Makala za Mohamed Said Katika Mwananchi: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

wanaukumbi,

kuanzia leo jumatano, 28 septemba
mwananchi limeanza "series" zangu na
za waandishi wengine kuhusu miaka
50 ya uhuru wa tanganyika.

Tusomeni kwa furaha.

Mohamed said

========================
update 29/09/2011
========================

kwanza nataka mukumbuke au kuwakumbusha kuwa hakuna historia itwayo uhuru wa tanzania ambayo serekali imezowea kusema hivyo.

Na ndi ukaona ktk sherehe za uhuru wa tanzania inakuwa wzanzibar hawahuzurii kwa sababu ni uongo wa kupindisha mambo.
 
Mohamed heshima mkuu,

napendezwa na makala zako, huwa zinaeleza upande wa pili wa harakati zetu ambao wengine ama hawataki/hawawezi/wanaogopa kueleza,

Tafadhali usikate tamaa, kama uyasemayo sio ya kweli tungependa wanaojua wakanushe na kueleza wanachojua,

kwa njia hiyo tutapata ukweli usio na shaka wa nini kilifanyika wakati wa kutafutan uhuri wetu na nani alifanya nini

Ahsante Kunta Kinte,

Katika hizi series utakuta majina na mambo mengi ambayo ni mageni kwa wengi.

Kubwa nlinalonishangaza mimi ni kuwa hata Nyerere mwenyewe hakuwa anapenda watu
waifahamu historia hii.

Sasa la kujiuliza ni kwa nini ilikuwa hivyo?

Soma hapa chini kipande kutoka "Christian Hegemony and the Rise of Muslim Miliitancy in Tanzania Mainland":

"The late Prof. Haroub Othman after reading Sheikh Ali Muhsin’s book Conflict and Harmony in Zanzibar and the writer’s book The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 -1968 The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press, London 1998 and having come across hitherto unknown information on Nyerere was devastated because he was a great admirer of Nyerere as a patriot and a nationalist. The two books had painted him differently. Prof. Haroub confronted Nyerere and told him that the allegations in those two works have tarnished his image and he advised him to respond to them. Nyerere never did. Christian lecturers at Dar es Salaam University are discouraging students from making references to those two books. Dr. Harith Ghassany’s book Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru, has also come up with more information on Nyerere hitherto unknown in the Zanzibar Revolution and the bloodbath which followed."

Mohamed
 
Kunta hatupingi anachosema Mohamed isipokuwa tatizo ni kuwa yeye anaongea kile alichokishuhudia wakati huo pale gerezani halafu anakifanya hicho ndio kilichokuwa kikitokea nchi nzima. Anavyoongea ni mtu amefumba macho asione mchango wa watu wengine isipokuwa mchango wa aliokuwa akiuona kutoka kwa ndugu zake na watu wa imani yake. Anazidi kuonyesha alivyo mbinafsi kwa kutoeleza tafiti zinazoonyesha kuwa; kuwa nyuma kwa maeneo kama mtwara na singida kunatokana na ukandamizaji wa serikali. Haonyeshi pia kuwa mikoa kama kilimanjaro, Mbeya na Dar inapendelewa na serikali kwa sababu ni ya kikristo.Anashindwa kusema ni kwanini Dar imeendelea kuliko rukwa kama serikali inapendelea wakristu. Hasemi ni kwanini hata kabla ya uhuru kulikuwa na shule nyingi zaidi za misheni kuliko za kiislam na kama alitarajia nini kama wengine wanahamasika kwenda darasani wakati wengine wanahamasika kwenda madrasa (elimu ya dini 100%). Mohamed ameonesha udhaifu kwa kushindwa kutambua kuwa uislam una nguvu ktk njia kuu za biashara ya utumwa maeneo ambayo yanamtazamo chanya kuelekea tamaduni za kiarabu kutokana na imani waliyoadopt na kuwa na mtazamo hasi kwa tamaduni za magharibi ambazo ndio zilizoambatana na elimu tunayoisoma sasa. Hilo lipo mpaka sasa kuna waislam wana negativity na elimu inayotolewa sasa duniani wakiamini ni haram mfano mzuri ni mtazamo walionao Boko haram huko Nigeria. Kitu kimoja ambacho Mohamed angewasaidia sana waislam ni kama angejikita ktk kuwahamasisha waislam wasome sana wapate elimu itakayowasaidia kukabiliana na utandawazi vinginevyo anataka kuwafanya waislam wasahau majukumu yao waingie kudai haki ambayo haipo. Na kwakuwa penye uongo ukweli hujitenga basi anacho kitarajia Mohamed hakitafikiwa maana waislam watajilipua sana lakini ukweli utabaki kuwa ili wapate maisha bora lazima wasome, wafanye kazi kwa bidii halafu waachane na propaganda za watu wachache wanaotaka kuutumia uislam kutatua matatizo yao ya kiuchumi.

Ndugu yangu leo hii unatuambia Waislam tujihamasishe kusoma?

Inaelekea hujui historia ya Waislam kabla na baada ya uhuru.

Nakushauri soma kitabu changu Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes
utajifunza mengi sana. Kipo Tanzania Publishing House Samora Avenue.

Lakini kabla ya kusoma kitabu hicho hebu soma hapa chini uone juhudi
za Waislam na njama za serikali dhidi ya juhudi zetu za kujiendeleza katika
katika elimu:

"When these s findings were made public and distributed to throughout the country it came as a shock to Muslims and the government. For the first time it was revealed that there was a system in the Ministry of Education supported by Christian functionaries which was discriminatory to Muslim youths, purposelybarring them from institutions of higher learning and the president of thecountry Julius Nyerere and the Catholic Church was not unconnected in this plot. Such accusations and disclosure, particularly coming from Muslims, threatened national unity. The government did not want to find out whether those findings on education were correct or not. Its interest was to know the brains behind Warsha isolate them from Muslims and then persecute them. The government was unprepared for such revelations and was worried by the direction which BAKWATA was taking. BAKWATA was now serving the cause of Islam. This was not what Nyerere had bargained for when he subverted the EAMWS and helped to found BAKWATA. Sheikh Mohamed Ali as secretaryof BAKWATA was taken to task for allowing the organisations to be hijacked by what were perceived to be hot headed youths. Warsha were accused of being anti-government, anti Christian and perpetrating animosity between Muslims and Christians through their writings. President Nyerere ordered Aboud Jumbe the VicePresident to close down the Muslim seminaries. A meeting between Aboud Jumbe and BAKWATA was held at Jumbe's official residence at Laibon Road. In attendance were Rashid Mfaume Kawawa, Adam Nasibu, SheikhMohamed Ali and Sheikh Abbas Makbul a representative of Darul Iftar. The stand of Sheikh Mohamed Ali was that if thoseMuslim seminaries have to be closed then the decision to take that step shouldbe laid upon the government. This was a difficult step to be taken by the government as such an act would provoke Muslims. The meeting left the decisionto close the seminaries upon BAKWATA. [1] BAKWATA took a unilateral decision and reverted the schools back to its original state. Warsha not agreeing to BAKWATA's decision called a meeting of all Muslims to discuss the problem. What Warsha was strategising was to draw Nyerere and his government into direct conflict with Muslims. The government saw throughWarsha's plot and the Christian lobby used its powers and a crisis was fomented. The government issued a directive to reinstate the schools taken over by Warsha to their former secular status, that is, any Tanzania irrespective of faith should have access to them. The Christian lobby through the state- radio issued a warning that the meeting called by Warsha was illegal and any Muslim attending that meeting would be arrested. For effectiveness this announcementwas read by the Director of Radio Tanzania, [2] DavidWakati. The government accused Warsha of trying to divide the country along religious lines. The government saw the twoMuslim seminaries which were established less than a year as divisive but turned a blind eye to 19 Christian seminaries which were in existence for almost a hundred years. AdamNasibu meanwhile in connive with of the government travelled toMoshi and the reason he told the BAKWATA headquarters was that he was going toKilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) for treatment. But that was not the reason. Once in Moshi with the help of Sheikh Senare the BAKWATA chairman in Kilimanjaro and Sheikh Jambeni from Tanga and other few handpicked BAKWATA members he called a secret meeting the agenda which was how to oust Sheikh Mohamed Ali from leadership. It was decided by conspirators that a special meeting should be called in Dar es Salaam immediately to discuss what had transpired in BAKWATA since the banning of Muslim seminaries. The government put at its disposal its manpower and resources to make the meeting a success. Members of the BAKWATA Central Committee were sent invitations through police message. This type ofcommunication is usually used by the government for urgent messages because ofits efficiency.Themeeting was called and Sheikh Mohamed Ali was accused of flouting the BAKWATA constitution, conducting elections under an invalid constitution and incollaboration with Warsha, for "mixing religion with politics." Sheikh Mohamed Ali was therefore expelled from BAKWATA and Warsha "banned." But it was not possible to ban Warsha becausethe organisation was not in the first place registered. It was not therefore possible to ban an entity which does not officially exist in government registered organisations. The statement that Warsha is prohibited by thegovernment from indulging in anything which has to do with Muslims of Tanzania did not affect its activities in any way. More so Warsha's stature among Muslims was elevated and BAKWATA continued to be a pariah to Muslims. Thegovernment gave the transfer of power in BAKWATA special significance by publishing the changes in BAKWATA in its daily paper.[3]Warsha'smentor, Dr. Malik was declared a prohibited immigrant by the government and was required to leave the country within twenty-four hours. His students advisedhim to go to Zanzibar to wait and plan his next move. Dr. Malik was received onAboud Jumbe's orders while his students sorted out certain issues for him, and packed his belongings. Arrangements were made and Dr. Malik went to Nairobi where he was employed by Islamic Foundation. But before he left Dr. Malik told his students that BAKWATA were late in asking the government to deport him, he had already accomplished his work. Muslim occasions like Maulid celebrationswere used by the government and BAKWATA to try to diffuse the situation by issuing statements condemning Warsha and white washing the government. During Maulid celebrations of 1982 in Tabora, Adam Nasib in the presence of theVice-President, Rashid Kawawa and in live broadcast in the state owned radio warnedthe government of enemies who had invaded the country, meaning Dr. Malik,Sheikh Mohamed Ali and Warsha. Warsha had overtime managed to establish centres in certain areas of the country. Warsha responded to these accusations by distributing leaflets explaining position on the future of Islam in Tanzania and made Muslims be aware of their activities in trying to liberate Muslims. The government and BAKWATA could not match Warsha's truth with their propaganda. Muslims were sympathetic to Warsha and took Warsha's struggle as their own struggle. Muslims helped Warsha to establish a school Masjid Quba and Islamic Centre which was owned and managed by them.In retaliation to these efforts the government refused to register the school.The school was perceived by the government as a centre of "Muslim fundamentalism." The government went further to subvert the school by warning Muslim parents that students completing their education at Masjid Quba would not be recognised by it and would not be considered for further education or for employment. Warsha was not to be deterred they decided to run the school and educate Muslim children even without government registration. Members of Warsha used to say that they have their consent from Allah; they don't need any permission from anyone. This was Warsha's motto. The school remained blacklisted by the government until 1988 when Prof. Malima as the first Muslim Minister of Education registered it. Indeed Dr. Malik had accomplished his work. The Muslims were aware of machinations against them and the struggle against Christian hegemony in Tanzania had passedto a different flock of Muslims. In the coming years students of Prof. Malik and later students of those who were students of Dr. Malik in 1970s formed othe rpowerful organisations and provided leadership in various Muslim organisations-Islamic Propagation Centre (IPC),[4] Jamaatu Answar Sunna, MSAUD and DUMT, Barza Kuu and other unregistered organisations like Al Markaz Suleiman Takadir, Zawiyya Sheikh Hassan bin Amir."

Mohamed

[1] See article by Burhani Mtengwa,‘Mikutano ya BAKWATA ni Njama za Kuhujumu Uislam" in Mizani 18-31 Januari, 1991.

[2] In the EAMWS crisis of 1968 the stateowned radio was used very effectively as a propaganda tool against Muslims.
[3]Daily News 16 June, 1982.
[4] IPC are running two secondary schools, adispensary, and a newspaper An-nuurand have several development projects to their credit.
 
Una mfahamu Mohammed Said au una msikia tu?
Jamaa anatetea msimamo wake wa kidini kama nini vile.
Utabishana naye page na page kwa vile kwake uhuru ni uhuru wa uislamu dhidi ya dini nyingine na si vinginevyo.
Kama humjui mPM.

Siku zote ukweli unauma kwa wasiopenda ukweli!
 
Sheikh Mohamed Makala zako ni nzuri na zinaeleza vizuri sana historia ambayo haikutajwa na wanazuoni wengi sana waliioandika historia ya nchi hii. Lakini ni ukweli usiopingika kuwa duniani hakuna mashujaa bali mara zote kuna shujaa. Hitler siyo kwamba maelfu ya watu waliouawa wakati wa utawala wake wote waliuliwa na yeye bali yeye alikuwa ndiyo nembo ya mauaji hayo.

Waislamu walichangia sana kuleta uhuru wa nchi hii, lakini siyo kweli kwamba ni wao peke yao ndiyo walikuwa ni vinara wa kupigania uhuru. kuna maeneo mengine kwenye nchi hii (Tanganyika?) ambayo wakristo walikuwa kama wako peke yao lakini nako huko walimpinga mkoloni kama hao wazee wako wa Gerezani.

Uwezi kuipinga serikali kutoka pembezoni bali ndani ya mji mkuu. kwa Mfano Walibya wa Benghazi wangebakia Benghazi ama wangeitwa waasi au wangekuwa wameigawa nchi. ni Tripoli ndipo ilipo Lbya!! Kwa mantiki hii Mwalimu alijua hawezi kuipinga serikali ya mkoloni kutokea kwao Butiama bali ni kutokea Dar es salaam ambako kihistoria ndiko yalikokuwa makazi ya waislam wengi. Sijui kama Sheikh wangu ulitaka mwalimu aje na ndugu zake kutoka Mwitongo kupigania uhuru?

Leo hii 100% (niko tayari kusahihishwa) ya wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar ni Waislamu ingawa hayo Mapinduzi yenyewe yalisimamiwa na Mkristo (John Okelo) na kuimarishwa na mkristo (Julius Nyerere). Sasa leo atokee mtu atwambie eti wakristo wa wazinzibar walishiriki sana kwenye Mapinduzi ya 1964 lakini hawana nafasi kwenye serikali ya SMZ tumweleweje? Hivi Zanzibar nzima hakuna mkristo mwenye sifa ya kuwa hata Mkuu wa Mkoa au waziri.

Unajua Zanzibar wakristo wakijenga Makanisa yao yanabomolewa bila ya serikali ya SMZ kuchukua hatua yoyote? Mwalimu alikaa Ikulu kwa miaka 23 hadi anaondoka aliwahi kubomoa msikiti wa wapi? Najua maoni yako kuhusu AMNUT na pia kuhusu Sheikh Farisy wa Bwagamoyo, lakini kwa maoni yangu maandishi yako yana lengo la watu watoane Roho.

Hao wazee wako wa Gerezani walishiriki kumtoa mkoloni kama Wazalendo Watanganyika waliochoshwa na madhila ya Mkoloni Mwingereza au kama Waislamu waliouondoa utawala wa Kikristo ili waislamu wajitawale?

Huu ni Utani tuu: Wewe na Sheikh Ponda mna undugu au nyote mna ajenda moja??

Hilo swali lako la mwisho napenda kujibu si kwa kumjibia Sheikh Mohamed Said bali kama Muislam: Waislam wote ni ndugu, hatubaguani udugu wetu kwa kuzaliwa kwetu au rangi zetu au lugha zetu tunaamini hizo zote ni kwa ajili ya kufahamiana zaidi. Kwa hiyo Ponda na Mohamed Said ni ndugu na mimi wote hao ni ndugu zangu na Muislam mwingine yeyote ni ndugu ya Muislam mwingine.
 
Mbona shia na sunni wanauana huko Iraq na Iran?
 
Reposted
MOhamed Said said:
..........Now I say to you.

Please prove me wrong with facts and figures.

