huu anaitwa mwizi upande anaitwa msafi, kesho upande ule wa kwanza unamuita msafi na upande wawili wanamuita mwizi......
Wanasiasa wetu wameshajua ulemavu wetu wa akili hivyo wanatutumia kama vikaragosi......!!
Usitake kutafutiwa na kutafuniwa ... tumia kifurushi ku-google!Mbona hujaandika kiasi gani wanapewa katika mfuko wa jimbo? Ungeandika ingependeza zaidi
Jikite kwenye madaHivi CAG alisemaje kuhusu ruzuku ya chadema
Hivi ni kiasi gani ambacho kila mbunge anapewa kwa ajili ya mfuko wa jimbo
Pumbavu!!!MI NIMEFANYA HILI .... WEWE KATAFITI UJUE UNAPUNJWAJE ... NA KAMA WE NI MDAU WA KUFAIDIKA NA MFUKO HUU KAA KIMYA - TUNAJUA
Hujui kitu usilete habari za Google hapa!Usitake kutafutiwa na kutafuniwa ... tumia kifurushi ku-google!
Mi naanzisha hoja .. we fuatilia wanapata kiasi gani na wanatumiaje. Kwa takwimu nilizo nazo asilimia kubwa wanatumia 50% zinazobaki hazijulikani zinatumikaje.Ni vema ukafanya utafiti wa kufahamu mfuko wa jimbo hupokea kiasi gani? halafu njoo na hoja zako!!
We ni mpumbavu kati ya wapumbavu wenzio ndo maana uko hivyo ulivyo! na hujui ni kwa nini uko hivyoPumbavu!!!
Wewe unayejua ya nini kuuliza?Hujui kitu usilete habari za Google hapa!