Waondolewe wapi?habari z mchana....
Jaman machinga wanatakiwa waondolewe...cjui itakuajeeee maaaaana wanatusaidiaaaa cnaaaaa
Tengezeni mazingira mazuri wafanye Kazi zao vizuri na kwa faida.
Kwa mkoa wa DSM ni vyema kila Wilaya (Ubungo, kingamboni, Temeke na Ilala) zikatenga maeneo maalum kwa ajili ya kujenga soko la machinga ambapo watafanya biashara zao kwa uhakika bila usumbufu wowote!
november ya tarehe 15 ya mwaka upi?Debe tupu limeibuka tena; kabla ya Novemba 15 hili suala litakuwa limeshasahaulika.
Kama wamachinga wanavunja sheria, itajwe hiyo sheria na kisha polisi wafanye kazi yao, wakuu wa wilaya inawahusu nini wakati masuala hayo ni majukumu ya mameya?