Makinda kamtukana Jk na atamdhalilisha Pinda!!

Pole sana!!! Unaonekana uko usingizini amka, Hata Mubaraq alijua hakuna wa kumuondoa, na CCM itaondolewa tu na watanzania na CDM ndio aliye na nafasi kubwa kufanya hayo.

Ume mfafanulia vizuri!! pana wezekana kabisa pakakosekana chama imara nabora cha kuitoa CCM, lkn wananchi wanaweza kuamua kukitoa madarakani hata kwa kuwatumia UDP, au mgombea binafsi yaani wananchi walivyo choka lolote linawezekana, shida ipo kwa wana kijiji tu, elimu kwao bado mbali sana, na wao ndio walio mpa Kikwete 61% hapakuwa na uchakachuaji mi siamini, bado ni malimbukeni, sasa cha hiyo 61% inawatokea puani,ingawa na ss inatukumba, yaani laaaaaaaanaaaa mtindo mmoja................!!!!!!!!!!!!!!1111
 
Mtoto Mzuri!!!

Lini uta amua??? ngoja nikupe mfano??? wanaopaswa kuleta mabadiliko hapa TZ ni cc wasomi? sijui mwenzangu uko level gani, lkn am telling you da truth...! Wasomi ndo mambumbumbu wakubwa hapa TZ, embu wewe mwenyewe ulipo hapo unayesema ukiamua unaweza, umesha amua au unasubiri jua likuchwe?

Sina uhakika lakini ushahidi wa kimazingira upo. Angalia bunge, wabunge wa CCM zaidi ya 200 maprofesa, PhD holders, Master, Bachelors n.k wote wanaitwa na Makamba kama kamati ya bunge, Na Makamba anawakemea kama Pupils ''Shut up!' ukienda bungeni sema A,B,C. Masikini hawa wasomi wanafuata tu! wamefungia degree zao makabatini, sasa degree kubwa ni Makamba.
Makinda anawaambia Gongo la mboto sio Emergency masikini wabunge wa CCM kwa kumfurahisha makamba wanapiga makofi.
 
Back
Top Bottom