majina ya wanao ama wanao watarajiwa

Mie watoto wangu wa kiume ni Lincoln na Levin, baba yao ndo amewapa hayo majina, ila wa kike nimempa jina la Esther ili kumuenzi mama yangu kipenzi, R.I.P mama
 
Mimi wangu wakiume lazima waishie na CK! Ninao watatu jaribu kutaja majina yao atakaye pata yote nampa zawadi!
 
Mimi wangu wakiume lazima waishie na CK! Ninao watatu jaribu kutaja majina yao atakaye pata yote nampa zawadi!

lameck, enock na meshack au shedrack....hapa nitakuwa nimepatia hata mawili lazima.....
 
Mie watoto wangu wa kiume ni Lincoln na Levin, baba yao ndo amewapa hayo majina, ila wa kike nimempa jina la Esther ili kumuenzi mama yangu kipenzi, R.I.P mama

ohh dats gud, unaweza twambia ni nini kilimpelekea mr.akawaita hayo majina?
 
sie waswahili bwana mbona wengine wanamajina hayo hayo na wanakula bata kila siku mjini na mikoko ya nguvu,kama umeandikiwa kupata hata ukiitwa sokwe utapata tu!

kumbe, me nlikuwa sijua bana. kuna msemo et ukimuita mwanao matatizo/masumbuko basi atakuwa na matatizo km jina lake!
 
na bado kuongeza kina HAVIJAWA na CHAUSIKU.....

Hahahaha wife bana. Mitoto yetu hii ukiyaita majina hayo si itakuwa balaa. Tutafuata nyayo ya kuenzi lugha yetu kama nilivyofanya na mke mkubwa BADILI TABIA tulivyowaita Havintishi na dada yake Msinune.

attachment.php
 
kumbe, me nlikuwa sijua bana. kuna msemo et ukimuita mwanao matatizo/masumbuko basi atakuwa na matatizo km jina lake!

aaaah wapi kuna kama kina wema na hawana wema wowote,kuna riziki naye haipati hadi aiombe hiyo riziki jina ni jina tu hakuna jina baya wala nzuri....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom