Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Usiende huko!
Mahospitali,Makanisa,Shule vilivyojengwa na Mkoloni kwa hela ya Watanganyika wa dini zote viliachiwa Wakristo waendelee kuvimiliki baada ya Uhuru, Nyerere aliona mbali kuwa baadaye watu watakuja kuhoji hili hivyo akaleta ubabaishaji wa kujifanya kuvitaifisha baadaye kumuachia mwingine avirudishe!
MoU, Necta, Muungano ni vitu ambavyo Wakristo hawatokubali kwa gharama yoyote ile viingiliwe kwa sababu ndiyo mihimili yenyewe ya Mfumo Kristo
Kulijuwa hili ninalolisema angalia mtaharuki uliowapata wachangiaji hapa kuhusu hoja ya Kanisa kuvunja MoU na Serikali.
Thread ya ulevi hii. Tena ulevi wa udini. Kwani MOU ni nini? Na kama ushajua ni nini, Je, Waislam wanakatazwa kuwa na MOU na serikari kwa vitu kama Hospitals na vitu vingine wanavyoweza kuvifanya kwa ubia na serikali? Maana ya PPP ni nini? Ina maana hiyo PPP inaruhusiwa kwa watu wengine na si Makanisa? Hospital zilipe kodi? Tangu lini vifaa vya hospital vikalipiwa kodi?
Serikali inapeleka madaktari na kuwalipa ili kupunguza gharama za matibabu watanzania wote waweze kutibiwa, wakiacha tutaongeza gharama za matibabu kama Aga Khan halafu tuone utatibiwa wapi
Serikali ijenge kwa pesa gani wakati mabilioni ya pesa za serikali zinakwenda Kanisani kupitia MoU.Cha muhimu serikali ijenge hospitali zake tena bora halafu waangalie kama ipo haja ya kuendelea na kuwepo watumishi wake kwenye hospitali ambazo hawazimiliki.
wewe ni mpuuzi wa kwanza na wa mwisho!!!hao waislam wako wameshindwa kuanzisha hata zahanati ili mpate hiyo ruzuku!!what kind of people are you?hamna shukrani kabisa,nenda hospitali za misheni utakuta wapemba kibao na hijab za kutosha,if you tell this in their faces they will definitely spit at you moron.Nandiomaana hawataki kujitoa MOU coz wanajua hawawezi kumudu kuwalipa madaktari hata kama watapandisha gharama...hahahaha. Unaongea nyuma ya PC that why mziki wake uhujui that why. Fanyani hivyo muone. Kama hamja bakia na magofu ya kufugia mijusi na sehemu za wapita njia kujisaidia
Nandiomaana hawataki kujitoa MOU coz wanajua hawawezi kumudu kuwalipa madaktari hata kama watapandisha gharama...hahahaha. Unaongea nyuma ya PC that why mziki wake uhujui that why. Fanyani hivyo muone. Kama hamja bakia na magofu ya kufugia mijusi na sehemu za wapita njia kujisaidia
Nandiomaana hawataki kujitoa MOU coz wanajua hawawezi kumudu kuwalipa madaktari hata kama watapandisha gharama...hahahaha. Unaongea nyuma ya PC that why mziki wake uhujui that why. Fanyani hivyo muone. Kama hamja bakia na magofu ya kufugia mijusi na sehemu za wapita njia kujisaidia
Serikali imeshindwa kujenga hospitali na shule kukidhi mahitaji ya nchi ndio maana kuna ongezeko kubwa sana la hospitali na shule binafsi. Rejea hotuba ya JK kwa Wauslamu huko Dodoma.Serekali haijashindwa kujenga hosptali au shule, makanisa yaendeshe shule zake na hospt na yaache kutegemea kodi tunayolipa watanzania wote inufaishe watu wachache.
Tuangalie chanzo cha malalamiko ya waislam na tukitibu na sio kujaribu kutibu matokeo kama lilivyofanya tamko la maaskofu leo.
-Kwa wasio Wakristo na hapo wanapoishi hakuna hospital ya Serikali au ya dini yao, basi itabidi wailazimishe Serikali MPYA ya Tanzania ambayo haitakuwa na Mfumo Kristo tena ili wawajengee Hospitals za Serikali.
Kama Serikali ikishindwa basi wajiandae kulipa gharama kubwa kwenye huduma hizo za jamii au KUBADILI DINI. Kama siyo hilo basi na wao na dini zao wajenge hizo huduma za jamii ili kushindana na za Makanisa.
Nafikiri muda umefika wa kuonyesha kuwa Viongozi wa Makanisa ni Wasomi wa hali ya juu na siku zote "Akili kubwa hutawala akili ndogo......" Vinginevyo, akili zao zitakuwa kazi bure kama hawawezi kutatua matatizo yaliyowazunguka.
Nandiomaana hawataki kujitoa MOU coz wanajua hawawezi kumudu kuwalipa madaktari hata kama watapandisha gharama...hahahaha. Unaongea nyuma ya PC that why mziki wake uhujui that why. Fanyani hivyo muone. Kama hamja bakia na magofu ya kufugia mijusi na sehemu za wapita njia kujisaidia