Wapo watu humu sijui kama wanafahamu siasa, nina mashaka kama kweli wamemaliza hata degree moja na hawa ndio wanaowashawishi makinda kuingia kwenye mchezo wa siasa. Madogo shule kwanza ujinga mwingine baada ya shule.sasa mtoto wa 1st year aanze kushabikia siasa ..... atafika mbali kweli ... siasa ni dirty game ... mi na washauri wapige kitabu uchaguzi ukifika wafanye maamuzi sahihi
Ndo kaz yenu mliyotumwa kupeleka vi memo kwa kikula. Anyway haki itapatikana tu braaa.... Mpaka sasa mwakibinga ni shujaa. Na hizo njaa zenu watawavua tu ch**pi kule utawala mpya mnako jipendekeza.
nani kasema mwakibinga shujaa? Kila siku analia anaomba asifukuzwe kazi kwa taarifa yule jamaa ni askari magereza sisi wajinga wajinga wote tunaondoa hatuwezi kubali kuwepo na migambo
Mpashe mpashe maana kama ingalikuwa ni CCM maneno haya yangalikuwa hayapo ila kwa kuwa ni Chadema basi washauriwe wasome upuuzi mwingine bwana kama ule wa kununuliwa suti ukubwani .Hawa ni Watu wazima. Kuwashauri kuhusu shule ni sawa na kumshauri mtu ale chakula. Acha Ushamba wewe. Hata sisi wengine tumepitia huko huko na tulikuwa Wanaharakati na tumetoka na degree zetu safi.
sasa mtoto wa 1st year aanze kushabikia siasa ..... atafika mbali kweli ... siasa ni dirty game ... mi na washauri wapige kitabu uchaguzi ukifika wafanye maamuzi sahihi
wanafunzi wapya wa mwaka wa kwanza 1 st degree na postgraduate candidates wa cdm wamekaribishwa rasmi leo katika tawi la udom chadema, tayari kwa kazi ya ukombozi. Vivaaaaaaaa. Chadema mpaka kieleweke.
Tawi la ccm udom liko wp?Ki ukweli CCM inaogopa vijana hasa wasomi sababu walifikiri UDOM itakuwa ngome yao ya kuwateka vijana, lakinI kumbe UDOM sasa ni kama waasi wa Bhengazi wapigania haki na uhuru.
Na ndio maana kila siku zengwe huwa zinaundwa kwa watu waliokuwa wanajulikana kama nguvu ya umma na hata wale waliosimamishwa kutokana na mgomo wengi wao ni wafuasi wa chadema ambao wengine wanakaa off compus na hata hawakuhusika hata chembe.
Lakin cha kujiuliza kama siasa zinakatazwa vyuoni mbona unapo ingia chimwaga unakuta bango la ccm. Mbona nape alikuwa anakuja tena mpaka hostel sasa anakuja kufanya nn wakati yy sio kiongoz wa serikali.?
haka kana dharau eeh?sasa mtoto wa 1st year aanze kushabikia siasa ..... atafika mbali kweli ... siasa ni dirty game ... mi na washauri wapige kitabu uchaguzi ukifika wafanye maamuzi sahihi
tawi la ccm udom liko wp?