Makabila yetu: Vijana na wanawake wa Kisukuma

Acha woga mrembo, heshima ikitangulia mapenzi unayapata mpaka ya chobe=yaliyojificha. Ukijidai kwa kuwa tu unapendwa na unafikiri wewe ndo wewe :yell:, dharau zikaanza:washing:, atakupenda na wala hutokuwa peke yako
A%20S%20kiss.gif
, utabaki kuwa mmoja.
lakini unaweza ukayafanya yote hayo kama ni wa kutoka nje ni wa kutoka tu.
ahsante kwa ushauri hata hivyo.
 
Kama kawaida ya kila kabila kuwa na tamaduni zake, leo nimeamua kujikumbusha baadhi ya ngoma za kwetu kama vile

Mbina ya B’ugoyangi – ngoma hii wachezaji wake hutumia joka kubwa aina ya sawaka/chatu/koboko
Mbina ya Wigashe – ngoma hii wachezaji wake hucheza wakiwa wamekaa chini, hivyo hucheza kama wanaosota chini.
Mbina ya Pachanga – ngoma hii wachezaji wake huvutia sana kuwaangalia kwani huvalia kaptula na shati jeupe, mkanda mweusi,
soksi nyeupe na kiatu cheusi, huweka filimbi zao mdomoni tayari kwa kukoleza kiitikio, na vitambaa vyeupe mikononi mwao,
hutumia mikono na kukita miguu yao chini wakati wa kucheza.
Mbina ya b’ugobh’o
Mbina ya bh’agalu
Mbina ya bh’aswezi.

Nawe tueleze ngoma za kabila la kwenu.
 
Na mara nyingi ngoma hizi huchezwa kipindi cha mavuno ya vyakula mashambani, ambapo binti wengi huolewa kwa mtindo wa chagulaga, ambapo binti huibiwa na kijana na kupelekwa kwao na kijana na baada ya siku mbili ujumbe kutoka kwao na kijana hufika na kujitambulisha nyumbani kwao binti.
 
Nimepita tuu hapa mbalu nitarudi baade ngoja nimtafute mwalimu wangu wa lugha anifundishe namna ya kukisema kilugha
 
Nimepita tuu hapa mbalu nitarudi baade ngoja nimtafute mwalimu wangu wa lugha anifundishe namna ya kukisema kilugha

Nenda hapo kwa mzee Masala ndo kiboko ya wanahungumalwa wote, na ni malenga pia hivyo atakupa mistari.
 
mh,sa wengne tulozaliwa town hata ngoma za kwetu hatuzifahamu lol... ngoja nsubiri mdau 1 wa kabila letu aje acoment nidese!
 
Kuna mbalamwezi usiku wa leo, pia kumbuka ana visichana vilivyomaliza seven.

We we we Mkuu mbalu unataka nisiweze kufanya ile kazi ya uanaume kwa maisha yangu yote
Yule mzee akiamua kukufanyizia na akigundua unatembea na watoto wake ndio inakuwa mwisho wako wa kujua kufanya ile kazi ya kiume
 
LOL... mbalu umenifurahisha sana sikutegemea kama unaweza ongea kikwenu umekaa kimujini muno.

Haya sisi wanawake huvaa vazi aina ya mchenyero ngoma yetu huitwa umushagizo, wanaume hushika fimbo kama bakora uchezaji wake kama huna mikono ndugu yangu unaweza geuka robot linalogeuka zimazima.
 
Last edited by a moderator:

hahahhhaaaaa...........mkuu hiyo mambo iko tanga kwa kina Mtambuzi wasukuma ni chagulaga tu nasikia.
 
Last edited by a moderator:
We we we Mkuu mbalu unataka nisiweze kufanya ile kazi ya uanaume kwa maisha yangu yote
Yule mzee akiamua kukufanyizia na akigundua unatembea na watoto wake ndio inakuwa mwisho wako wa kujua kufanya ile kazi ya kiume

Sisi wasukuma tunajali ngo'mbe ingawa serikali ndo inatubana, hatuna ulogo kwa waoaji labda kama unakuja kuzini na mama Kabula.
 
LOL... mbalu umenifurahisha sana sikutegemea kama unaweza ongea kikwenu umekaa kimujini muno.

Haya sisi wanawake huvaa vazi aina ya mchenyero ngoma yetu huitwa umushagizo, wanaume hushika fimbo kama bakora uchezaji wake kama huna mikono ndugu yangu unaweza geuka robot linalogeuka zimazima.

Siku moja nitakuimbia ili uone uhodari wangu. Nimeipenda ngoma ya umshagizo.
 
Obebe Mkuu ule sukuma wa ale.kung'uno onene nkiigashaga ng'waza natale kwigwa ngoma sha geko.
 
Obebe Mkuu ule sukuma wa ale.kung'uno onene nkiigashaga ng'waza natale kwigwa ngoma sha geko.
elly_black ng'wanene tame, one nale o shinyanga ngalu. Tolenajo ab'hise natamanile ija ng'waza andiaga ukotosombolela umu ile mbina ya kwenoko ngalu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom