Makampuni ya simu/ isp yanhifadhi mawasiliano yetu kwa muda gani?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
wakuu na wataalam wa ICT na hata wanaojua sheria sheria hasa zinahusu mambo ya ICT

Nependa kujua je sheria ya Tanzania inayataka makampuni ya simu yahifadhi mawasilino yetu kwa kwa muda gani kabla ya kuyafuta .

I mean je kama mimi ni mteja wa ta tigo, zantel, voda, airtel oet toka mwaka 2005 kwa number zile ile je kampuni za simu zinazo rekodi

  • ya simu nilizopiga au kupokea
  • Ya sms nilizotumiwa au kutuma
  • wanazo rekodi za voice za mawasiliano niliyofanya.
Na kama hakuna sheria je una mtu anajua policy ya kampuni yeyote kuhifadhi mawasiliano inayofanywa na wateja wake ikoje

Je ISP nao wanahifadhi kumbukumbu ya traffic za mteja kwa muda gani?

Nawasilisha kwa mjadala
 
Back
Top Bottom