Majina ya walioshindwa TCU!!

wana jf naomba msaada wenu nifaanye nini nashindwa kulog in kwenye site ya tcu so mpk now sijijui kama nimekuwa admited au la au nahitaji niombe katika second round siajakosea paswor wala usernem sinnce nilivyojiunga ilikuwa inakubali kulog in kwenye comp 1 ambayo nilijiungia nyingine zote inafeli ila so bad ile comp imeibiwa kabla y ahaya matokeo hayajatoka naombeni msaada wenu whom to consult and how o what should i do thanx in avance-kwa pamoja tutaweza
 
Mm nina mdogo wangu ameingia ktk account yake bado imeandikwa not yet processed, eligibility status ameandikiwa eligible ktk programs zote alizochagua na ktk orodha ya wale ambao hawajachaguliwa jina lake pia halipo na hata katika wale wenye mapungufu ya ktk maombi tumeangalia jina halpo pia,sasa kwa kweli tumebaki njia panda, naombeni msaada nn cha kufanya juu ya hili. Ahsanteni sana.
 
Nenda jukwa la elimu kuna post kama elfu kuhusiana na hii issue ya TCU.
Kweli watanzania sasa wanasoma balaa inakuja kwenye ubora wa elimu wanayoipata duh!.
NGACHOKA KABISA.
 
nenden njia zote mbili mpasuke msamba ..tumechoka sasa.
Tunawambia subirini hamtaki. Kama ipo,ipo tu.
 
Mm nina mdogo wangu ameingia ktk account yake bado imeandikwa not yet processed, eligibility status ameandikiwa eligible ktk programs zote alizochagua na ktk orodha ya wale ambao hawajachaguliwa jina lake pia halipo na hata katika wale wenye mapungufu ya ktk maombi tumeangalia jina halpo pia,sasa kwa kweli tumebaki njia panda, naombeni msaada nn cha kufanya juu ya hili. Ahsanteni sana.

wachen presha
 
Swala ni lini wanatoa final results Ili watoto waanze maandalizi coz wengine mikopo watapata 10% sasa 90% by suprise itapatikana wapi?
 
fanya hivi:
1. click ile orodha ya wasiochaguliwa ipo tayari kwenye web ya tcu.
2. eneo lile la ku log/sign in ili uingie kwenye akaunti yako bofya maneno yenye rangi nyekundu ya kukuwezesha kubadili password yako ambayo umeisahau. ukifanikiwa kupata hako ka window ka kuingiza password mpya ni lazima uwe na vitu hivi: namba za kadi uliyoscratch na kuitumia ulipojisajili na tcu awali. pia na email address yako ambayo tcu wanayo - hapa lazima kwanza uhakikishe unaweza kui access hiyo email na ni hiyo uliyowapa tcu awali.
3. ukikamilisha na 2 basi una ingiza password ingine na kuihakiki - simple - ukirudi ku log in ni moja kwa moja hadi ndani ya account yako.
 
TCU wananiambia ni badili program! sasa mi ntasoma nini zaidi ya law mi mtu wa equivalent...nina diploma ya law
 
jaribu kuomba kwa vyuo vingine... weka vyuo vingi iwezekanavyo. hawana maana uombe tofaut na law... ALL THE BEST.:israel:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom