Makanisa yavunje MoU na Serikali...

Bora tusiyachoma makanisa, kwa sababu kodi itaongezeka na ufisadi utaongezeka ili wakuu wakina Edward na wakiristo wengine wezi wakachangie makanisani



akili matope kweli wewe Edward na Mengi wamechangia misikiti yenu mara ngapi juzi tu Mwanga amewapa 10m niambie ni Mwislamu gani alishawahi kuchangia Huduma za jamii acha tu msikitini ... Gadaffi ndo alikuwa amewatoa msikiti wake Dodoma ndo umekuwa genge la kulogana kila shehe mpya akiingia ana dead, umebaki kama gofu na upya na uzuri wake...

yani Mtume akishuka leo atawashangaa watu msiopenda maendeleo wanafiki kuliko SHETANI.
 
Nafikiri tunatakiwa kuwaza na kutafakari zaidi ya hapo alipoishia mtoa thread,je ni kweli MOU ndiyo
chanzo cha tatizo?utagundua si kweli kwani huduma zinakuwa kwa manufaa ya watanzania wote bila
kujali dini,na kuhusu misamaha hata mashirika mengi ya kiislam yananufaika na misamaha hiyo yakodi,
Na je katika nchi nyingine ambazo hakuna wakristo na bado wanapigana sababu ni nini.Hivyo la kuelewa
tu ni kwamba iko nguvu nyuma ya hawa ndugu zetu inayowalazimisha kuhakikisha amani inatoweka kote
duniani.
 
Kama unakili kwamba tulikuwa tunatete walimu na madaktari hamna WAISLAMU katika hizo kada? Au unaongea kwa kutumia masaburi.

nani kasema nhif ni hosptl?
Nimesema watibiwe kwenye hosptl yoyote iwe binafsi au ya kanisa kwa kutumia bima kakini baada ya serekali kuvunja mou na kanisa.
 
makanisa yamenufaika sana na yanaendelea kunufaika na MOU pamoja na misamaha ya kodi.

Ndiomana serekali ilipojaribu kufuta misamaha ya kodi kwa taasisi za dini wakapiga kelele mpaka ikashindikana.

Serekali haijashindwa kujenga hosptali au shule, makanisa yaendeshe shule zake na hospt na yaache kutegemea kodi tunayolipa watanzania wote inufaishe watu wachache.

Tuangalie chanzo cha malalamiko ya waislam na tukitibu na sio kujaribu kutibu matokeo kama lilivyofanya tamko la maaskofu leo.

Kuishia kulaumu waislam sio suluhisho, makanisa yajitoe kwenye MOU na yasiingilie mambo ya waislam kama walivyofanya kwenye tamko lao la leo walipozungumzia suala la mwinyi kupigwa kofi au kugomea sensa.

Hizo ni dalili za upungufu wa maono, kwani waislam wamekatazwa kufanya makubaliano hayo? shule karibu zote za serikali zile za zamani zilikuwa za makanisa mbona hilo halisemwi. Acheni wivu wenye mtazamo butu, shule zenu tuu zinawashinda, nalo hilo mnalaumu makanisa?
 
Nimejaribu kupitia mijadala mbalimbali humu jamvini nimegundua kuwa kuna kundi kubwa la member wamejaribu ujinga baada ya kuona elimu ni ghari ama kwa kuambiwa au kwa kujaribu na kushindwa.

Kuna watu wanazungumzia MOU na Makanisa lakini sijawahi kusikia MOU na Taasisi za Kislam kama AGHAKAN na Ahamadia iwe Hospitali au mashule waliongia mikataba na serikali hata siku moja wanaowatuma hawaambii kuwa nao katika taasisi zao nao wana MOU jiulize kwa nini???? Ni ujinga

Vijana wengi ama hawajaenda shule kwa walio wengi au shule kwao imekuwa ngumu kwa hari ya kawaida sio rahisi kwa mfanyakazi anae jua umuhimu wa kazi afunge biashara yake au aache kwenda kazini akachome au akaandamane kwa ujinga ujinga.

HESHIMA MKUU.
Unapoongelea AGAKHAN unamaanisha hii kitu (Dog SinataS). Huyo jamaa sahivi ni level nyingine kabisa yani nadhani hata kwenye vile vikao vyao hwaongelei hili suala la udini bali utendaji tu wa kazi na kupiga madili ya kufa mtu.
:focus:
Kama ikitoke leo huduma za makanisa zikanyimwa ruzuku serikalini sijui itakuwaje huko vijijini. Ukiangalia sasahvi wizara zote nyeti na nafasi zote nyeti zinashikiliwa na waislam, kwa nini waisungane waanzishe movement ya kuzuia hiyo ruzuku na kuifutilia mbali MOU.?
 
Mimi sijawahi kuiona hiyo MOU kati ya kanisa na serikali mwenye nayo tafadhali aiweke hapa niione!

أنها وفرت لنا، ونحن نقدم ثيقة من وثائق اتحاد تنجانيقا وزنجبار
 
akili mgando,myabaki kulalamika tummmepewa Chuo Moro lkn hakuna hata jengo jipya mililoliongeza
 
Me ndio sijui chochote kuhusu MOU,Naomba kuelimishwa wakuu,Na Pia naomba Kuelimishwa juu ya jumuiya ya waislamu sijui inaitwaje ambayo waislamu wanataka wajiunge nayo,na Why wanakataliwa kujiunga nayo,Naomba nielimishwe viongozi..
 
makanisa yamenufaika sana na yanaendelea kunufaika na MOU pamoja na misamaha ya kodi.

Ndiomana serekali ilipojaribu kufuta misamaha ya kodi kwa taasisi za dini wakapiga kelele mpaka ikashindikana.

Serekali haijashindwa kujenga hosptali au shule, makanisa yaendeshe shule zake na hospt na yaache kutegemea kodi tunayolipa watanzania wote inufaishe watu wachache.

Tuangalie chanzo cha malalamiko ya waislam na tukitibu na sio kujaribu kutibu matokeo kama lilivyofanya tamko la maaskofu leo.

Kuishia kulaumu waislam sio suluhisho, makanisa yajitoe kwenye MOU na yasiingilie mambo ya waislam kama walivyofanya kwenye tamko lao la leo walipozungumzia suala la mwinyi kupigwa kofi au kugomea sensa.

Kweli karama ya mjinga ni majungu tu, hivi huwezi kuelewa kinachozungumzwa kwamba kimemaanisha nini, unadhani wametamka kumsaidia aliyepigwa kofi, wanazungumza mfumo ulivyokuwa loose ambao hata wewe kesho unaweza kupigwa au kutendewa ovyo serikali ikakaa kimya, dont think that you are safe - wake up and open your eyes hata kama akili yako ni nzito
 
hapo rais mwislamu mwenzao? angekuwa mkristo si wangempasua kichwa? kusema ukweli mi bado sijajua shida iko wapi? ni watu wanataka kubebwa bila kujishughulisha hata kidogo? au ni wayu wanataka wengine wanyanyaswe waishi bira amani ndio watafurahi? vitu vyoote ni visingizio, sijui mou,bla bla zote. fanyeni basi na nyie tushuhudie mkizuiwa au kukwamishwa na serikali, ndio tujue kweli kuna mfumo kristo. mmekaa hamfanyi kitu! hamjafanya initiatives zozote kama za wakristo mkakwamishwa, siku zitaisha mkilalama na kuzuz vurugu jamani?
 
Mimi ninachokijua labda kama kuna mtu anaweza kunikosoa katika hili ni kuwa Hospitali kubwa pekee ndio zenye huu mkataba wa Serikali na kanisa. Nia ya serikali ni ili wananchi wote wapate huduma toka kwa madaktari inaowalipa mishahara. Sasa hospitali hizi hazijaajiri madaktari wakrito pekee bali wa dini zote.

Angalia hii attachment yenye hospitali ndogondogo za makanisa hapa nchini zinazohudumia watu wote bila kujali dini ya mtu. Waislamu ni wachonganishi tu na kwa bahati mbaya wasiojua wamekuwa wakifuata mkumbo tu.

View attachment Huduma za afya na Hospital - KANISA TANZANIA.docx
 
Mkuu Sikonge wazo lako si baya lakini yawezekana likawaumiza zaidi wasiohusika.

Zamani nikiwa mdogo nilikuwa nashangaa sana kuona kwa nini hatuna bomba la maji wakati serikali inaweza kuchapisha hela na kutuwekea maji kila mtu nyumbani kwake. Nilikuwa sijui kitu, kwa hiyo kwa wakati huo mawazo yangu yalikuwa sahihi. Niliona uwezekano wa kuihudumia nchi ni mkubwa kwani Tanzania nilioijua ilianzia Ghana Avenue nilikozaliwa na kuishia Kimara Temboni shambani kwetu.

