Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

Yes wametoa ila mie sijawaelewa sababu hawajatoa maelezo yeyote ukisharekebisha unatuma upya au uma missing document kama mimi wameniandika cheti cha kuzaliwa niliambatanisha affidavity badala ya cheti coz sina cheti naombeni msaada wenu
 
soma maelezo vizur mbona wameelezea fresh! Kuhcu vyet+picha unatumaa kwenye addres yao ipo pale!! Kuhucu kama hukusain either ww au mzamin wako lazima uende oficn kwao mwenge ili ukasain! Overr
 
"heslb watoa majina ya ROUND YA PILI ya waliokosea kujaza na kuambatanisha nyaraka muhimu" jamani napenda kuuliza kwan heslb walishatoa majina mengine ya applicants ambao walikosea form zao 2013/14,nauliza hivyo kwa sababu naona aliyetoa uzi huu kaandika hayo ni majina ya round ya pili hivyo kuna round ya kwanza tayari,je majina hayo yalitolewa kwenye website yao au kwa media zingine??plz wadau naomba kujuzwa hapo!
 
Yes wametoa ila mie sijawaelewa sababu hawajatoa maelezo yeyote ukisharekebisha unatuma upya au uma missing document kama mimi wameniandika cheti cha kuzaliwa niliambatanisha affidavity badala ya cheti coz sina cheti naombeni msaada wenu

tafuta cheti cha kuzaliwa fasta ukiwa umeambatanisha covering letter yenye majina yako kamili na fom4 index no. yako au nenda nenda navyo we mwenyewe mpaka ofisini mwao
 
"heslb watoa majina ya ROUND YA PILI ya waliokosea kujaza na kuambatanisha nyaraka muhimu" jamani napenda kuuliza kwan heslb walishatoa majina mengine ya applicants ambao walikosea form zao 2013/14,nauliza hivyo kwa sababu naona aliyetoa uzi huu kaandika hayo ni majina ya round ya pili hivyo kuna round ya kwanza tayari,je majina hayo yalitolewa kwenye website yao au kwa media zingine??plz wadau naomba kujuzwa hapo!

ndo hayo hayo ila round ya kwanza ilitoka mapema sana jama asbh, ya herufi "A"
round ya pili ya herufi zilizobaki imeatoka jioni kabisa mdau.
 
Yes wametoa ila mie sijawaelewa sababu hawajatoa maelezo yeyote ukisharekebisha unatuma upya au uma missing document kama mimi wameniandika cheti cha kuzaliwa niliambatanisha affidavity badala ya cheti coz sina cheti naombeni msaada wenu

ktk fomu ya mkopo wameandka chet cha kuzaliwa sio affidavity sawa mkuu 2ma chet
 
Jaman herufi R,p mbona hazpo.naomba niangalzieni s.1892.0030.2009 na s0938.0145.2010.alaf mbna kweny maonesho ya vyuo vikuu nlipewa kipeperush kimeandkwa ulete chet au affidavt?
 
usiseme heruf hazpo sema naomba muangalie jina langu sawa mkuu heruf zote zpo! Tatzo c o maonyesho wamesema je umesoma fomu yako ya mkopo vzur wanataka chet
 
basi vile vipeperush vya mda walvyotupa.mkuu naomba nichekie basi oilsumu
 
Back
Top Bottom