I asked you a question. Instead of answering you just mentioned that u went outside Tanzania and u were applaused. by you presentation

am asking and exending my questions once aganin. In you list of regions upcropping radiical Muslims

  • Why have'nt you mentioned Dar Es salaam ?
  • how is is that radical islam among youth is associated to low level develpment?
  • What problem should we expect from low level develoepd region with large number of non muslim eg rukwa, shinyanga
  • What can we learn form radicalism eg in egypt or even even in UK, USA? is it assocated in any means with development?

Anachozungumza ni kweli au uwongo? Tumuhukumu kwa ukweli au uwongo wake na si kwa sababu yeye ni muislam badala yake U-GREAT THINKERS utakuwa LOW THINKERS.
 
Ndugu yangu leo hii unatuambia Waislam tujihamasishe kusoma?

Inaelekea hujui historia ya Waislam kabla na baada ya uhuru.

Nakushauri soma kitabu changu Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes
utajifunza mengi sana. Kipo Tanzania Publishing House Samora Avenue.

Lakini kabla ya kusoma kitabu hicho hebu soma hapa chini uone juhudi
za Waislam na njama za serikali dhidi ya juhudi zetu za kujiendeleza katika
katika elimu:

"When these s findings were made public and distributed to throughout the country it came as a shock to Muslims and the government. For the first time it was revealed that there was a system in the Ministry of Education supported by Christian functionaries which was discriminatory to Muslim youths, purposelybarring them from institutions of higher learning and the president of thecountry Julius Nyerere and the Catholic Church was not unconnected in this plot. Such accusations and disclosure, particularly coming from Muslims, threatened national unity. The government did not want to find out whether those findings on education were correct or not. Its interest was to know the brains behind Warsha isolate them from Muslims and then persecute them. The government was unprepared for such revelations and was worried by the direction which BAKWATA was taking. BAKWATA was now serving the cause of Islam. This was not what Nyerere had bargained for when he subverted the EAMWS and helped to found BAKWATA. Sheikh Mohamed Ali as secretaryof BAKWATA was taken to task for allowing the organisations to be hijacked by what were perceived to be hot headed youths. Warsha were accused of being anti-government, anti Christian and perpetrating animosity between Muslims and Christians through their writings. President Nyerere ordered Aboud Jumbe the VicePresident to close down the Muslim seminaries. A meeting between Aboud Jumbe and BAKWATA was held at Jumbe’s official residence at Laibon Road. In attendance were Rashid Mfaume Kawawa, Adam Nasibu, SheikhMohamed Ali and Sheikh Abbas Makbul a representative of Darul Iftar. The stand of Sheikh Mohamed Ali was that if thoseMuslim seminaries have to be closed then the decision to take that step shouldbe laid upon the government. This was a difficult step to be taken by the government as such an act would provoke Muslims. The meeting left the decisionto close the seminaries upon BAKWATA. [1] BAKWATA took a unilateral decision and reverted the schools back to its original state. Warsha not agreeing to BAKWATA’s decision called a meeting of all Muslims to discuss the problem. What Warsha was strategising was to draw Nyerere and his government into direct conflict with Muslims. The government saw throughWarsha’s plot and the Christian lobby used its powers and a crisis was fomented. The government issued a directive to reinstate the schools taken over by Warsha to their former secular status, that is, any Tanzania irrespective of faith should have access to them. The Christian lobby through the state- radio issued a warning that the meeting called by Warsha was illegal and any Muslim attending that meeting would be arrested. For effectiveness this announcementwas read by the Director of Radio Tanzania, [2] DavidWakati. The government accused Warsha of trying to divide the country along religious lines. The government saw the twoMuslim seminaries which were established less than a year as divisive but turned a blind eye to 19 Christian seminaries which were in existence for almost a hundred years. AdamNasibu meanwhile in connive with of the government travelled toMoshi and the reason he told the BAKWATA headquarters was that he was going toKilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) for treatment. But that was not the reason. Once in Moshi with the help of Sheikh Senare the BAKWATA chairman in Kilimanjaro and Sheikh Jambeni from Tanga and other few handpicked BAKWATA members he called a secret meeting the agenda which was how to oust Sheikh Mohamed Ali from leadership. It was decided by conspirators that a special meeting should be called in Dar es Salaam immediately to discuss what had transpired in BAKWATA since the banning of Muslim seminaries. The government put at its disposal its manpower and resources to make the meeting a success. Members of the BAKWATA Central Committee were sent invitations through police message. This type ofcommunication is usually used by the government for urgent messages because ofits efficiency.Themeeting was called and Sheikh Mohamed Ali was accused of flouting the BAKWATA constitution, conducting elections under an invalid constitution and incollaboration with Warsha, for "mixing religion with politics." Sheikh Mohamed Ali was therefore expelled from BAKWATA and Warsha “banned.” But it was not possible to ban Warsha becausethe organisation was not in the first place registered. It was not therefore possible to ban an entity which does not officially exist in government registered organisations. The statement that Warsha is prohibited by thegovernment from indulging in anything which has to do with Muslims of Tanzania did not affect its activities in any way. More so Warsha’s stature among Muslims was elevated and BAKWATA continued to be a pariah to Muslims. Thegovernment gave the transfer of power in BAKWATA special significance by publishing the changes in BAKWATA in its daily paper.[3]Warsha'smentor, Dr. Malik was declared a prohibited immigrant by the government and was required to leave the country within twenty-four hours. His students advisedhim to go to Zanzibar to wait and plan his next move. Dr. Malik was received onAboud Jumbe's orders while his students sorted out certain issues for him, and packed his belongings. Arrangements were made and Dr. Malik went to Nairobi where he was employed by Islamic Foundation. But before he left Dr. Malik told his students that BAKWATA were late in asking the government to deport him, he had already accomplished his work. Muslim occasions like Maulid celebrationswere used by the government and BAKWATA to try to diffuse the situation by issuing statements condemning Warsha and white washing the government. During Maulid celebrations of 1982 in Tabora, Adam Nasib in the presence of theVice-President, Rashid Kawawa and in live broadcast in the state owned radio warnedthe government of enemies who had invaded the country, meaning Dr. Malik,Sheikh Mohamed Ali and Warsha. Warsha had overtime managed to establish centres in certain areas of the country. Warsha responded to these accusations by distributing leaflets explaining position on the future of Islam in Tanzania and made Muslims be aware of their activities in trying to liberate Muslims. The government and BAKWATA could not match Warsha’s truth with their propaganda. Muslims were sympathetic to Warsha and took Warsha's struggle as their own struggle. Muslims helped Warsha to establish a school Masjid Quba and Islamic Centre which was owned and managed by them.In retaliation to these efforts the government refused to register the school.The school was perceived by the government as a centre of "Muslim fundamentalism." The government went further to subvert the school by warning Muslim parents that students completing their education at Masjid Quba would not be recognised by it and would not be considered for further education or for employment. Warsha was not to be deterred they decided to run the school and educate Muslim children even without government registration. Members of Warsha used to say that they have their consent from Allah; they don’t need any permission from anyone. This was Warsha's motto. The school remained blacklisted by the government until 1988 when Prof. Malima as the first Muslim Minister of Education registered it. Indeed Dr. Malik had accomplished his work. The Muslims were aware of machinations against them and the struggle against Christian hegemony in Tanzania had passedto a different flock of Muslims. In the coming years students of Prof. Malik and later students of those who were students of Dr. Malik in 1970s formed othe rpowerful organisations and provided leadership in various Muslim organisations-Islamic Propagation Centre (IPC),[4] Jamaatu Answar Sunna, MSAUD and DUMT, Barza Kuu and other unregistered organisations like Al Markaz Suleiman Takadir, Zawiyya Sheikh Hassan bin Amir."

