MAKINDA: Swala la Lema sitalirudisha bungeni (Amehofia nini?)

Mama mwenye driving license ya class D amepewa kuendesha basi la abiria 65 mnategemea nini kama si AJALI ?
 
pm yuko sahihi kabisa na hakusema uwongo, nyie chadema mliisha pewa agizo la kuacha maandamo, kwa utovu wenu wa nidhamu, kujitafutia umaarufu kwa gharama za maisha ya watu na kujifanya wajuzi kama sio wajuvi, ndiko kuliko sababisha mauaji na vurugu za arusha.

...akili mnato
 
PM yuko sahihi kabisa na hakusema uwongo, nyie CHADEMA mliisha pewa agizo la kuacha maandamo, kwa utovu wenu wa nidhamu, kujitafutia umaarufu kwa gharama za maisha ya watu na kujifanya wajuzi kama sio wajuvi, ndiko kuliko sababisha mauaji na vurugu za Arusha.

Kabla ya kutoa hoja uwe unapima kuwa usemacho kinamashiko mbele ya jamii au la. Inapotokea mama yako kakamatwa akiwanga mtaani akiwa na mahirizi tena uchi wa mnyama ni bora utetezi wa kumtetea mama yako uwe 'mama yako anamatatizo ya akili hivyo kunauwezekano kichaa chake kimemrudia (mwezi mchanga), kuliko kudai jamii haimpendi wamemsingizia uchawi'.

KAMA PM amelidanganya BUNGE kalidanganya tu, Muungwana anatakiwa kuomba radhi na S kuwatumia nyie wapambe wa CCM kutafuta visingizio vya kuharalisha uongo wake. Baada ya kuwalaumu CDM mlaumuni MAKINDA kwa kumtaka LEMA alete ushaidi wa PM kulidanganya Bunge wakati yeye alitaka muongozo, USHAHIDI HUO umeletwa pambaneni nao sasa na si kuanza kuleta hadithi za "Alfu lela Ulela"

"YAKUPASA UELEWE KWA MUJIBU WA SHERIA ZA TANZANIA IGP ANA MAMLAKA YA KUZUIA MKUTANO AU MAANDAMANO" NA KAMA Sheria inavyoelekeza wanaotakakufanya mkutano au maandamano kutoa taarifa (ya maandishi) kwa mkuu wa polisi wilaya(huyu ndie mwenye mamlaka ya kuzuia maandamano au mikutano ktk wilaya yake) pia kamanda huyo kama anabaini usalama utavunjika pale mkutano au maandamano hayo yakifanyika basi nae anatakiwa kutoa taarifa (ya maandishi) ya kuzuia maandamano au mkutano(hilo alikufanyika aliye zuia maandamano ni IGP badala ya OCD)
 
Ccm sasa wameishia kutafuta weak leaders ili watumike vizuri na nchi iendeleee kugawanywa kati ya kikwete, na ccm ambcho ni chama pekee cha kifisdi
 
Kwa mtazamo wangu Bunge taratibu limeanza kupoteza heshima yake kwa jamii. Mafisadi wamefanikiwa kulidhibiti kupitia kwa huyu mama. Nyota mbaya huanza kuonekana asubuhi.
Utabiri: Tutegemee mengi ya ajabu katika bunge hili
 
PM yuko sahihi kabisa na hakusema uwongo, nyie CHADEMA mliisha pewa agizo la kuacha maandamo, kwa utovu wenu wa nidhamu, kujitafutia umaarufu kwa gharama za maisha ya watu na kujifanya wajuzi kama sio wajuvi, ndiko kuliko sababisha mauaji na vurugu za Arusha.
pumba nyingine bana
 
PM yuko sahihi kabisa na hakusema uwongo, nyie CHADEMA mliisha pewa agizo la kuacha maandamo, kwa utovu wenu wa nidhamu, kujitafutia umaarufu kwa gharama za maisha ya watu na kujifanya wajuzi kama sio wajuvi, ndiko kuliko sababisha mauaji na vurugu za Arusha.

Kabla ya kutoa hoja uwe unapima kuwa usemacho kinamashiko mbele ya jamii au la. Inapotokea mama yako kakamatwa akiwanga mtaani akiwa na mahirizi tena uchi wa mnyama ni bora utetezi wa kumtetea mama yako uwe 'mama yako anamatatizo ya akili hivyo kunauwezekano kichaa chake kimemrudia (mwezi mchanga), kuliko kudai jamii haimpendi wamemsingizia uchawi'.

KAMA PM amelidanganya BUNGE kalidanganya tu, Muungwana anatakiwa kuomba radhi na S kuwatumia nyie wapambe wa CCM kutafuta visingizio vya kuharalisha uongo wake. Baada ya kuwalaumu CDM mlaumuni MAKINDA kwa kumtaka LEMA alete ushaidi wa PM kulidanganya Bunge wakati yeye alitaka muongozo, USHAHIDI HUO umeletwa pambaneni nao sasa na si kuanza kuleta hadithi za "Alfu lela Ulela"

"YAKUPASA UELEWE KWA MUJIBU WA SHERIA ZA TANZANIA IGP ANA MAMLAKA YA KUZUIA MKUTANO AU MAANDAMANO" NA KAMA Sheria inavyoelekeza wanaotakakufanya mkutano au maandamano kutoa taarifa (ya maandishi) kwa mkuu wa polisi wilaya(huyu ndie mwenye mamlaka ya kuzuia maandamano au mikutano ktk wilaya yake) pia kamanda huyo kama anabaini usalama utavunjika pale mkutano au maandamano hayo yakifanyika basi nae anatakiwa kutoa taarifa (ya maandishi) ya kuzuia maandamano au mkutano(hilo alikufanyika aliye zuia maandamano ni IGP badala ya OCD)
 
PM yuko sahihi kabisa na hakusema uwongo, nyie CHADEMA mliisha pewa agizo la kuacha maandamo, kwa utovu wenu wa nidhamu, kujitafutia umaarufu kwa gharama za maisha ya watu na kujifanya wajuzi kama sio wajuvi, ndiko kuliko sababisha mauaji na vurugu za Arusha.

Akili zako kama m.a.k.a.l.i.o
Huwezi kuhalalisha mauaji ya watu wasiokuwa na silaha. Siku ukifiwa na mtu wako wa karibu jaribu kufananisha na kama hawa ndugu wa arusha walivyouawa, au ukifiwa na mwanao, mkeo, baba yako, mama yako,....., nasema tena "*.,*
 
sasa wengi wataamini kuwa vijana wanawafundisha wazee siasa. hakuna cha uzoefu hapo wala nini. can you imagine kuwa kijana kama lema au mnyika kumudu uwakilishi wa wananchi bungeni na kuzitumia vyema kanuni za bunge kuliko makinda aliyekuwa mbunge kabla hata mimi sijazaliwa? yaani tangu hata nyerere hajapata kuwaza kama mtanzania mwingine anaweza kuwa rais zaidi yake?!!
 
Hapa sasa hakuna ubishi tena, Pinda alilidanganya Bunge na Taifa.Kwa vile kukaa kimya katika tuhuma ni kukubali tuhuma hizo sasa namuomba Lema adai upya mwongozo wa Spika kuhusu hatua anayoweza kuchukuliwa WM kwa kusema uwongo bungeni.
 
Hivi pinda kumbe ni kiongozi wa kihuni kiasi hicho pia?....siamini.....sasaaaa nani anabaki m,wadilifu ndani ya ccm aliyetayari kusema ukweli.......si kikwete, si ccm si pinda wala usalama wa taifa anayewajua wamiliki wa kagoda,dowans,richmond,deep green.....sasa hapa pana nchi kweli au tunadanganywa tu nchi tayari imeshuzwa?............
 
PM yuko sahihi kabisa na hakusema uwongo, nyie CHADEMA mliisha pewa agizo la kuacha maandamo, kwa utovu wenu wa nidhamu, kujitafutia umaarufu kwa gharama za maisha ya watu na kujifanya wajuzi kama sio wajuvi, ndiko kuliko sababisha mauaji na vurugu za Arusha.

Ndugu unayejiita Genius, kwanza nadhani hufahamu tabia za magenius. Nikudokeze kidogo;
Mosi. Huwa hawaburuzwi na yeyote
Pili. Hawakurupuki
Tatu. Ni wapenda maendeleo n.k
Kuthibitisha haya Soma historia ya John F.Kennedy aliyekuwa raisi wa Marekani na wengine wengi utatafuta mwenyewe. Nikuulize, KAMA CHADEMA WALIVUNJA SHERIA KUANDAMANA NI SHERIA IPI INASEMA MTU AKIVUNJA SHERIA APIGWE RISASI??? KAMA HUJUI HAO WALIOUAWA WALIKUWA MBALI KABISA NA ENEO LA TUKIO.
 
MAKINDA - ni mwongo ........... muoga.............. hajiamini kabisa.............. alidhania kuwaonea CHADEMA ni rahisi - amedhania ni wajinga na hawajui wanachofanya.

Jambo la kwanza - ana roho mbaya sana - roho korosho - hivi yeye anafurahia mauaji yaliyofanyika arusha???

hauji wabunge wa CHADEMA wamechaguliwa na wananchi na wako pale kuwakilisha waliowachagua??? sasa anapoweka "kauzibe" ili kuwafurahisha waliompa uspika - hajui kuwa anadhalilisha WANACHI???

KAMA AKIENDELEA - AJUE KITAKACHOFUATA - NGUVU YA UMMA

1. tutaanza kumzomea - pamoja na uspika wake - LABDA AHAMIE NA AISHI BUNGENI............. akikatisha anga zetu TUTAMZOMEA

2. AJIFUNZE KWA - MISRI - people power imefanyaje???? hao waliomweka kuwa spika wa mjengoni - YAWEZA KUWAPATA PIA - watanzania tumechoka - tumechoka - tumechoka - NA YEYE ANAZIDI KUTOCHOSHA

AJIULIZE - MIKOSI, BALAA, MAJANGA - KWENYE UTAWALA WA CHAMA CHAKE MAANA YAKE NINI?????? MUNGU AMEKASIRIKA KWA JINSI TUNAVYOTESEKA - AKASOME BIBLIA JINSI FARAO - ALIVYOPATA MAPIGO ...........and this is what is happening to JKs rule - ambaye amemruhusu shetani kutawala pamoja naye kwa kukandamiza na hana hofu ya MUNGU ............ watanzania tumwombe Mungu kwani JK na jopo lake wamejaa mikosi na balaa - Mungu amwondoe kwa njia yoyote ile - whether people's power, illness au akimbie mwenyewe........................
 
Naona anawavunjia heshima wanawake wote

Hamna kitu kama hicho,yule mama ana umuhimu wake mkubwa tayari kwetu wanawake,ndo kwanza ameanza kazi, si rahisi kuwa spika wa bunge kama la sasa.....
watu wako tu kwenye PC zao wanaandika as if ingekuwa wao wangeweza zaidi,Makinda is more of a man kuliko wanaume wengi wanaosahau kuwa yeye ni binadamu na anakosea pia.....let her be,mng'oeni Ngeleja kwanza na Pinda ndo muende kwa yule mama.....si kujitafutia umaarufu kwa yule mnayemuona dhaifu na pengine kwa kuwa ni mwanamke.....Pinda has to go first and not Makinda.....
 
PM yuko sahihi kabisa na hakusema uwongo, nyie CHADEMA mliisha pewa agizo la kuacha maandamo, kwa utovu wenu wa nidhamu, kujitafutia umaarufu kwa gharama za maisha ya watu na kujifanya wajuzi kama sio wajuvi, ndiko kuliko sababisha mauaji na vurugu za Arusha.
Sasa kwanini huyu spika wako anaficha ukweli kama chadema ndio wenye makosa. ndugu yangu uwe unafikiria kama mtu mwenye upendo na nchi yake. Naomba ujilazimishe kufikiria hivyo hata kama huna huo uwezo.
 
Tusubiri taarifa ya waziri mkuu kuhusiana na mabomu ya G-mboto...... Sintashangaa nikisikia analeta komedy zake kwa masilahi ya chama. wakati watu wanapoteza maisha. ..he is so weak with strong face... aaagh!
 
Sasa kwanini huyu spika wako anaficha ukweli kama chadema ndio wenye makosa. ndugu yangu uwe unafikiria kama mtu mwenye upendo na nchi yake. Naomba ujilazimishe kufikiria hivyo hata kama huna huo uwezo.

GATS, achana na huyo GeniousBrain, huyu ndio wale waliosoma chuo kabla ya kuanza darasa la kwanza! unategemea nini, he/she must be genious.......:laugh: :laugh:
 
Back
Top Bottom