majina ya wanao ama wanao watarajiwa

habari za mapumziko wana chitchat, katka maisha kila mtu huwa ana wishes zake kwenye majina ya wanawe watarajiwa. mf. mie kabla sijapata mtoto nilikuwa napenda jina la Yvonne na Ian, nilisema km nikimpata mtoto wa kike ntamuita Yvonne na kama ntampata wa kiume ntamuita Ian. bt nikampata wa kike nimemuita Yvonne.
reason: nilikuwa nampenda sana yvonne chakachaka hasa nyimbo zake. je wewe mwana cc ulipenda jina / majina yapi na kwa sababu gani?

Nakuombea kwa mungu, na wewe mwenyewe uzidi kujitahidi ili na huyo Ian umpate haraka iwezekanavyo
 
mnajua mnanivunja mbavuu tuu hapa wakt nipo na stress hahahahaaaaaaaa haya wenye majina mi hata sijui nimwiteje mana sitaki rudia jina ambalo lipo pande yangu wala ya baba wa mtoto im still searchn
 
mnajua mnanivunja mbavuu tuu hapa wakt nipo na stress hahahahaaaaaaaa haya wenye majina mi hata sijui nimwiteje mana sitaki rudia jina ambalo lipo pande yangu wala ya baba wa mtoto im still searchn

teh,ucnichekeshe shost!
 
hongera mamie kwa kuwa na mama mkwe mzur na mnayependana. ni wanawake wachache sana ambao wanashibana na wakwe zao!

Asante charminglady kiukweli tunapatana sana,nilichunguza tu na nilipomfaham nikajua namna ya kumpatia anavotaka na tukaenda sawa lol!
 
Last edited by a moderator:
wa kawaida tu kuna beki tatu alimharibia mambo msosi wa dogo anakula yeye loh
hilo jina nlijitahidi kuliweka kwenye memory card ya ubongo wangu lakini wapi. lakini sasa hivi najitahidi kidogo. msalimie sana. unampa msosi gani? manake alivyo bonge!. mia
 
Nakumbuka mtoto wangu wakwanza almanusura anisababishie talaka,mume aling'ang'ania mtoto lazima aitwe MKEGANI ugomvi wake baada ya hapo Mungu ndio anajua,ila ndio hivyo tena mtoto mpaka Leo anaitwa MKEGANI
 
Mungu akipenda toto la kike nitampa jina la Naynaigatya hakuna sabab nalipenda tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom