Wapwa na mabinamu
hili limenijia kichwani nikaona bora tulijadili kwa pamoja hasa wale waliopo wkenye mahusiano ya kindoa/GF/BF.
Ni hivi, kwanza wengine wanakuwa na matarajio ya juu mno dhidi ya mwenzake.....kwamba kila kitu kitakuwa perfect kila saa kila siku na miaka yote...hili sio kweli......ni utopia kufikiria hivyo na ni bora kijiandaa mapema kwa 'mabadiliko' yeyote yale
la pili, niende kwenye ishu nzima ya kumegana/kula tunda la kati....kuna wengine wamekremisha kuwa unaanza hivi, unashika hapa, chomeka chomoa and the like...KWISHA...yaani ile Kiprofessional like. Kumbe mapenzi hayataki mambo ya uprofession, kufanya mapenzi ni KUUACHIA mwili na akili viende vinavyotaka...Usiutune ubongo kwamba lazima hiki kianze ndo hiki kifuatie, au style hii kisha ile...HAPANA.
Kama siku hiyo umejikuta kifo cha mende kinakubali, JIACHIE...kama umekuta paka chongo, JIACHIE, ukikuta siku hiyo mzuka upo kwenye mbuzi kagoma, jiachieni kwa raha zenu.....usitake kulazimisha kifo cha mende.....Ukikuta siku hiyo ni mambo ye TEMBELE ndo yanakubali.,,jiachieni....tuepuke kudhani kwamba kuna FORMULA katika ufanyaji wa mapenzi....RELAX and do it accordingly.
Jengine, hili kwa wake/wapenzi wetu ni kwamba TUNAWAPENDA...hata kama ukiona mtu amefanya infidelity jua hiyo ni ya KUPITA lakini mambo yapo HOME ndo maana ukawepo in the first place, I mean hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu anayefanya infidelity akiwa na hizia za mapenzi ya dhati ndani yake....LOVE inakuwa sehemu MOJA tu....
ni hayo tu kwa sasa!
Standards za ISO haziongezewi au kupunguzwa .....Hahah Kaizer nilijua hiyo sentensi ya mwisho lazima iwepo ..Haya Teamo na RR mna la kuongezea?
Shikamooo shemeji....habari za siku nyingi......
Pole sana na Infidelity.......
:fencing::fencing::fencing:Umependeza shemeji,,,,,asante kwa kurudisha 'vazi' lako la zamani........
ni kama biblia vile!Standards za ISO haziongezewi au kupunguzwa .....
Kaizer kanukuu 'standard' tu...
Asante shemeji.Ila sina uhakika na haniii wangu MSD kama nae atalipenda hili vazi la zamani.Nimekumisi lakini...hivi nimekukosea nini??????????
ni kama biblia vile!
fl1 anataka tuongeze maneno kwenye sala ya ''BABA YETU''
:helpl'sokay,labda tuanze hivi...
kuna ugonjwa hatari sana umeingia da'slaam unaitwa CHEZUMWI....!
mewahi kuusikia wakuu?
sala ya bwana hiyo naona!hehehehehe.....Sala ya Baba yetu au Sala Ya Bwana?
Ntarudi tena kanisani kwa ajili ya Kipa-Imara.''...well played,and well won..''
SORTILEGIO!-The Love Spell
Wewe pia ni mwathirika wa CHEZUMWI hata kama haupo Dar!:helpl's
mezisoma zile!In fact ningeshangaa kama mpwa usingeweka hii 'post'.... zile umeshazisoma ama zimekuwna'ngumu'?
Anza kukusanya za mbuzi....Ahadi ni Deni.sala ya bwana hiyo naona!hehehehehe.....
hivi matesha lini atapata ''u-juma kaseja?''
CHEZUMWI...:helpl's