Mohamed

[1] See article by Burhani Mtengwa,‘Mikutano ya BAKWATA ni Njama za Kuhujumu Uislam” in Mizani 18-31 Januari, 1991.

[2] In the EAMWS crisis of 1968 the stateowned radio was used very effectively as a propaganda tool against Muslims.
[3]Daily News 16 June, 1982.
[4] IPC are running two secondary schools, adispensary, and a newspaper An-nuurand have several development projects to their credit.
Ili nisome kitabu chako nihakikishie kwanza kuwa wewe unajua pia upande mwingine wa shilingi jinsi watu wa maeneo ya bara walivyopigania uhuru ili niondokane kwanza na mtazamo kuwa wewe unafahamu mambo ya pale gerezani tu. Halafu ktk uandishi wako usitumie reference ambazo zina mlengo wa kidini i.e Tumaini letu, nyakati, Al huda, An nuur. Tumia neutral sources. Kwangu mie naziamini zaidi habari za Aljazeera, PressTV kuliko taarifa za Al huda na An nuur maana naamini kuwa waandishi ktk magazeti hayo sio waandishi makini.
 
Hizo taarifa zinacirculate sana ktk jamii ya kiislam kuwa wakristo wanapendelewa. Kuhusu hilo tutabishana sana maana hakuna ushahidi wa wazi zaidi ya propaganda za waislam. Lakini tukubaliane kuwa kama wakristo wanapendelewa basi maana yake ni kuwa wanafunzi waislam wana ufahamu mkubwa kuliko wakristo isipokuwa vyeti vinonyesha wakristu wana pass za juu kuliko waislamu walio na ufahamu zaidi. Sasa tuchukue mfano mdogo tu kuwa maana yake ni kuwa tukimchukua mwanafunzi wa Marian girls atakuwa na ufahamu mdogo wa mambo kuliko mwanafunzi wa Al haramain, mhitimu wa St. Fransis atakuwa kilaza kuliko yule wa Al muntazir. Kafanye utafiti huo halafu utagundua kama wakristo wanapendelewa au wanajua. Katika utandawazi hakuna upendeleo wa vyeti ni uwezo wa mtu tu unaomuweka sokoni. Naomba uwahamasishe waislam waimarishe management za shule kuanzia chekechea hadi chuo kikuu. Angalia chuo kikuu cha SAUT na kile cha kiislam cha morogoro unaona viko sawa sokoni?. Punguzeni unafiki ndugu zangu dunia ya sasa haidanganyi angalia hata viongozi wa kiaarabu wanalazimisha watu kusoma mifumo ya dini zaidi lakini watoto wao wanawapeleka ulaya. Mkitaka mfanikiwe hata kama mnawafundisha watu dini na elimu dunia kwa wakati mmoja msiwafundishe itikadi kali bali waandaeni watu kuwa raia watakaokuwa tayari kuishi na mtu yeyote bila kuangalia dini, hapo ndo mafanikio yataonekana. Lakini kama mtaendelea kuwafundisha watu chuki dhidi ya wasiokuwa waislam basi mtabaki hapohapo maana vijana wenu watatumia muda mwingi kujihami na kuacha kufanya mambo ya maendeleo kwa ajili yao na uislam.
 
