Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Si umeona hapoe? Mwishoe unapewa zamu ya kuosha vyombo. Mi bana nksishajipigia valuu zangu za kutosha nikirudi home kazi ni moja tu tabenako...............aftaroo waifu wangu huwa namuona live less than six hours during week days!hahaha najua hommie kwa nini unapinga maana tukianza hii kitu tutaelekea kule kwenye ile thread ya kusaidiana kupika..hommie unakumbukumbu weye hutaki kunasa kabsaa....!!