Makonda

kweli inasikitiosha kwanza ukiangalia jinsi makonda walivyo wachafu (majoriti) halafu ukiangalia hawa mabinti zetu wanavyo jirahisishwa kwao na usista duu wao wa mjini naishiwa nguvu kabisa.... nishajuuliza wanacho kipata kwa hao makondakta ni kitu gani hasa hadi wanawehuka na akili kwa kujishetuwa kwao sijapata jibu bado.
 
Jibu: Kupanda daladala bila bugudha kama wengine na kutokulipa nauli wakati mwingine
 
Mh, hivi ni kweli wasichana wana akili ila huwa hawazitumii? Wameziweka kwenye pochi?
 
Kuna kabinti kamoja ka kimara kalinishangaza. Wazazi wake wanajiweza kifweza na wanampa alfu mbili kila siku na siku nyingine baba yake anakapeleka hadi shule asubuhi anapoenda kazini. cha kushangaza kalitiwa mimba na konda wa kipanya. wakati mwingine sio suala la lift au offer ya alfu. nadhani kuna makonda wana ushairi mzuri yaani wanajua kupanga vina na mizani acha kabisa. binti anajikuta anasikiliza hadi anasahau kushuka kituoni kwake. Sijui tutawaokowaje mabinti zetu
 
This is wrong on so many levels - morality-wise, legal-wise, common sense-wise, etc. For these grown ass men to lure these girls, especially the elementary (primary) school ones, to have sex with them in exchange for whatever is statutory rape (in my book and I could care less what our law says about it). Where are the activists?
 
Ndo wanaowafaidi mabinti vigori wa shule ya msingi na sekondari.

makonda wengi ni watu wazima[18yrs+]......so kinachotokea ni kuwa wana-take advantage ya hivi vitoto vya shule kama ambavyo mijitu mingine mizima inavyofanya.....hii issue ya makonda na vibinti tangu niko shule kuna videmu vilikuwa vinaliwa na makonda..........
 
Unakutana na binti sa 2 au 3 usiku na uniform unadhani amestrugle kupanda daladala kumbe alikua anasubiri daladala lake special.
 
This is wrong on so many levels - morality-wise, legal-wise, common sense-wise, etc. For these grown ass men to lure these girls, especially the elementary (primary) school ones, to have sex with them in exchange for whatever is statutory rape (in my book and I could care less what our law says about it). Where are the activists?
Whr r u NN?
 
Unikumbushe nikugongee Thanks baadae kwani nimeshashuhudia mara mbili pale Ilala boma konda akitoa matumizi kwa kadenti halafu akimsimulia dereva wake na kuchekelea uchafu ule, akieleza kwa kirefu jinsi wanavyokutana, na mara ya pili ni karibu mwezi tu umepita pale External Mabibo wanapoosha magari na kupasua kokoto, nimepita mitaa ile nikaona Daladala Hiace imeegeshwa mida ya kumi ni mbili jioni na ndani siti ya nyuma kabisa kuna kadenti... na mtu mabaye kwa kweli sikuweza kuelewa alikua ni konda au dereva, ila swali ambalo liligonga sana kichwa changu ni kwamba, ile dala dala haikuwa inaoshwa pale, kwani ilikuwa iko kweni service road lakini pia haikuwa imeharibika, na kama imeharibika, huyu binti humui ndani tena huku siti ya nyuma na baadhi ya vioo vinefungwa na yeye ni fundi? Mhh hakika yalikuwa maswali magumu sijapata on. Walaaniwe
 
Wale jamaa wanakuaga na ukame na wakipata kadenti wanakapa mapigo ya ajabu mpaka kanachanganyikiwa na kesho kanarudi tena wala siyo nauli
 
kweli sio swala la nauli, hebu nenda kaviangalie vile vya kule chanika na kisarawe wale makonda na madereva wanavyowafanya
 
Sio suala la nauli wala nini, mabinti wenyewe wanawapenda jamaa jinsi walivyo!
 
Kuna jamaa mmoja aliniambia mabinti huwa wanapenda wanaume wa ajabu ajabu, vinyozi, marasta, makonda na vijana wachafu wachafu wa vijiweni, sijui wanawapa mapigo ya ukakika zaidi kule wale wastaarabu maana wanawashobokea kwelikweli! Utakuta kabinti kameganda saluni masaa hata hakanyolewi mmmh...............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom