"Makosa"tunayofanya kwenye mahusiano

ngoja nirudi tena nikaaaaaa:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
dhen nitamjibu askofu
Mi niko very :bored: na:clock:naona ishaenda vya kutosha, ngoja nimpige chenga mkoloni naenda :car: naweka ovadraivu. Tukutane kwa Viki tukapige valuu za paketi then kama kawaida tu:lalala::violin:Then tabenakoooooooo!:welcome:
 
hahaha bado mpo? Nilikua kule kwa "malegend" nikakuta Kiranga anatoa tuition ya "Ki-bluray" dah kichwa yote ya moto bana!! Eh ivi hapa bado mnaongelea nn?
Askofu wape upako hao vijana!!:becky:
 
eebana siku hizi kuna :car::car::car::car::car::car::car::car::car::car::car: ya kufa mtu!mkoloni lazima akimbiwe tu!anataka atakimbiwa hataki ATAKIMBIWA!....ngoja nianze kuumwa ghafla
 
hahaha bado mpo? Nilikua kule kwa "malegend" nikakuta Kiranga anatoa tuition ya "Ki-bluray" dah kichwa yote ya moto bana!! Eh ivi hapa bado mnaongelea nn?
Askofu wape upako hao vijana!!:becky:
Askofu wetu yuko :confused2:............Mwezi wa Ramadhani huu baadhi ya kondoo zake watamkimbia.
 
Askofu wetu yuko :confused2:............Mwezi wa Ramadhani huu baadhi ya kondoo zake watamkimbia.
kama yupo
:confused2: itabidi nianze sala ya toba hapa!! mana kondoo wa bwana wengi watapotea!!
haya wote tuseme :amen:
 
hahaha bado mpo? Nilikua kule kwa "malegend" nikakuta Kiranga anatoa tuition ya "Ki-bluray" dah kichwa yote ya moto bana!! Eh ivi hapa bado mnaongelea nn?
Askofu wape upako hao vijana!!:becky:

Wewe pekee umebaki unakaupako.Wengine wote ni waathirika wa CHEZUMWI.Ili uendelee kuwa na upako
Nakushauri uende pale biafra kwa mwakasege kuna maombi ya Malango ya mila kupitia wazaliwa wa kwanza.
 
Wewe pekee umebaki unakaupako.Wengine wote ni waathirika wa CHEZUMWI.Ili uendelee kuwa na upako
Nakushauri uende pale biafra kwa mwakasege kuna maombi ya Malango ya mila kupitia wazaliwa wa kwanza.
ki-mey ndo kaileta CHEZUMWI rombo kipindi alipoenda sauzi:horn::horn:
 
Askofu wetu yuko :confused2:............Mwezi wa Ramadhani huu baadhi ya kondoo zake watamkimbia.

Watarudi tu Asprin, mmoja wapo akiwa wewe... Unakaribishwa tena kundini kijana...:smile-big:

kama yupo :confused2: itabidi nianze sala ya toba hapa!! mana kondoo wa bwana wengi watapotea!!haya wote tuseme :amen:

Kimey, sala ya toba anza tu... lakini kondoo wanamjua mchunjagi wao, hawawezi kukimbia kamwe...

Wewe pekee umebaki unakaupako.Wengine wote ni waathirika wa CHEZUMWI..

Mbona yuko kwenye ile listi au wanamsingizia?
 
Jengine, hili kwa wake/wapenzi wetu ni kwamba TUNAWAPENDA...hata kama ukiona mtu amefanya infidelity jua hiyo ni ya KUPITA lakini mambo yapo HOME ndo maana ukawepo in the first place, I mean hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu anayefanya infidelity akiwa na hizia za mapenzi ya dhati ndani yake....LOVE inakuwa sehemu MOJA tu....

ni hayo tu kwa sasa!

Omba Da Sophy asisome hii... Mziki wake si unaufahamu?
 
Back
Top Bottom