Hilo swali lako la mwisho napenda kujibu si kwa kumjibia Sheikh Mohamed Said bali kama Muislam: Waislam wote ni ndugu, hatubaguani udugu wetu kwa kuzaliwa kwetu au rangi zetu au lugha zetu tunaamini hizo zote ni kwa ajili ya kufahamiana zaidi. Kwa hiyo Ponda na Mohamed Said ni ndugu na mimi wote hao ni ndugu zangu na Muislam mwingine yeyote ni ndugu ya Muislam mwingine.
Mbona weusi wa darfur wanuawa na waislam wenzao waarabu, Mbona wasomali wote ni waislam lakini wanauana katika misingi ya kiukoo? Mbona washia na wasuni wanauana sana Iraq? Au undugu kwako una maana nyingine? Na wee unajisikiaje unapotukataa sie watanzania wengine ambao sio waislam lakini tunaona waislam watanzania ndugu zetu ktk misingi ya utaifa? Kama wewe unajisikia vizuri, unawezaje kuwa great thinker kama watu ambao wanakuona ndugu unawakana kwa misingi ya dini zilizoletwa na jamii zingine za watu? Mie sio mwislam lakini nina uhakika mie ntakuona ndugu yangu tena hasa nikikutana nawe ktk nchi ya ugenini iwe ya kiislam au sio ya kiislam.
 
Tunajiandaa kusheherekea miaka 50 ya nchi ambayo wengi hatuifahamu wala kutambuliwa na serikali ilioko madarakani; TANGANYIKA taifa linaloonewa aibu kutamkwa kwa sababu zisizofahamika lakini matunda yake hupondwa raha na wenye meno nchini bila aibu.
 
Kwanza kabisa nikiri kuwa mimi naipenda sana historia ya nchi yangu na kila ninapopata fursa ya kusoma kile ambacho sikujaliwa kukiona huwa najisikia raha sana. Historia ya nchi yetu ipo sehemu zote kuanzia Mikindani hadi Katoma Kashenge, Ujiji hadi nyumbani Makorara.
Tunapoiangalia basi na tuiangalie kwa ujumla wake na si kwa sehemu ili kuwatendea haki akina Chifu Songea, Rumanyika, Kimweri, Mandara n.k.

Mzee Said unapoleta mada kama hizi tunategemea kuwa na majadiliano ikiwa ni pamoja na maswali na majibu bila kubabisha au kuhadaa.
Unaweza kujibu maswali yanayofanana kwa pamoja na mengine kutokana na asili yake isiyofanana.
Sitakuelewa kama utatumia mbinu za kukwepa maswali kwa kisingizio kuwa WanaJF ni wengi na wewe ni mmoja na hivyo huwezi kujibu baadhi ya maswali kama ambavyo umekuwa unadai (nina kumbu kumbu) mara zote.

Mara nyingi sana ikiwa ni pamoja na makala hii, umekuwa ukisema kuwa historia ya nchi hii haijaandikwa kwa ukamilifu wake na imebaki kuwa ya mtu mmoja. Sisi wasomaji tunadhima ya kuuliza maswali ili tupate ile historia iliyo ya kweli. Kwa bahati mbaya umekuwa hukidhi kiu zetu kwasababu unaongozwa na hisia na si kutoa nafasi kwa msomaji kuchambua kile unachokiandika na kufikia hitimisho lake.

Mathalani, tumewahi kukuliza maswali yafuatayo:
a) Nini mchango wa AMNUT katika ukombozi wa nchi yetu
b)Kwanini haikuungwa mkono na Wanaharakati waislam
c) Utaratibu wa kutumia namba katika mitihani ulianza lini.
Yote hayo hukutaka kuyajibu na kila mara yanajirudia, hebu tusaidie kuweka historia sawa kwa hayo kwanza ili tuendelee sawia.

Ingawa unakataa kuwa makala zako hazina chembe za udini naomba nikunukuu katika makala hii
'Kuna uvumi kuwa waliokuwa madarakani wanaogopa historia hii kwa kuwa imejaa mchango wa Waislam na wana hofu kuwa endapo mashujaa hawa Waislam wataenziwa huenda hata mustakbali wa nchi ukabadilika.

Umeonyesha kuwa bunge lina walakini kwa kuwa na Waislam wachache kwa data, fair enough! Sijui unashauri utaratibu gani utumike ili kuwe na uwiano wa wabunge tukielewa kuwa wabunge hawateuliwi wanachaguliwa.

Na katika post yako moja umeonyesha kuwa maeneo yaliyo nyuma kimaendeleao kama Lindi, Mtwara, Kigoma na Tabora sasa yanaanza kujitambua. Ni sehemu hizo hizo zimegoma kabisa kukumbatia siasa mbadala za vyama na kubaki na TANU a.k.a CCM toka enzi hizo.
Ni sehemu hizo ndizo zenye wabunge wenye dini tofauti au wasio na dini kabisa.
Je, tuwalaumu kwa kukumbatia CCM au tuwalumu kwa kuchagua viongozi wa siasa na si wa dini?

Huko nyuma tumewahi kukujadiliana kuwa uhuru si wa dini moja, je wale wa dini nyingine na wasio na dini tunawaweka wapi?
Niweke wazi kuwa mimi sipendi udini kwa namna yoyote ile, napenda ukweli.

Makala zako ni zinavutia, tatizo ni pale unapomwongoza msomaji akubaliane na wewe moja kwa moja, unapojenga 'sensitivity' kwa wasomaji kwa kuchomeka hisia zako hata kama zina ukweli lakini ni katika hali ya ushabiki. Mfano, umemnukuu Njozi katika post moja '................................hata kama ni kwa kutumia silaha'.

Ningekushauri kuwa, makala ziwe na 'facts na data' halafu jukumu la hitimisho liwe la msomaji.

Sidhani kuwa unapotoa mhadhara Marekani au Ujerumani inaweza kutushawishi kuhusu historia na ukweli wa nchi yetu.
Sisi tunaielewa nchi yetu kuliko Wazungu, kwa hiyo standing ovation ni nzuri sana kwa vile umewakilisha mada yako pengine kwa wasioijua nchi yetu. Mantiki yangu ni kuwa tuijadili makala zako kama sisi bila ushawishi wa kule ulikopita ukitoa mada. Sisi tunaijua nchi yetu vizuri kuliko profesa wa Biology kutoka Marekani.

Tuendelee na mjadala.
 
Haya yanayojiri hapa yaliwahi kuchambuliwa sana hapa hamna jipya...
Mods pls unganisha na ile thread yake ya mwanzo ili mtiriko uje vizuri na watu wachangie wakijua mwanzisha mada ana ujumbe gani zaidi ya kutathmini miaka 50 ya uhuru wa "Tanganyika"!!

Nijuavyo tuko mbioni kusherehekea miaka 50 ya nchi ya Tanzania ambayo ndio iko kwenye ramani ya dunia.
 
HOJA HUJIBIWA KWA HOJA. WANA FIKRA PEVU WANATUMIA AKILI KUFIKIRI NA WALA HAWATUMII HISIA. NAFAHAMU KWAMBA WATU WENGI HAWAPENDI KUKUBALIANA NA NDUGU MOHAMED SAID, WENGINE WANALETA MISAMIATI AMBAYO HATA WALIYOIANZISHA WANASHINDWA KUTOA MAANA ZAKE.
NINI MAANA YA UDINI? WATU HAWATAKI HATA KUTAFAKARI HOJA ZA MOHAMED SAID KWA KUWA TU ZINAHUSU MCHANGO WA WAISLAMU KATIKA HARAKATI ZA UHURU NA NAMNA WAISLAMU WALIVYO&WANAVYOZIDI KUDHULUMIWA HAPA NCHINI.
NAWAOMBA MKAE CHINI MSOME MAREJEO HUSIKA. NO RESEARCH, NO DATA NO RIGHT TO SPEAK.
SOMENI KITABU "DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" CHA JAN P. VAN BERGEN,
SOMENI "KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA 1953-1985" CHA Dr. JOHN SIVALON,
SOMENI "JUSTICE RIGHTS AND WORSHIP, RELIGION AND POLITICS IN TANZANIA" CHA REDET,
SOMENI "MWEMBECHAI KILLINGS AND THE POLITICAL FUTURE OF TANZANIA" CHA Prof.HAMZA NJOZI[KILIPIGWA MARUFUKU KISISOMWE TANZANIA, INGIA GOOGLE WEKA JINA KAMILI UTAKISOMA CHOTE. USIOGOPE, CRITICAL THINKERS HUUTAFUTA UKWELI KWA GHARAMA YOYOTE ILE].
SOMENI "MUSLIMS AND THE STATE IN TANZANIA" CHA Prof.HAMZA NJOZI.
CRITICAL THINKERS WANAPASWA KUFANYA KAZI KWA KUTUMIA AKILI ZAIDI NA SI MIKONO INAYOSHIKA KEYBOARD.
 
Gottwa, tumekuwa na mjadala mrefu sana na Mohamed Said. Mara zote watu wamekuwa wakichanga fikra zao kukubaliana au utokubaliana kwa hoja. Haina maana kuwa kitabu alichoandika mwanadamu ni sawa na Msahafu. Inabidi watu watumie akili zao kujua ukweli hata kama ni mchungu.
Kwa mantiki hiyo hata wasiokubaliana na Mohamed wana hoja za kufanya hivyo ndio maana wanaomba ufafanunuzi pale wasipoelewa.

Kwa vile yeye ni mwandishi na ana data basi haijuzu sisi kumeza kila anachoandika bila fikra na tafakuri. Ni kwa msingi huo ndipo anapoulizwa maswali ili kupata ufafanuzi kwa kutumia data na research zake. Maswali kama ya AMNUT yanahusu historia ya nchi hii, nadra sana Mohamed anaongelea hilo. Anapoulizwa ni kwa kutaka ufafanuzi wa research yake sio kumuonea.

Naye amesema waislam wamedhulimiwa sana kama ulivyosema. Yaweza kuwa na ukweli au la, hapo anakuja na suala la namba za mitihani.
Kwa vile yeye ana research ya vijana wa UDSM Warsha, tuna muuliza, kwani namba zimeanza kutumika lini kwa sababu si wote walaiowahi kusoma hiyo research na bahati mbaya haijawekwa hapa.

Vitabu ulivyo orodhesha tumevisoma sana na vingine zaidi kama tulivyosoma Hardley Chase, Simu ya Kifo, Kikosi cha kisasi, memoir ya Clinton, Biography ya Nkrumah, Mao tse tung, Asian Tiger n.k. Vyote vimeandikwa na wanadamu ili kutupa maarifa lakini hakuna mahali ilipoandikwa kuwa maandiko yao ni sahihi na havihitaji kuhojiwa.

Tunaposoma vitabu hatumezi bila kutafuna na ni makosa makubwa ukiaminishwa kuwa kila kilichoandikwa na mwanadamu ni sahihi.
Historia ya Christopher Columbus imerejewa mara nyingi sana kama ya Mkwawa na Mirambo.
Historia ya Zanzibar inajadiliwa kila siku hata kama wahusika wapo hai.
Na hivi karibuni physics inaonekana itaandikwa upya baada ya tetesi kuwa kuna kitu kinasafiri kwa kasi zaidi ya mwanga.

Tunapoonglea udini ni pale madai yanapotolewa bila kuwa na ushahidi wa data au research. Mohamed Said aliwahi kukiri baadhi ya mapungufu kama lile la BAKWATA kuwa wasaliti wakati wa EAMWS( ingawa hakuandika popote) kuwa baadhi ya viongozi walisaidia sana usaliti na kifo cha EAMWS(kumbu kumbu ipo hapa JF ). Yote haya yalibainika pale alipohusisha dini na kuzisukumia lawama bila ushahidi na tusingweza kujua mambo ya kina Kitundu, Rajab Diwani kama tusingehoji.

Unapotoa madai kuwa Tabora, Lindi, Mtwara na Kigoma wameachwa nyuma kielimu na maendeleo kwa sababu ya Uislam, ukasahau kuwa kuna Wasonjo, wabarbaig, Wairaq, Wamasai, Wambulu na Wakinga hapo ni kuchomeka mbegu za udini.
Udini unajadilika lakini iwe katika ukweli usioegemea upande wowote.

Unapoweka 'quote' ya kuhamasisha vurugu kwa misingi ya udini huo ni udini( kumbu kumbu ipo), ukileta hoja ya udini ikajadiliwa mezani huo si udini. Unapojadili uhuru ukaacha kujadili mustakabali wa taifa na hatua tuliyopiga au kurudi nyuma ukaongelea sehemu ya jamii kwa sababu fulani tena kwa kutuhumu hata kama waliotenda hawapo hiyo ni udini na ni kupanda mbegu za chuki katika jamii.

Kinachonisukuma zaidi katika mijadala ya Mzee Said ni pale ambapo kuna mambo hayajibiki lakini anatushawishi kuwa historia haipo sawa.
Ni pale anapoandika habari hizi kwa undani na urefu tena kwa umakini, lakini hatusomi maandiko ya hitimisho lake ni nini na anashauri nini kuhusiana na hali iliyopo. Haiwezi kuwa kila siku ana lalamika bila solution, ni wakati sasa atuambie pia nini kifanyike pale penye makosa!
 
HOJA HUJIBIWA KWA HOJA. WANA FIKRA PEVU WANATUMIA AKILI KUFIKIRI NA WALA HAWATUMII HISIA. NAFAHAMU KWAMBA WATU WENGI HAWAPENDI KUKUBALIANA NA NDUGU MOHAMED SAID, WENGINE WANALETA MISAMIATI AMBAYO HATA WALIYOIANZISHA WANASHINDWA KUTOA MAANA ZAKE.
NINI MAANA YA UDINI? WATU HAWATAKI HATA KUTAFAKARI HOJA ZA MOHAMED SAID KWA KUWA TU ZINAHUSU MCHANGO WA WAISLAMU KATIKA HARAKATI ZA UHURU NA NAMNA WAISLAMU WALIVYO&WANAVYOZIDI KUDHULUMIWA HAPA NCHINI.
NAWAOMBA MKAE CHINI MSOME MAREJEO HUSIKA. NO RESEARCH, NO DATA NO RIGHT TO SPEAK.
SOMENI KITABU "DEVELOPMENT AND RELIGION IN TANZANIA" CHA JAN P. VAN BERGEN,
SOMENI "KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA 1953-1985" CHA Dr. JOHN SIVALON,
SOMENI "JUSTICE RIGHTS AND WORSHIP, RELIGION AND POLITICS IN TANZANIA" CHA REDET,
SOMENI "MWEMBECHAI KILLINGS AND THE POLITICAL FUTURE OF TANZANIA" CHA Prof.HAMZA NJOZI[KILIPIGWA MARUFUKU KISISOMWE TANZANIA, INGIA GOOGLE WEKA JINA KAMILI UTAKISOMA CHOTE. USIOGOPE, CRITICAL THINKERS HUUTAFUTA UKWELI KWA GHARAMA YOYOTE ILE].
SOMENI "MUSLIMS AND THE STATE IN TANZANIA" CHA Prof.HAMZA NJOZI.
CRITICAL THINKERS WANAPASWA KUFANYA KAZI KWA KUTUMIA AKILI ZAIDI NA SI MIKONO INAYOSHIKA KEYBOARD.

Sasa Gwotta ndio utumie "Capital letters"? naomba uzi edit na ziwe za kuvutia kwa kuandika kama kawaida ya maandiko (small letters), zinaondosha maana ya maneno yako, zinakera na zinakuwa mzigo kuzisoma.
 
Haya yanayojiri hapa yaliwahi kuchambuliwa sana hapa hamna jipya...
Mods pls unganisha na ile thread yake ya mwanzo ili mtiriko uje vizuri na watu wachangie wakijua mwanzisha mada ana ujumbe gani zaidi ya kutathmini miaka 50 ya uhuru wa "Tanganyika"!!

Nijuavyo tuko mbioni kusherehekea miaka 50 ya nchi ya Tanzania ambayo ndio iko kwenye ramani ya dunia.

ukereketwa kazi kweli

umeandika " Nijuavyo tuko mbioni kusherehekea miaka 50 ya nchi ya Tanzania ambayo ndio iko kwenye ramani ya dunia"

HII SENTENSI YAKO INA MATATA

HESABU VIZURI,

TANZANIA ILIANZA 26 APRIL1964 ,

ukihesabu 1964 mpaka 1981 ni miaka mingapi???? 50?????
 
Back
Top Bottom