Kwa aliyefika Mafia atajua shida za Waislamu haziletwi na mtu mwingine bali URITHI wa kutopenda kujiletea maendeleo ulioletwa na Mwarabu nao wakaukumbatia kama sehemu ya Imani ya dini yao.

Mabusha na Malaria ni tatizo Mafia, lkn ukihitaji matibabu ya uhakika yakulazimu upande Jahazi kuja Mchuku Mission Hospital ambayo ipo km kadhaa kutoka Kibiti-Rufiji.

Juzi juzi hapa Kanisa liliomba ardhi kwa serikali ya Mafia lkn suala hilo likaleta mzozo mkubwa mpk wananchi wakahitilafiana na mbunge wao sababu tu ya chuki za kidini. Waislamu wanaamini kuwa Kanisa lilikaribishwa Mafia basi dini yao itakuwa mashakani, lkn Waislamu hao hao hufunga safari kwa shida na tabu za jahazi mpk Bara na kuingia ndani km kadhaa kuitafuta Mchuki Mission Hospital hapo hawana shida na Ukristo.

Hawa ndugu zetu wamerithi ujinga mkubwa sana toka kwa Waarabu. Mwarabu hakuwa na utamaduni wa kufanya maendeleo. Itazame Kilwa, Bagamoyo, Mafia, Lindi na miji mingine waliokaa wakoloni wa Kiarabu kama kuna urithi wa jengo la zahanati au darasa.
 
Last edited by a moderator:
Elimu ni muhimu. N kushabikia usichokijua ni ujuha. Mwanzisha mada nakushauri uende shule.
 
أنها وفرت لنا، ونحن نقدم ثيقة من وثائق اتحاد تنجانيقا وزنجبار

Sijakusoma kabisa mkuu!
 
Ndugu nijuavyo me waislamu vazi lao la kiimani ni hijabu,sasa wakristo vazi lao la kiimani ni lipi ambalo serikali imewakataza?Naomba unielimishe,maana me mjadi ndio naona natengwa na serikali sababu siwezi kuvaa majani yangu na na ngozi na shanga nikaenda kazini.
Misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini ni kwa dini zote, pamoja na uislamu, vinginevyo mtoa hoja aseme uislamuu si dini bali ni chanzo na mfumo wa vurugu tu duniani. Historia inaonesha kuwa hata rais kikwete kasoma shule za wakristo siza waislam kwani hazikuwapo. Pia katibiwa kwa masangoma ambao ni viongozi wa dini za jadi na pia kwenye hospitali za kikristo.

Kama hiyo haitoshi, serikali inayojitapa haina dini, imewaruhusu waislamu kuvaa nguo zao za kidini(hijabu) shueni na sehemu za kazi wakati watu wadini zingine wakuzuiwa. Machinjio ya serikali nayo yamesilimishwa na kusaliwa na mashehe wakati nyama hailiwi na waislamu tu.

Asalaam aleykum.
 
Nadhani amelala huyo! Hajui kwamba KCMC, Bugando ambazo ni hosp kubwa nchini zinatoa msaada tu! Mbona viwanja vipo kwanini sisi Waislam tusifunguke? Tuna Morogoro University, hivi tumefanya nini cha maana tangu Mzee wetu Mkapa atupatie yale majengo bure? HAdi leo hatjawahi kuyakarabati!
 
JERUSALEMU

Wakristo kwa mtazamo wako wewe wamesoma na wanamaendeleo sana, inakuwaje wanahubiriwa kwenye makanisa yao wanayoyaita ya kiroho kuwachukia waislam? Kudharau waislamu, hilo nalo utalirekebisha vipi? Mimi ni mkristo sio mlokole.
Wewe unaushahidi gani wakati husali huko??
 
Halafu hicho wanachokitaka kikianza nani ataadhirika zaidi... Kila mtu akiamua kutetea dini yake .... Wakristo tutibiwe na kusoma kwenye shule za kikristo, na wao hivyo hivyo, walimu wa kikristo tusifundishe shule za kiislamu nao hivyo hivyo... Na madukani pia ....

Yesu wangu sitakuacha kwani ulisema amri mpya uliyotupa ni upendo na tupendane kama ulivyotupenda....upendo huvumilia, haujivuni wala hauhesabu mabaya.... Nisamehe pale ambapo nimekwazika na nikasahau kuwapenda wenzangu
 
Back
Top Bottom