UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,515
- 7,717
mimi napenda mtu akiongea kiswahili na akawa na accent ya kisukuma.huwa naona raha sijui kwa nini
Tukutane siku moja tukichape chenye accent ya ki-push.
mimi napenda mtu akiongea kiswahili na akawa na accent ya kisukuma.huwa naona raha sijui kwa nini
kha mbona unaniogopesha jamani.Hata akidondokewa, ajue hadondokwei peke yake, na kwa jinsi wanavyoenzi na kujua kodondokea mwanamke/msichana anaweza amini yuppo mwenyewe kumbe hayuko peke yake
Kwa mda mrefu nimekuwa nikiwatafakari kaka zangu wakisukuma, haswa walio kulia vijijini na sasa wapo mjini na pia mambo yao ni mazuri kwa kulingana na backgroung zao, kitu kimojaninachongundua wanashoboka sana na wadada haswa ambao wanaonyesha kuwa wa matawi ya juu au majina makubwa mjini ( sitaki kutolea mifano ya kaka zangu marehemu wa kisukumawaliokuwa na majina na wamefia kwa sababu ya wanawake)
Anaweza kuwa anajua tabia mbaya za mdada lkn yupo tu, ilimradi inampa sifa mbele ya wenzake kuwa na huyo mdada, itakama kwenye hayo mahusiano hayampi furaha ila sifa
Na mbaya zaidi wanaishia kuoana au kusogezana ndani... matokeo yake wanakuwa ni wanyoge sana kwenye ndoa maana wao ni wavumilivu na hawaachi bali wanaachwa.
Mara nyingi kitu ambacho huwa najiambia ni kwamba the wife has given him a favour to be with her.
kha mbona unaniogopesha jamani.
mimi napenda mtu akiongea kiswahili na akawa na accent ya kisukuma.huwa naona raha sijui kwa nini
Mimi kama mmojawapo wa kabila hilo nakubaliana na wewe 100%. Tuna ki-aina fulani cha ulimbukeni na tunajua hilo ila hatupendi kukubali ukweli kuwa tuko hivyo!
Yaani hii nasema kwa kuangalia hata watu wazima walio kwenye mahusianoMi msukuma mbona sishoboki na hao wadada....usiangalie watu wawili watatu uka-justify behavior ya ya kabila furani kumbuka kuna wasukuma rika nyingi na wanatofautiana katika nyanja mbalimbali....usiwe mbumbumbu wa kufikiri na kufanya research tembelea maeneo mengi ya usukumani kuanzia Geita, sengerema, Mwanza jiji, Shinyanga mpaka Bukene uone utofauti wa kabila haya japo utashangaa shinyanga na Tabora ni wanyamwezi lakini kwa akili yako utasema wasukuma
Wanaume walio wengi wa kisukuma ni wapole sana, hawana makuu. Kuna kitu nimegundua wanawake wa kichaga wanapenda sana kuolewa na wanaume wa kisukuma.
Wasukuma hawajui kuacha mwanamke! Ebu kaamuulize mama Kanumba kilitokea nini?
Wasukuma hawajui kuacha mwanamke! Ebu kaamuulize mama Kanumba kilitokea nini?
Lakini anaweza akawa na wanawake hata 7!