Majina ya walioshindwa TCU!!

Kwa habari za kutoka jikoni ni kuwa wale walioshindwa kudahiriwa na tume ya vyuo vikuu majina yatakuwa kwenye mtandao baada ya saa 1. Stay tuned.
Onyo: usinitukane, wait and see! Au piga tcu kupitia 0712722684

Kama walisema tar 14 na hakikutokea kitu hata hiyo baada ya saa moja kinaweza kisitokee kitu chochote!
 
Me sikuambatanisha copy ya kitambulisho cha mzamini ila jina langu halipo kwenye majina ya bod ya mikopo je kuna haja ya kupeleka copy
 
Hili lisaa limoja mbona refu hivi.......aaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhh haliishi tuuu
 
Kwa habari za kutoka jikoni ni kuwa wale walioshindwa kudahiriwa na tume ya vyuo vikuu majina yatakuwa kwenye mtandao baada ya saa 1. Stay tuned.
Onyo: usinitukane, wait and see! Au piga tcu kupitia 0712722684

Mpaka sasa saa moja na nusu imepita.
 
Jamani kama kuna mwenye uwezo wa kuweka hapa available slots naomba atusaidie, co link jamani,
kwenye simu ukienda kwenye link haifungui maana program waliyo2mia ni tofauti.
 
test kufanya second application hapo utapata uhakika kwa sababu kama tayari admitted system haitakubali kuprocess application na badala yake itakujuza kwa maandishi mekundu kuwa ukoadmitted tayari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom