Makinda kamtukana Jk na atamdhalilisha Pinda!!

Ninafikifi CCM inatuchezea kwa sababu walishajua udhafu wa watanzania ya kuwa ni waoga, hawana msimamo na wengi wameweka matumbo mbele zaidi kuliko uzalendo. Hata sasa hivi vyama vingine vya upinzani vingekuwa na mwelekeo wa upinzani CCM wasingekuwa na kiburi cha kufichiana maovu. Suala la umeme kwa Tanzania ni aibu, lakini na wasomi wanakubali vipi kupelekwa pelekwa kama makondoo. Tunataka wote mlioenda shule mnyanyuke sasa kwa ajili ya kupinga hizi kauli za NGELEGE kuhusu umeme. Tukimtegea yule wa kijijini alishaambiwa atafikifiwa umeme 2033. Lazima kuwe na hali ya kuwasukuma hawa watu, wamejisahau sana.
 
CCM kwenyewe yupo Makamba na Tambwe, Bungeni yupo Anna Makinda, Serikalini yupo JK mwenyewe. Wapinzani kwa miaka hii mitano washindwe tu wenyewe.

Hili nalo neno....hivi CCM hawaingii humu kusoma??
 
Mpuuzi Anne Makinda hata jimboni (Njombe Kusini) kwake atang'olewa 2015 na bwana mdogo Deo Mwanyika wa Barrick Gold
 
Msije mkatumia Makinda kupima uwezo wa wanawake kuongoza; huyu siyo role model kwa watoto wa kike wanao-aspire kuingia kwenye siasa.
 
Inasikitisha sana kuwa na spika hovyo kama makinda kwa mwanzo huu tuu amevurunda yafuatayo

1. Amemdhalilisha waziwazi waziri mkuu

2. Amepoteza heshima ya bunge kama mhimili unaojitegemea kwa kujiona sehemu ya serikala-mhimili mwingine

3. Amenyonya haki za watanzania kwa kuzuia mijadala kuhusu dowans, katiba, mabomu, mauaji arusha.

4. Ameonesha jazba na kuvamia kichwakichwa na kwa jeuri na kiburi media- na kuidhalilisha.

5. Ameua uhuru wa mijadala ya bunge kwa kukandamiza upande wa wabunge wa chadema

6. Ameridhia kuua usimamizi wa fedha ya umma na kurusu ufisadi

7. Ameruhusu fisadi kupewa kamati na kuongoza

9. Ameonesha wazi yupo kama spika kwa maslahi ya mafisadi na si wananchi

10. Anaendesha bunge kama kama kada wa chama na si kama spika wa bunge

11. Kwa alichokifanya makinda ametia aibu na sidhani kama anatufaa -mungu atatujibia manake ni walewale kwa mambo yao yaleyale
 
.......Kwa dalili ninazoziona mimi nahisi CCM inaweza kudhalilika sana kipindi hiki kupitia spika Makinda

[COLOR=red]Nimenukuu mstari huo hapo juu, Mimi nasema CCM haijaanza leo kudhalilika na kila siku inadhalilika, ila naona wametengeneza mazingira ya kudhalilisha UWEZO wa MWANAMKE zaidi kipindi hiki kwa kumpa huyo mama uspika.[/COLOR''

Sasa hivi habari za akina mama shoka kama akina Tibaijuka, Annanilea Nkya, Halima mdee n.k hazisikiki tena. Ukisikia mwanamke katoa hoja ujue ni Makinda katibua tayari. Dah! anawadhalilisha Wananwake jamii ione hawawezi.
 
12. Ameruhusu chama rasmi cha upinzani bungeni kutusiwa na kudhihakiwa, huku akilidanganya bunge sivyo ilivyofanywa.

13. Amedhalilisha harakati za kumpa mwanamke nafasi ktk ngazi za maamuzi -political decision making-kwa kuonesha kuwa wanawake wanatumiwa tu kwa maslah binafsi, na sio wanakombolewa na unyanyaswaji na kutengwa.

14. Kwa hayo yote, amechangia vifo vya kina mama wenzake, watoto na wanyonge nchi hii kwa kutetea udhalimu, ubinafsi na upinga-Kristo (imani yako applies) kwa kuwakatisha tamaa ya Tz yenye neema kwa wacha Mungu wa kweli!
 
I was even more than surprised kuona spika anamzuia waziri ngereja kujibu swali wakati ngereja ni waziri kamili sio naibu waziri na isitoshe ngereja alikwisha jiandaa kujibu. Nakumbuka kipindi cha sitta (samwel) mawazili walikuwa wanahimizwa kujibu maswali kwa ufasaha na sio kuleta bla bla. Leo wakati wa makinda mawazili wanaambiwa wajibu kwa kifupi na wengine wanaambiwa wasijibu! Kweli spika amepatikana. Nahisi mwaka huu wabunge watachapana ngumi.
 
Lengo lao ilikuwa kumtoa Sita, na walifanikiwa. Haya mengine kwao sio muhimu so long as they have the numbers in the Parliament. Kwa CCM kuwa competent ni kosa kubwa, hutakiwi. Kinachotakiwa ni ujanjaujanja, kupindisha na kufunika mambo, and to them this mama is doing the best job and she will emerge as the best speaker ever. Inabidi muelewe kuwa mbingu yenu na ya ile ya CCM ni vitu viwili tofauti kabisa. Mnapodhania kwamba ni blunder kwao ndio the best performance. Kalaghabao!
 
12. Ameruhusu chama rasmi cha upinzani bungeni kutusiwa na kudhihakiwa, huku akilidanganya bunge sivyo ilivyofanywa.

13. Amedhalilisha harakati za kumpa mwanamke nafasi ktk ngazi za maamuzi -political decision making-kwa kuonesha kuwa wanawake wanatumiwa tu kwa maslah binafsi, na sio wanakombolewa na unyanyaswaji na kutengwa.

14. Kwa hayo yote, amechangia vifo vya kina mama wenzake, watoto na wanyonge nchi hii kwa kutetea udhalimu, ubinafsi na upinga-Kristo (imani yako applies) kwa kuwakatisha tamaa ya Tz yenye neema kwa wacha Mungu wa kweli!

... Spika wa kwanza asiyejua kabsaaa na kukidhalilisha kiswahili laiv bungeni. Gari=gali, waziri=wadhziri, fedha=fedhza....etc
 
Masahihisho kidogo Mzalendo. Ni Mama MAKINDA na siyo MAKIMBA kama ulivyoandika na kurudia mara kadhaa. Makimba kwa lugha ninayo ifahamu, japo sijui kama ni rasmi, yana maana isiyo nzuri sana.

ndivyo alivyodhamiria-makimba
 
ndo matatizo hayo ya mtiu alikuwa mwenyekiti wa kamati ya kitchen party ikanoga basi wanajua anaweza kuwa spika...haya sasa kiko wapi...yaani huyu mama ni sifuri kabisa
 
==Ameaibisha sana watu wa Iringa wanaojulikana kwa ushujaa na ukomavu wa uzalendo uliojengwa na Chifu Mkwawa. Mjukuu wake Spika Mkwawa alikuwa hana mfanowe ingawa ilikuwa ni wakati wa chama kimoja.

==Ameabisha sana wanawake wa kitanzania kuonekana kuwa hawafai kupewa madaraka ya kisiasa. Sijui Asha-Rose Migiro na Tibaijuka wanajisikiaje hasa baada ya mwanamke mwingine wa kitanzania, Mongela, naye kuchafua huko bunge la Afrika.

==Makinda huyu ananiudhi sana kwa kukubali kutumiwa na mafisadi kuvuruga mstakhabali wa taifa hasa kwa vile bunge ndilo lilikuwa kimbilio rahisi la wananchi; hatuwezi kusikilizwa Ikulu kama hatuko pamoja nao. Hiyo ni tabia ya ambayo tafsiri yake inakaribiana sana na umalaya, wa mawazo.
 
Lengo lao ilikuwa kumtoa Sita, na walifanikiwa. Haya mengine kwao sio muhimu so long as they have the numbers in the Parliament. Kwa CCM kuwa competent ni kosa kubwa, hutakiwi. Kinachotakiwa ni ujanjaujanja, kupindisha na kufunika mambo, and to them this mama is doing the best job and she will emerge as the best speaker ever. Inabidi muelewe kuwa mbingu yenu na ya ile ya CCM ni vitu viwili tofauti kabisa. Mnapodhania kwamba ni blunder kwao ndio the best performance. Kalaghabao!

Sawa mkuu... lakini unaonaje hoja kwamba Sita pamoja na kumchukia kwao, ndio angalau alikuwa anawavisha CCM kale ka-ngozi kakufunika pale mbeleni... sasa kwa kumuweka huyu "Makimba" ambaye ni single-minded kufunika upinzani, inaweza ikawa game-changer. CCM wanatakiwa wacheze mchezo moderate, ili wafiche maovu yao, sio extreme kama ya Anna.
 
tusimlaumu sana tukumbuke alichaguliwa kwa kigezo kikubwa cha kuwa na k... na si uwezo wa kutekeleza majukumu.
Makamba, JK, na wengine wao walikuwa wakichungulia k yakekatika kumchagua
 
Lengo lao ilikuwa kumtoa Sita, na walifanikiwa. Haya mengine kwao sio muhimu so long as they have the numbers in the Parliament. Kwa CCM kuwa competent ni kosa kubwa, hutakiwi. Kinachotakiwa ni ujanjaujanja, kupindisha na kufunika mambo, and to them this mama is doing the best job and she will emerge as the best speaker ever. Inabidi muelewe kuwa mbingu yenu na ya ile ya CCM ni vitu viwili tofauti kabisa. Mnapodhania kwamba ni blunder kwao ndio the best performance. Kalaghabao!

Kitila, there are some CCM members who are vexed, irked and embarassed the way CCM is governed. Remember Sitta, Selelii, Mpendazoe, Mwakyembe and other fighters belong to CCM. They would like to see the Party re-invigorate and restore its lost glory. Unfortunate, the current leadership did not attain mandate in the party through open ballot box. It was a well calculated move by the corrupt and libertine buisnessmen-politicians who spent hefty lump some to erect their own leader. As a result of this the CCM Chairman is a powerless figure.
It is an open secret that RA is an architec and sponsor of everything in CCM and government as whole. The RA group is very powerful to select who should head what and why!
Sitta was axed because of his stance against the corrupt group. Though majority of Wananchi as well as MP's wanted him back, the power of corrupt group within the ruling party is limitless. Take a look at central commitee you will prove me right or wrong.As a result of this Makinda is the soft person who could say yes! to any rubbish from these monsters. There is no ecsape unless wananchi give a chance to outsiders. Money can buy anything, for the time being CCM is all about RA and Co.
 
Back
Top Bottom