"Makosa"tunayofanya kwenye mahusiano

Kaizer the great!

Wengine ndio tumeanza kujinyima kula (chochote) rasmi leo for the next 30 days!

Ushauri wako nitaufanyia kazi though...
 
na tusisahau men are from mars, women are from venus, ukikutanisha hivi viwili hapakosekaniki migongano, namna zao za kufikiria ziko tofauti kabisa, its true ukijaribu kupima mwanamke na mwanaume wanaweza kusema neno moja lakini likawa na maana mbili tofauti.
 
Kaizer the great!

Wengine ndio tumeanza kujinyima kula (chochote) rasmi leo for the next 30 days!

Ushauri wako nitaufanyia kazi though...

Long Live Ramadan!!

Kina Eliza takuwa nabadilisha kama vyupi mwezi zima!! Gesti tashuka bei!!!!!!!!!!
 
I am seriously contributing my comments for the useful post!...
no more jokes sasa!

KAIZER NADHANI UPO SAHIHI SANA TU KWA ULICHOKIELEZEA!....
the bottom line ni kwamba mapenzi yanahitaji maandalizi.mwisho wa siku lazima kuwe na saikolojiko mind-build up,lazima uwahi kurudi nyumbani ushiriki dinner labda na kuangalia tamthilia then off to bed!

i dunno how to put it lakini my point ni kwamba kabla hamjaingia tabenako ni lazima kuwe na mambo mawili au matatu mliyoyafanya kwa pamoja,otherwise hamtainjoi hiyo kitu!....
 
kuna hili jambo hata mimi limenikuta sana (hasa kwa wanawake) CONFUSING HOPES WITH REALISTIC EXPECTATION, huwezi kuingia kwenye relationship na script mkononi. its ok kuwa na fantasies lakini kama zinasababisha dissapointment mara kwa mara basi unajiandalia mazingira ya kuharibu connection iliyopo, badala yake ni heri tu ku focus kwenye mazuri yaliyopo na yanayowezekana.

Kabisa TATE....ndio maana wengine wanaona yamewashinda baada ya 1 year kwa sababu script aliyoingia nayo inakuwa imefika mwisho wake...ni kama tamthilia vile...sasa namna hiyo haiapply kwenye mahusiano hasa ya kudumu!
 
I am seriously contributing my comments for the useful post!...
no more jokes sasa!

KAIZER NADHANI UPO SAHIHI SANA TU KWA ULICHOKIELEZEA!....
the bottom line ni kwamba mapenzi yanahitaji maandalizi.mwisho wa siku lazima kuwe na saikolojiko mind-build up,lazima uwahi kurudi nyumbani ushiriki dinner labda na kuangalia tamthilia then off to bed!

i dunno how to put it lakini my point ni kwamba kabla hamjaingia tabenako ni lazima kuwe na mambo mawili au matatu mliyoyafanya kwa pamoja,otherwise hamtainjoi hiyo kitu!....

na pia sasa Tabenako sio LAZIMA iwe usiku....inaweza kuwa asubuhi, au mchana ukatoroka kazini ukaja home mara moja, and the like. sasa hapo nilipobold nambie umetoa journal ipi? LOL
 
zile zile za gaijin mpwa....!
sasa habari ya kutoroka kazini ni kama umenipa ''ujanja'' mpya
 
Utapotosha wadogo zangu hapo sasa.

Ukifukuzwa kazi ukawa hauna kipato....... mkeo akakuzidi kipato......... Tunarudi kulekule kwenye journals. Tabenako itageuka Jahanamu ndogo. Usije ukasema sijakuonya.
 
WHAT?????????!!!!!!! now you are going far!!!!Iam tired of illusions
Yamtokayo mtu mdomoni ndio yamjazayo...
Usishtuke hebu msome Keizer hapa chini.....
Wapwa na mabinamu
Jengine, hili kwa wake/wapenzi wetu ni kwamba TUNAWAPENDA...hata kama ukiona mtu amefanya infidelity jua hiyo ni ya KUPITA lakini mambo yapo HOME ndo maana ukawepo in the first place, I mean hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu anayefanya infidelity akiwa na hizia za mapenzi ya dhati ndani yake....LOVE inakuwa sehemu MOJA tu....
!
 
Utapotosha wadogo zangu hapo sasa.

Ukifukuzwa kazi ukawa hauna kipato....... mkeo akakuzidi kipato......... Tunarudi kulekule kwenye journals. Tabenako itageuka Jahanamu ndogo. Usije ukasema sijakuonya.
noted...!WITH MANY PAKITIIIZ OF VALUU
 
I am seriously contributing my comments for the useful post!...
no more jokes sasa!

KAIZER NADHANI UPO SAHIHI SANA TU KWA ULICHOKIELEZEA!....
the bottom line ni kwamba mapenzi yanahitaji maandalizi.mwisho wa siku lazima kuwe na saikolojiko mind-build up,lazima uwahi kurudi nyumbani ushiriki dinner labda na kuangalia tamthilia then off to bed!

i dunno how to put it lakini my point ni kwamba kabla hamjaingia tabenako ni lazima kuwe na mambo mawili au matatu mliyoyafanya kwa pamoja,otherwise hamtainjoi hiyo kitu!....

Hapo napinga kwa nguvu zangu zote! Siyo LAZIMA.
 
kupinga ni ruxa mkuu!...kwasababu hizi si kauli za JOURNALS,ni mawazo binafsi...!kitu chochote chaweza fanyika point ni kuwaweka kwenye mood ya mapenzi...!mimi huwa napendelea KUSALI ROZALI kabla ya kuingia tabenako
 
hahaha najua hommie kwa nini unapinga maana tukianza hii kitu tutaelekea kule kwenye ile thread ya kusaidiana kupika..hommie unakumbukumbu weye hutaki kunasa kabsaa....!!
 
kupinga ni ruxa mkuu!...kwasababu hizi si kauli za JOURNALS,ni mawazo binafsi...!kitu chochote chaweza fanyika point ni kuwaweka kwenye mood ya mapenzi...!mimi huwa napendelea KUSALI ROZALI kabla ya kuingia tabenako
Rozari ile ulioisahau kwenye:car: au ipi? Hivi Unavyoondoka kwa Viki pale Pemba hata daireksheni ya kurudi home unaisahau mpaka uelekezwe, hiyo rozari unaisalia wapi?:confused2: Ila uzuri huwa tuna:lalala: pale kaunta kwa hiyo tukirudi nyumani tunamalizia tu :amen: then tabenako!
 
Back
Top Bottom